Msaada kurekebisha jina NIDA

Mabiba

Member
Aug 24, 2022
7
0
Wakuu samahani naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakatai wa kujisajili NIDA baapa ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti.

MSAADA TAFADHARI NI HATUA GANI ZA KUFUATA
 
Kwanza unatakiwa kuwashtaki hao NIDA, mkuu. Ni kosa la jinai kukosewa jina lako kwa uzembe kiasi hicho, tena kwa chombo chenye dhamani kubwa kama NIDA.

NB: Wadai hata milioni 800 huko hadi akili ziwakae.
 
Nenda stationary wakutolee cheti chenye jina sahihi maisha yaendelee, ya nini kuumiza akili.
 
Namba tayari umeshapata?
Namba nilipata baada ya kuifuatilia maana haikutolewa mwanzoni nikaambiwa ilifungiwa kisa majina yalikosewa nikamuuliza yule mdada akasma ni kweli walikoosea wao NIDA hayaendani na kwenye taarifa zangu nilizotoa
 
Sina hela ya kumlipa wakili😀
Kwanza unatakiwa kuwashtaki hao NIDA, mkuu. Ni kosa la jinai kukosewa jina lako kwa uzembe kiasi hicho, tena kwa chombo chenye dhamani kubwa kama NIDA.

NB: Wadai hata milioni 800 huko hadi akili ziwakae.
 
Namba nilipata baada ya kuifuatilia maana haikutolewa mwanzoni nikaambiwa ilifungiwa kisa majina yalikosewa nikamuuliza yule mdada akasma ni kweli walikoosea wao NIDA hayaendani na kwenye taarifa zangu nilizotoa
Kama tayari uliwasiliana nao kuwaambia kosa lao, ni jibu gani walilokupa?
 
Back
Top Bottom