Mbeya: Musa Pwele ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za Kumbaka mwanaye wa kumzaa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Musa Pwele (47) Mkazi wa Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuzini na maharimu.

Kaimu Kamanda wa Polisi, ACP Christina Musyani amesema tukio hilo limetokea Mei 05, 2023 Jijini Mbeya baada ya mtuhumiwa kumtishia binti yake wa kumzaa kuwa hatampatia huduma ikiwepo mahitaji ya shule na huduma nyinginezo na kutokana na mashinikizo hayo alifanikiwa kumbaka mtoto wake huyo.

Upelelezi wa shauri hili unaendelea na mara baada ya kukamilika mtuhumiwa atafikishwa mahakamani kwani uchunguzi wa awali umebaini kuwa mtoto huyo ni mjamzito.
Christina Musyani.jpg

ACP Christina Musyani

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linatoa wito kwa jamii kuendelea kupeana elimu ili baadhi ya watu wenye tabia ya kufanya vitendo vya ukatili wa kingono ambao unasababisha athari za kimwili na kisaikolijia kwa mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla.

Aidha, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa jamii kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kukemea vitendo vya ukatili wa kijinsia na kutoa taarifa pindi waonapo viashiria vya vitendo hivyo ili hatua za haraka zichukuliwe ikiwemo kuzuia kutotendeka pamoja na kuwachukulia hatua wahusika.
 
View attachment 2616083

Mbeya kuna shetani
 
Kama Ni Mbeya lazima Ni maelekezo ya mganga. Mganga akiona amekula pesa yako nyingi anatafuta jinsi ya kukupoteza.
Unaweza ukatembea na mchepuko miaka kumi na usimpe mimba, lakini kwa hause girl au kwa binti yako, hata Kama hujaingiza yote, tegemea mimba.
Kuna bwege jingine huku Kibaha mtumishi wa serikali, naye amezaa na binti yake. Tumemuhifadhi mpaka siku mkataba wake wa kuishi utakapokwisha.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Musa Pwele (47) Mkazi wa Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuzini na maharimu.

Kaimu Kamanda wa Polisi, ACP Christina Musyani amesema tukio hilo limetokea Mei 05, 2023 Jijini Mbeya baada ya mtuhumiwa kumtishia binti yake wa kumzaa kuwa hatampatia huduma ikiwepo mahitaji ya shule na huduma nyinginezo na kutokana na mashinikizo hayo alifanikiwa kumbaka mtoto wake huyo.

Upelelezi wa shauri hili unaendelea na mara baada ya kukamilika mtuhumiwa atafikishwa mahakamani kwani uchunguzi wa awali umebaini kuwa mtoto huyo ni mjamzito.
View attachment 2616083
ACP Christina Musyani

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linatoa wito kwa jamii kuendelea kupeana elimu ili baadhi ya watu wenye tabia ya kufanya vitendo vya ukatili wa kingono ambao unasababisha athari za kimwili na kisaikolijia kwa mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla.

Aidha, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa jamii kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kukemea vitendo vya ukatili wa kijinsia na kutoa taarifa pindi waonapo viashiria vya vitendo hivyo ili hatua za haraka zichukuliwe ikiwemo kuzuia kutotendeka pamoja na kuwachukulia hatua wahusika.
Mbeya tena, basi usikute jamaa amefanya hivi kwa ajili ya makafara yake ili apate ubunge au utajiri.
 
Hawa wajinga hawa.. Nafanya tunatukana Wazungu kuwa wametuletea mambo ya ajabu kumbe yenyewe ndio yaaribu maadili kabisa. Mtoto wa kumzaa ni haramu ndugu yako wa kuzaliwa ni haramu mke wa baba yako nyumba ndgo ni haramu.. hiz laana tutazipeleka wapi.?
 
Bora useme wee.
 
Back
Top Bottom