mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,738
- 35,155
Wanawake tushtuke, kwa asili ya mwanadamu kiimani, kisayansi na kwa desturi mwanaume ni msingi na nguzo ya familia.
Wanawake tuendelee kupambana kuwa bora kama wanawake ila tusitamani kuwa wanaume, bali tuwasaidie wanaume kuwa bora zaidi na imara katika nafasi zao.
Tukibeba vibaya maana ya ukweli ya haki sawa tutaishia kutengeneza jamii siyo tuu ya wanaume wa ajabu ajabu bali hata wanawake wa ajabu ajabu.
Muwe na jioni njema