Habari za muda wakuu.
Naomba kwa yeyote anayeweza saidia ktk hili asaidie.
Baada ya majina ya vijana watakaoenda jeshini kutoka,watu waliyapokea kwa namna tofauti.
Wapo waliofurahi,na wapo ambao waliapa kutokwenda.
Mimi kijana wangu ambaye yuko chuo Cha ualimu( special diploma) alifurahi Sana na...