Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,876
Shule ya Sekondari Nyakasura iliyoko Magharibi mwa Uganda imekuwa gumzo baada ya wanafunzi wa kiume wa nchi hiyo kuvaa sketi ikiwa ni sare ya shule hiyo ambayo imeanzisha tangu Mwaka 1926.

Mkuu wa shule hiyo amesema mavazi yanayoonekana sio sketi bali ni mavazi ya heshima yaliyokuwa yanavaliwa na wanaume huko Scotland na kwa kuwa shule hiyo ilianzishwa wakati wa ukoloni vazi hilo liliendelea kutumika shuleni hapo.

1656424397969.png

====

The appearance of male students at a school in Uganda wearing "skirts" as part of the required attire sparked discussions on social media.

People have been wondering why male students at Nyakasura School, a mixed boarding and day high school in Uganda's Western region, are wearing'skirts,' against the norm.

The school principal, on the other hand, has come out to clear the air, claiming that people are misinterpreting the concept behind their school uniform.

According to the school principal, the skirt-like attire is actually a kilt, a traditional Scottish men's attire.
He revealed that the school was founded in 1926 by Ernest William Calwell, a Scottish missionary who settled in the area during the colonial period.

"They are not skirts they are called Kilt as garment resembling a skirt traditionally worn by men in the Scottish culture," he said.

"This school has a great history but the history is linked to Scotland and Colwell came to this area because of disagreements because he wanted to introduce this to schools but people called the skirts but they are not skirts they are called kilts."

Despite encountering culture shock upon enrolling at the institution, a Form Four student says that he got accustomed to the dress code as he later understood the concept behind it.

"Normally when I talk about my uniform and when they see students putting on a kilt. Most of the time they say that we are dressed like girls but for me I have no problem with it because I have live with it for four years," he said.

Source: Citizen Kenya
 
Hakuna wa kuwacheka maana sote tumeiga, kunao wanavaa makanzu kwa kuiga uarabuni, wengine wanavaa suruali kwa kuiga uzunguni, tuendelee hivyo hivyo....
 
Wanafunzi wakiume wa shule ya sekondari (advance) ya boarding na kutwa ya wanavalishwa sketi kama uniform zao ili kumuenzi muanzilishi wa shule hiyo ambaye alikua ni mmishionari wa kiscochi kipindi cha ukoloni.
 
Mkuu haya sio shule tu hata kwenye mahakama upo mfuko wa kikoloni wa nywele nyeupe.



Kukuuuu
 
Wanafunzi wakiume wa shule ya sekondari (advance) ya boarding na kutwa ya wanavalishwa sketi kama uniform zao ili kumuenzi muanzilishi wa shule hiyo ambaye alikua ni mmishionari wa kiscochi kipindi cha ukoloni.
... habari imeeleza vizuri tu; sio skirt (sketi) bali ni kilt!
 
Kaka waweza tofautisha kati ya kilt na sketi? And if u can,ndio utamaduni wetu?uliona hata hao waingereza wamevaa hiyo ama kila cha mzungu tunakubali tuu???
... habari imeeleza vizuri tu; sio skirt (sketi) bali ni kilt!
 
Ndo wanaanzaga ivo ivo!! kidogo kidogo baadaye shoga!! unaombwa nyaaa!! myakatae haya!! kwa nguvu zooote ni ushoga huo!! na wale waanzilishi walikuwa ni hela za ushoga!! vunjeni hizo shule! mjenge zenu!
 
Siku chache zilizopita baadhi ya watu walibaki midomo wazi na kuibua minong'ono kwamba wanafunzi wa kiume wa shule ya secondary ya Nyakasura huko Uganda wanavaa sketi badala ya suruali kama sare ya shule

Shule hiyo ni ya mchanganyiko wa wavulana na wasichana pia ni shule ya day na bweni. Taharuki baada ya kusambaa hata hivyo mwalimu mkuu wa shule hiyo amekaririwa akitoa ufafanuzi kuwa watu wameelewa vibaya hilo vazi au kupotosha

Amesema hilo vazi la wanafunzi wa kiume sio sketi bali linaitwa kilt na ni vazi la wanaume lenye asili ya utamaduni Scotland kwahiyo ni tofauti na sketi za kinadada zilizozoeleka. Amesema shule hiyo ilianzishwa kipindi cha ukoloni mwaka 1926 kwahiyo vazi linavaliwa shuleni hapo kwa miaka yote na ina historia ya utamaduni wa Scotland baada ya mishenari kuanzisha shule hiyo

Mwanafunzi mmoja wa kiume shuleni hapo alipohojiwa amesema hata yeye mwanzo alipoanza masomo shuleni hapo alipatwa na mshituko kuhusu sare hiyo lakini sasa ni mwaka wa nne huu anasoma hapo haoni tatizo baada ya kueleweshwa kuhusu hiyo sare
kuona zaidi picha za hilo vazi la Kilt ikiwemo baadhi ya wanaume watu wazima wa Uganda waliovaa ambao wakihahi kusoma shuleni hapo miaka ya nyuma(alumn). Pia picha za Waskotiland wakiwa wamelivaa
FB_IMG_16570310620874742.jpg
 
Back
Top Bottom