Wanaharakati wa jinsia ya kike mpo wapi hapa? Au hili ndilo mnalolitaka?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,537
4,516
Mpo wapi kutetea usawa au udhalilishaji wa kijinsia...?

Muangalie hapo Billnas alivyotupia kavaa kwa heshima na stara nzuri... Vazi ambalo akiingia popote atapokelewa kwa heshima iwe IKULU au BUNGENI anaingia bila bughudha...

Tuje upande wa pili wa NANDY alivyovalishwa... Mpeleke ikulu au bungeni aingie hivyo... Ataruhusiwa au atazuiwa? Bila shaka atazuiwa... Kwanini azuiwe?

Vazi alilovishwa ni UDHALILISHAJI WA KIJINSIA... Yaani mumewe billnas avishwe vazi la heshima lisiloonesha maungo wala uchi wake(SUTI)...ila NANDY mnamvisha vazi la kumuacha uchi kabisa... Vazi la chumbani... HUU SI UDHALILISHAJI...?

MKO WAPI WATU WA HAKI ZA WANAWAKE...?

MBONA BINTI WA KIISLAAM AKIVISHWA VAZI LA HESHIMA MNASEMA ANABANWA ANANYIMWA UHURU WAKE... UHURU WENYEWE NDIO HUU WA UDHALILISHAJI?

Attachments

  • Screenshot_20220717-142338.png
    Screenshot_20220717-142338.png
    292.2 KB · Views: 15
  • FB_IMG_1658057601851.jpg
    FB_IMG_1658057601851.jpg
    25.2 KB · Views: 13
Mpo wapi kutetea usawa au udhalilishaji wa kijinsia...?

Muangalie hapo Billnas alivyotupia kavaa kwa heshima na stara nzuri... Vazi ambalo akiingia popote atapokelewa kwa heshima iwe IKULU au BUNGENI anaingia bila bughudha...

Tuje upande wa pili wa NANDY alivyovalishwa... Mpeleke ikulu au bungeni aingie hivyo... Ataruhusiwa au atazuiwa? Bila shaka atazuiwa... Kwanini azuiwe?

Vazi alilovishwa ni UDHALILISHAJI WA KIJINSIA... Yaani mumewe billnas avishwe vazi la heshima lisiloonesha maungo wala uchi wake(SUTI)...ila NANDY mnamvisha vazi la kumuacha uchi kabisa... Vazi la chumbani... HUU SI UDHALILISHAJI...?

MKO WAPI WATU WA HAKI ZA WANAWAKE...?

MBONA BINTI WA KIISLAAM AKIVISHWA VAZI LA HESHIMA MNASEMA ANABANWA ANANYIMWA UHURU WAKE... UHURU WENYEWE NDIO HUU WA UDHALILISHAJI?

Ndio wavyo taka hao
 
Akiitwa ikulu hataenda na nguo za harusi bali ataenda na nguo zinazolingana na kunakostahili. Kanisani alikuwa amevaa shera zala kumsitiri. Dini yako usilazimishe wengine waifate. Kama ni mila, Nandi alipaswa asiwe na nguo juu ya matiti na alipaswa avae magome ya miti au ya migomba.
 
Doo, allah atunusuru sisi wanawake maana kadri siku zinavyoenda ndivyo tunavyozidi kuwa wendawazimu. Japo namshangaa nae huyo atakaekuja kua kiongozi wa familia kama mke siku ya ndoa yupo hvyo nawe upo kimya mbeleni itakuaje
 
Mpo wapi kutetea usawa au udhalilishaji wa kijinsia...?

Muangalie hapo Billnas alivyotupia kavaa kwa heshima na stara nzuri... Vazi ambalo akiingia popote atapokelewa kwa heshima iwe IKULU au BUNGENI anaingia bila bughudha...

Tuje upande wa pili wa NANDY alivyovalishwa... Mpeleke ikulu au bungeni aingie hivyo... Ataruhusiwa au atazuiwa? Bila shaka atazuiwa... Kwanini azuiwe?

Vazi alilovishwa ni UDHALILISHAJI WA KIJINSIA... Yaani mumewe billnas avishwe vazi la heshima lisiloonesha maungo wala uchi wake(SUTI)...ila NANDY mnamvisha vazi la kumuacha uchi kabisa... Vazi la chumbani... HUU SI UDHALILISHAJI...?

MKO WAPI WATU WA HAKI ZA WANAWAKE...?

MBONA BINTI WA KIISLAAM AKIVISHWA VAZI LA HESHIMA MNASEMA ANABANWA ANANYIMWA UHURU WAKE... UHURU WENYEWE NDIO HUU WA UDHALILISHAJI?

Mkuu nashukuru umeliona hili, yaani mimi kama mkristo nilikerwa Sana na Nandy, kanisani alijiheshimisha akavaa vema, Bali ktk hafla akavaa uchi mbele ya umma na hasa wazazi na wakwe.. Aiiiiiibu Sana na fedheha kwa wazazi waliomlea na mashabiki wake wote. Jana nilikua nawambia vijana wangu, fedheha hiyo sitaki kwangu, lazima mjue ngua za kuvaa kila mahali.. Kanisani, na kwenye stage ya mziki hakika hazifanani.. Huezi vaa vazi like kwenye hafla ya harusi, jambo takatifu mbele ya umaa.. Maana walikuwa live clouds, why why, Je ni umaarufu au pesa zinaleva watu hata wasijue kuchagua?
Hapa hatuhitaji watetea Hali wala tunahitaji wazazi wenye kujielewa.. Wasiopelekeshwa na watoto kisa ni maarufu au wanapesa. Nandy kawakalisha wazazi wake, wamkwe na mumewe uchi mbele zetu. Alivo ndivo walivo, ndio maana hawakukerwa na vazi.. Maana nao Wali endelea kushereheka.. Mfyuuuu😳😳
 
Mpo wapi kutetea usawa au udhalilishaji wa kijinsia...?

Muangalie hapo Billnas alivyotupia kavaa kwa heshima na stara nzuri... Vazi ambalo akiingia popote atapokelewa kwa heshima iwe IKULU au BUNGENI anaingia bila bughudha...

Tuje upande wa pili wa NANDY alivyovalishwa... Mpeleke ikulu au bungeni aingie hivyo... Ataruhusiwa au atazuiwa? Bila shaka atazuiwa... Kwanini azuiwe?

Vazi alilovishwa ni UDHALILISHAJI WA KIJINSIA... Yaani mumewe billnas avishwe vazi la heshima lisiloonesha maungo wala uchi wake(SUTI)...ila NANDY mnamvisha vazi la kumuacha uchi kabisa... Vazi la chumbani... HUU SI UDHALILISHAJI...?

MKO WAPI WATU WA HAKI ZA WANAWAKE...?

MBONA BINTI WA KIISLAAM AKIVISHWA VAZI LA HESHIMA MNASEMA ANABANWA ANANYIMWA UHURU WAKE... UHURU WENYEWE NDIO HUU WA UDHALILISHAJI?

Huenda NSSF ndivyo walivyoshauri.
 
Akiitwa ikulu hataenda na nguo za harusi bali ataenda na nguo zinazolingana na kunakostahili. Kanisani alikuwa amevaa shera zala kumsitiri. Dini yako usilazimishe wengine waifate. Kama ni mila, Nandi alipaswa asiwe na nguo juu ya matiti na alipaswa avae magome ya miti au ya migomba.
Acha bana

Mwenzio anataka nandy aende ikulu na nguo ya harusi
 
Akili yako na ya nandy sawa tu...
Umekurupuka shangazi, ungechukua angalau sekunde moja kuelewa niliachoandika ungebaini wazi kabisa kuwa mi nilikuwa namshangaa yule jamaa kwa alichokisema maana hoja iko wazi, ina ukweli na inaeleweka!!
 
Back
Top Bottom