Fikiria kesho unaamka jinsia tofauti na uliozaliwa nayo

Yaani mwanaume umekuwa mwanamke na kinyume chake, utafanya nini? Mimi cha kwanza naenda kukojoa, halafu natafuta mbususu nione inafeel vipi.

Hamna period wala kuzaa yayyy!
Wewe je?
Mmh baada ya self induction matokeo yake ndo haya ,anatak ajaribu collision theory na number of turns
 
Yaani mwanaume umekuwa mwanamke na kinyume chake, utafanya nini? Mimi cha kwanza naenda kukojoa, halafu natafuta mbususu nione inafeel vipi.

Hamna period wala kuzaa yayyy!
Wewe je?
Unaota wewe bila shaka....
 
Yaani mwanaume umekuwa mwanamke na kinyume chake, utafanya nini? Mimi cha kwanza naenda kukojoa, halafu natafuta mbususu nione inafeel vipi.

Hamna period wala kuzaa yayyy!
Wewe je?
Mimi cha kwanza naenda kukojoa, halafu natafuta mbususu nione inafeel vipi.
 
Sitaki kabisa kuwaza huo ujinga.. Eeh Mungu baba asante kwa kunipa hiki nilichonacho Yaani ingekuwa muda huu wa usingizi mtamu unaanza kupapaswa lijamaa linataka cha asubuhi
Nikilala natakiwa nilale wuchi na kanga moja tuu tena nyepesi jamaa likitaka lisipate shida
Limekula cha mezani linataka kula na cha chumbani hata kama sijisikii lenyewe linafosi tuu, halafu dakika moja chali

Siku ikitokea hivyo naweka matanga kabla ya kufa lakini nitalia kwanza siku nzima
 
Back
Top Bottom