jeshi

  1. Takwimu hizi zinamaana gani kwa sera zetu za kijeshi. Tumekua kama Ujerumani?

  2. Mexico yathibitisha kudukuliwa taarifa za afya za Rais pamoja na Jeshi

    Kundi lililofanya udukuzi kwenye nchi za Amerika Kusini limetajwa tena kuhusika na udukuzi na wizi wa data, ikiwemo taarifa za ya hali ya moyo wa Rais Andres Manuel Lopez Obrador pia yaliibwa. Mexico imethibitisha kwamba ilikumbwa na udukuzi mkubwa wa data zinazotunzwa na jeshi, ikiwa ni pamoja...
  3. Polisi Iringa yawaua majambazi saba

    Good work 👇
  4. Tuwache lawama juu ya jeshi la polisi. Safisha safisha ya wahalifu wanaotumia silaha hufanyika hivi dunia nzima

    Huko Ufilipino Rodrigo Durtete alitembeza vyuma mpaka uhalifu ukapungua. Huko Nigeria Polisi hawana mswalie Mtume juu ya wahalifu wanaotumia Siraha. Huko South Afrika ukijulikana unatumia Siraha kufanya uhalifu ni chuma tu. Tuwaache polisi wasafishe wahalifu wanaokata watu mapanga, wanapiga...
  5. Inawezekana vipi Mtanzania akawa mwanajeshi wa jeshi la Marekani?

    Wakuu, Ebu nifumbueni macho, nahisi huyu cousin wangu ananipiga kamba. Iko hivi, alimaliza form 6 hapa bongo mwaka 2009 akaitwa na dada zake wako huko Texas marekani, lengo alitakiwa akasome chuo huko masuala ya IT. So chuo alimaliza ila hakurudi bongo tena, akawa anafanya kazi kwenye kampuni...
  6. Mara: Kuuawa kwa majambazi 3 Serengeti, wananchi wawapongeza Polisi

    Wananchi mbalimbali mkoani Mara wamejitokeza kulipongeza Jeshi la Polisi kudhibiti vikali vitendo vya ujambazi ambavyo vilianza kushamiri mkoani humo hivi karibuni. Wananchi hao wameelezea namna vitendo vya uhalifu wa silaha za moto ambavyo hutekelezwa na baadhi ya ndugu na wanafamilia wenzao...
  7. Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyovamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

    Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti By Beldina Nyakeke Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia...
  8. Jeshi la Ukraine laweka hadharani picha ya mwanajeshi wake alitoka matekani Urusi.

    Aiseeh kuna watu wanajua kutesa.
  9. Tanga: Afisa Upelelezi ashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amesema Afisa Upelelezi Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga anashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokamatwa na mali za magendo zenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 1.2. RC Mgumba amesema September 09,2022 akiwa na...
  10. Urusi yaunda jeshi baada ya kuazimia kukalia moja kwa moja mikoa ya Ukraine iliyoiteka

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza kukusanya wanajeshi wa ziada kwa ajili ya vita nchini Urusi - kulingana na shirika la habari linalomilikiwa na serikali TASS. Anasema kuwa nchi za Magharibi zimeonyesha kuwa lengo lake ni kuiangamiza Urusi na kwamba zimejaribu kuwageuza watu wa Ukraine...
  11. Rais Samia na CCM yake, 'Acheni Jeshi la Polisi lifanye kazi zake'

    Mnyonge mtamnyonga lakini haki yake hupewa. Rais Magufuli kama angeaamua kucheka na nyani, kama angeaamua kutolipa Uhuru Jeshi la Polisi kwenye kudeal na waalifu, basi Tanzania ingeogopwa Duniani. Nani asiyekumbuka Yale ya Kibiti? Nani asiyekumbuka Ujambazi ulokithiri wakati wa Uongozi wa JK...
  12. Jeshi la Polisi: Askari aliyeonekana akichukua rushwa alishafukuzwa

    JESHI la Polisi nchini limesema video fupi inayoonekana ikisambaa katika mitandao ya kijamii ikimuonesha askari polisi akichukua fedha kwa raia wa kigeni, tayari ilishughulikiwa na askari huyo amefukuzwa kazi. Akitoa ufafanuzi huo leo Septemba 14, 2022, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishina...
  13. Mtoto wa miaka 15 auawa na Jeshi la Police Mkoani Mwanza

    Kijana Yahaya Aboubakar mwenye umri wa miaka 15 anadaiwa kukamatwa na askari polisi nyumbani kwa bibi yake mtaa wa Juhudi, Kata ya Mabatini wilaya ya Nyamagana Septemba 2, 2022, akiwa mzima, kisha polisi hao waliondoka nae na kumfungia ndani bibi yake Yahaya ambapo baada ya kufanikiwa kutoka...
  14. J

    Naarifiwa wiki hii wanaopita kwenye barabara za Mwendokasi Kimenuka wanakamatwa na maafisa wa UDART, hawaangalii Jeshi, Polisi wala nani

    Kipindi cha mwendazake watu walikua na adabu hasa kufuata sheria bila shuruti ila kwa sasa Mama wanamchukulia poa, pale Jangwani barabara za Kasi wako MP kabisa inamaa Polisi nao wamweshindwa kazi. Tanzania ni nchi ambayo kufuata sheria hasa kwa viongozi ni kitendawili wakati Ulaya ndio takwa...
  15. Video: Dah! Wananchi wajipanga barabarani kulaki jeshi lao la Ukraine, walikua utumwani yaani

    Baada ya wanajeshi wa Urusi kuteka mji wa Kherson, wazalendo wa Ukraine wamepambana kwa kujitoa mhanga na kukomboa mji, jameni hamna raha kama hii vijana mnalakiwa na wazee wenu wakishangilia ujio wenu wa kishujaa, mnatamba barabarani kibabe kwenye ardhi yenu, bendera yenu, taifa lenu.....hii...
  16. Jeshi la Polisi: Bado tunamsubiri Tundu Lissu na dereva wake ili kufanya uchunguzi

    Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka mitano imepita tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu kushambuliwa, Jeshi la polisi limesema bado linaendelea kumsubiria mwanasiasa huyo na dereva wake. Lissu ambaye anaishi nchini Ubelgiji alishambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 Septemba 7, 2017...
  17. E

    Chimbuko la vitambi linatoka wizara ya elimu na afya, siyo jeshi la polisi

    Jeshi la Polisi wamekuwa wakinyooshewa vidole juu ya vitambi. Lakini shida inatoka wizara ya elimu na afya. Shida ya vitambi na msururu wa magonjwa yasiyoambukizwa chimbuko lake ni wizara ya elimu kutoa elimu mbovu kwa watu kwenye chakula na wizara ya afya kutotoa mwongozo sahihi. Tulitegemea...
  18. Rais Samia ameamua kuwatolea uvivu Jeshi la Polisi na kuyaanika hadharani maovu yao!

    Kwa kweli Katika hotuba aliyoitoa leo huko kwenye Chuo cha Polisi Moshi, Rais Samia ameamua kuyaweka wazi maovu yanayofanywa na Jeshi hilo la Polisi na hivyo nampongeza Sana Rais wetu kwa ujasiri wake huo. Kwanza amesisitiza kuwa ni lazima Jeshi la Polisi lizingatie Nidhamu, Haki na Weledi...
  19. Kuongezeka kwa ukubwa wa jeshi hakutaongeza mafanikio katika vita ya Ukraine

    Waziri wa ulinzi wa UK amesema kuwa mmpango wa Rusia wa kuongeza idadi ya wanajeshi ikijumuisha kuwabembelea wafungwa kuingia vitani hakutarajiwi kuongeza mafanikio katika mzozoz wake na Ukraine. Hii ni kutokana na kuwa Rusia imekuwa ikipoteza wanajeshi kwa wingi. Kwasasa Rusia anataka...
  20. J

    RSM (Regimental Sergeant Major) wa Jeshi la Wananchi - JWTZ

    RSM / Regimental Sergeant Major. Kwa waliopitia JKT watakuwa wanajua uzito wa askari mwenye mamlaka ya RSM wa kikosi. Kwa kawaida RSM ni askari mwenye cheo cha Warrant Officer II, au Warrant Officer I, ktk kikosi husika. RSM hushughulikia masuala ya utii wa askari wa ngazi za chini kikosini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…