badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,450
- 2,702
Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.
Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.
Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.
Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league
Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.
Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.
Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.
Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.
Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.
JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.