jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Ukisikia jina la beki Kelvin Yondan unakumbuka wapi?

    haya leo tumkumbuke legend mwenyewe Kelvin Yondan Engineer Cotton Juice Pamba. Unamkumbuka Yondan kwa lipi?
  2. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Nani kaua kwa michano katika hii ngoma mpya ya Izzo Bizness inayoitwa "Nilipotoka”

    Wazee wazee wazee, recently hizo bizness kaachia chuma ambacho ndani yake kuna wakali kibao wa hip hop waliotupia verse zao. Versa ya kwanza kabisa unakutana na one the incredible akiwa kafanya yake, verse ya pili anaipokea izzoo naye katupia swagger zake pale verse ya tatu ni mnyama chaba...
  3. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Nimebaini: Siku hizi watu hawatumii tena jina Tanzania bali wanatumia Tanganyika

    Kuna trend nimeona hivi karibuni ambapo watu wameacha kabisa kutumia jina la Tanzania, na kwa sasa wanatumia TANGANYIKA kama mbadala. Je, ni kwanini Tanganyika imechelewa kutumia mfumo huu ambao wale wa Tanzania visiwani wamekuwa wakitumia miaka yote? Nini hasa kilisababisha watanganyika kuona...
  4. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Jina la Dkt. Kimei lipo mezani

    Hilo jina linajadiliwa mno kwenye corridor za juu huko na upinzani ni mkubwa mno baina yeye na aliyepo sasa kwenye mambo ya (njuruuu)ni nani baina yao akawe boss wa wizara mpya inayoenda kuanzishwa hivi karibuni ihusuyo mambo ya mipango. " Ilikuwa yule mvuka maji msaidizi wa jamaa angepandishwa...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kubuni jina replica ya jina maarufu.

    Mfano Mpwayungu Village // mpwanguyu vigalle. Nyani Ngabu // Nanyi bangu. GENTAMYCINE // gentacymine. Kichaa Msafi // chaki safi. mzabzab // mnzabinzabi
  6. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia ilishawahi mkataa Balozi wa Pakistan sababu ya jina lake ambalo ni tusi kubwa

    Diplomat Whose Name Is Dirty Word in Arabic Rejected as Saudi Ambassador story Published January 14, 2015 1:50am EST A high-ranking Pakistani diplomat reportedly cannot be appointed ambassador to Saudi Arabia because in Arabic his name translates into a phrase more appropriate for a porn...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kama asingekosea kutaja jina langu, ningekuwa na hali gani sasa?

    Nikiwa maeneo ya mikoa ya kusini, baada ya kumaliza harakati zangu za hapa na pale, nikaamua kuingia kiwanja kimoja kwenye mida ya saa nne usiku angalau niweze kupata 'vibe'. Baada ya kufika kaunta, nikaagiza mvinyo kama kawaida yangu huku nikiangalia kule na pale angalau tu, niweze kuona maua...
  8. M

    JamiiForums Tanzania X wangu kamwita mwanaye jina langu

    X wangu kawa single mother na kampatia mwanae Jina langu, mwaka 2014 ni mwaka nilipata KAZI ya kuajiriwa ya Serikali, kabla ya kupata ajira nilipitia msoto wa kibabe Sana, pamoja na marehemu baba yangu kuacha Mali za kiasi, bi mkubwa hakuniamini kabisaa na alikuwa aniona chenga sana so bada ya...
  9. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ilikuwa wa kubadili jina la Tanganyika

    Wadau naomba niseme kitu ila nikikosea mnirekebishe msinitukane.NCHI ya TANGANYIKA ina Ardhi na Watu wake vivyo hivyo na NCHI ya ZANZIBAR. Mwaka 1964 NCHI hizi mbili ziliungana na Kuzaliwa NCHI ya 3 ambayo ni TANZANIA. Binafsi niliamini MUUNGANO ule Ungezaa NCHI MOJA ambayo ni JAMHURI ya...
  10. D

    JamiiForums Tanzania NIDA wamekosea jina kisha wanataka mtu akafanye kiapo

    Habari wandugu na poleni na kazi, Mdogo wangu alifanya usajili wa NIDA na kukamilisha taratibu zote sasa namba ilivyotoka akiangalia online au kupitia mitandao ya simu anakuta limekosewa herufi moja. Alivyouliza NIDA wakamwambia apeleke nyaraka zake kama cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz tunakutaka mara moja uache kujihusisha na jina la Simba wakati unashabikia Utopolo (Matembele)

    Kinachoendelea sasa hivi hapo uwanja wa kaunda katika sherehe za ubingwa wa Yanga ni udhalilishaji mkubwa na unajisi wa jina la Simba unaofanywa na aliyekuwa anajidai ni shabiki wa Simba, Diamond Platinumz. Simba Sc aihitaji macelebrities wa mchongo kutoka hapa Bongo wanaonunulika kwa vipande...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kurekebisha jina la NIDA

    Wakuu samahani, naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakati wa kujisajili NIDA badala ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti. MSAADA TAFADHALI, NI HATUA GANI ZA KUFUATA
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kurekebisha jina NIDA

    Wakuu samahani naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakatai wa kujisajili NIDA baapa ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti. MSAADA TAFADHARI NI HATUA GANI ZA KUFUATA
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wakristo kuna miungu mingi sana. Kusali kwa kusema Mungu badala ya Jina la Mungu unaemuabudu si sawa

    Mungu nisaidie hiki. Mungu utukuzwe. Mungu naomba abcd. Mungu nisamehe dhambi. Mungu asante. Mungu, Mungu, Mungu. Mungu huyo hana jina ? Kuna miungu zaidi ya elfu 18 inaabudiwa hapa duniani. Unaposali kwa kusema Mungu kuna tofauti gani na mtu asietaka kumpa jina mtoto?
  15. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuutambua huu wimbo kwa jina

    Habarini Wakuu, Samahani nahitaji kuutambua huu Wimbo kwa Majina.
  16. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

    Mpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani. Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nimeshtushwa na TCRA kukosea jina lao kwenye ripoti yao

    Nimeshtusha na ripot ya mwezi wa March 2023, ya TCRA ambayo jina lako limekuwa ni Authory badala ya Authority. Yaani hii ni sawa na mtu kujikosea jina lako mwenyewe. Ni aibu
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Nikisema mastaa wenu hawana hela hasa bongo sasa Zari wakwenda kuspend element kwa jina alilonalo?

    Hellow africa Sikutegemea Zari kwenda element kuspend sio hazi yake yeye alitakiwa kwenda maeneo kama wavuvi kempu, karambezi, sea crif, cape town huko ndiko anaweza tumia pesa pale anagawa tu
  19. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

    Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani? Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza utaratibu wa kubadili jina

    Nilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu, Baada ya kubadili Dini,mimechagua jina lingine linaloendani na imani yangu, Sasa nilitaka kubadirisha jina, kwenye cheti cha Nida na Paspoti naomba anayejua utaratibu wake anisaidie, Ninakaa Iringa mjini
Back
Top Bottom