jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. Hold on

    JamiiForums Tanzania Taja herufi ya jina la mwazo la mpenzi wako na lako nikwambie kama mnaendana

    Nataka kukusaidia si ajabu unalazisha mapenzi pasipo na mapenzi mwisho uje ujinyonge kisa wivu ww hapa chini andika mfano Mpenzi wangu Grory mimi Isiaka nashughulikia bure ila uwe mpole comment na kama sitokujibu usisite kuniambia
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Casemiro aweka wazi jinsi ambavyo jina lake limekosewa kuandikwa na kutamkwa kwa miaka mingi

    Jina la kiungo wa Man United, Casemiro limekosewa kuandikwa na kutamkwa kwa muda mrefu, lakini mchezaji mwenyewe ameacha iwe hivyo akiamini kukosewa kwa jina kunamfanya acheze vizuri uwanjani. Anasema “Nilipoanza kucheza soka Sao Paulo, kuna mechi walikosea kuandika jina langu kwenye jezi...
  3. mnkenimtaita78

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mamlaka za elimu kumbadilishia Mwanafunzi jina lake?

    Salaam wakuu, Nimepata shida kwa watoto wangu wawili kubadilishiwa majina.Wa kwanza alifanya mtihani wa darasa la nne mwaka 2020 na mwingine 2022.Nilipata kufahamu tatizo Hilo baada ya matokeo ya darasa la nne.Shule walizosomea majibu yao ni kuwa wao walisajili sawasawa kulingana na vyeti vya...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Afghanstan wamebuni gari lao la kisasa kwa jina la Mada 9

    huko afghanstan wameishangaza Dunia baada ya kutengeneza Gari yenye Mundo wa Ferrari. Gari hii imepewa Jina MADA 9. Kaka masoud kipanya unakosea wapi?
  5. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika. Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mti wa ajabu huku Kigoma umenishangaza sana, jina lake unaitwaje?

    Nilikuwa pande za Kigoma vijijini huko, kwenye kutembea nikakutana na huu mti, sema wenyeji hawaujui jina kwa kiswahili. Anyejua jina lake atuambie.
  7. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Hivi Bunge linaweza kukataa kuidhinisha jina la Waziri Mkuu linalopendekezwa na Rais?

    Hii haina uhusiano wowote na kikao cha Bunge kinachofuata. Nilitaka kujua tu, hivi wabunge wetu hawa ambao wengi walipita kwa mgongo wa Hayati JPM, ikitokea mmoja 'miongoni mwao' anapigwa chini u PM halafu linapelekwa jina lingine, wanaweza kulikataa? Maana wanasema mwenzako akinyolewa wewe...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ni de facto Waziri wa Ardhi? Angelina Mabula de jure? Ridhiwani ajiangalie, maafisa ardhi wanatumia jina lake kumchafua

    Nampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo. Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule. Maji yakitulia tutaona chini Kuna nini. Wanasema Kuna "amri kutoka juu" na wanamtaja yeye huku vijiweni baada ya...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumuita mtoto jina ambalo halina maana?

    Leo Nimemtembelea Dada yangu amejifungua mtoto wa kiume. Hila Jambo la kushangaza kampatia mtoto wake jina la Buluga, baada ya ku-google hili jina sijafanikiwa kujua maana yake then na Mama yake anadai hafahamu maana ya jina hilo. Je, ni sahihi kumptia mtoto wako jina Ambalo halina Maana...
  10. Titicomb

    JamiiForums Tanzania TRA kwanini kodi (ushuru) hutozwa kodi tena kwa jina lingine? Wabunge mko wapi?

    Nimejaribu kuisoma kanuni iliyotolewa na TRA ya kukokotoa kodi inayolipiwa bidhaa zinaoingizwa toka nchi za nje nimepata maswali mengi sana. Mojawapo ya maswali ni kwanini Ushuru wa Forodha unatozwa Ushuru wa Bidhaa pia unatozwa Ushuru wa Ongezeko la Thamani (VAT)? Kwanini Ushuru wa Bidhaa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Peru: Watoto zaidi ya 700 wapewa jina la Mfalme wa Soka "Pele"

    Ulimwengu wa kandanda ulimpoteza "King" Pelé mnamo 2022, lakini jina la mchezaji huyu mashuhuri bado litaendelea kuishi, haswa kupitia watoto 738 nchini Peru waliozaliwa mwaka jana. Kwa mujibu wa orodha iliyochapishwa na Msajili wa Kitaifa wa Uraia wa Peru mwishoni mwa 2022, jumla ya watoto 738...
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Jina la Magufuli limetajwa sana mwaka 2022

    Hayati Rais John Pombe Magufuli ndiye mtu aliyetajwa sana katika mwaka huu 2022,penye hoja na pasipokuwa na hoja,ndiye Rais pekee ambaye atazidi kuendelea kutajwa mara nyingi kwenye awamu hii na awamu zijazo na hata kwenye uchaguzi ujao,alikuwa ni mmoja wa viongozi wachache sana wazalendo wa...
  13. Acehood

    JamiiForums Tanzania Jina gani la mwana JF ukiliona tu unaangua kicheko?

    Kwa upande wangu kuna huyu jamaa anaitwa Mnyonya Mbususu Jina lake na comments zake zinaendana sana. Mwingine DeepPond huyu jamaa nikiona tu comment yake picha za ngono zinaanza sambaa kichwani. Na hilo jina sijui alilipata baada ya kuona inapwaya sana bwawani kila aki back and forth kwenye...
  14. thetallest

    JamiiForums Tanzania Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  15. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wa Rap Bongo anayekumbuka nyimbo hii inaitwaje anisaidie jina niitafute

    Habari zenu wakuu, Kuna nyimbo nakumbuka mistari yake na kisa chake, sauti ya Saigon pia IPO kwenye hiyo ngoma,kisa cha nyimbo ni washikaji maisha magumu hawana pesa za mavazi wala maradhi, wanapanga wakavamie nyumbani kwa muhindi tajiri wachukue pesa wamalize shida zao,,katika mpango wao...
  16. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu jina la huu wimbo naomba anijuze

    Natanguliza shukrani
  17. CHIEF MGALULA

    JamiiForums Tanzania Zanzibar na guest isiyo na jina

    Nimekuwa na trend ya kuja Zanziba kila wakati kwa majukumu mbalimbali.Changamoto kubwa huku ni bei ya hotel ambayo mara zote..minimum ni TZS 60,000 ambayo ni Hotel ya kawaida kabisa.Sasa juzi nimekuja tena huku na kumtafuta rafiki yangu akaniambia zipo za bei naafuu. Akanipeleka sehemu fulani...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

    Wanabodi, Angalizo la Bandiko Hili, sijataja jina la mtu yoyote, naomba na wewe usitaje. Hapa nazungumzia title ya mtu kuitwa Mama. Japo title ya "Mama" ni jina la heshima kwa mwanamke, kila mwanamke kuitwa mama ni heshima kubwa zaidi kwa mwanamke yoyote kuliko kuitwa tuu jina lake, hivyo...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania WHO yabadili rasmi jina la Monkeypox kuwa Mpox

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limechukua uamuzi huo baada kushauriana na wataalamu kutokana na uwepo wa malalamiko kwamba jina la sasa lina Ubaguzi wa Rangi na Unyanyapaa. WHO imehimiza mashirika yote yanayotoa hudua za Afya duniani kote pamoja na vyombo vya habari kuanza kutumia jina hilo...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania OAC imerudi kwa jina lingine?

    Harakati zetu kwa nchi za kiarabu sasa hivi ziko wazi zaidi kuliko pale zamani, hii ni kusema sasa tumejiunga OAC kimyakimya? Tunahitaji fedha, Nadhani huu ndio wakati wa kujiunga rasmi na OAC ili Tanzania inufaike na uanachama wake kwa uwazi zaidi.
Back
Top Bottom