japan

  1. Analogia Malenga

    Je, wajua Japan watu huajiriwa ili kuwasukuma watu kwenye treni?

    Kazi hii inapatikana nchini Japan kutokana umati unaokwenda kazini nyakati za asubuhi kwa kutumia usafiri wa treni. Japan ni taifa linalochapa kazi, na huhakikisha kila mtu anafika kazini kwa wakati unaotakiwa. Kutokana na wingi wa watu, Japan imewaajiri watu wenye taaluma ya kuwasukuma watu...
  2. R

    Nataka kununua gari kwa mara ya kwanza kutoka Sbt japan. Msaada wa procedures.

    Habari za kazi wanandugu. Kazi iendelee ila irekebishwe kidogo maana tozo na ugaidi vimezidi. Twende kwenye mada. Mimi nina uzoefu kidogo kununua magari kutoka Beforward, kwa mara ya kwnza nilitumia wakala, ya pili nikazama mwenyewe mtandaoni nikachagua ninayotaka process zote za malipo hadi...
  3. The Genius

    Tanzania yatia aibu huko Olympic

    Picha hizi mbili zimepigwa jana tarehe 23 Julai 2021 wakati wa tukio la ufunguzi wa michezo ya Olimpiki jijini Tokyo, Japan. Ki-utaratibu, kila nchi iliyopeleka wawakilishi inatajwa halafu wawakilishi wanapita mbele ya umati wakiwa na bendera ya taifa lao. Kutakuwa na jumla ya matukio 339, kwa...
  4. Ndebile

    Ufunguzi wa Olympic Tokyo Japan: Bendera ya Tanzania imeingia peke yake

    Wakuu wenye uelewawa wa haya mambo, naona bendera ya nchi yetu ameibeba mzungu mmoja ambaye sina uhakika kama ni mwanamichezo au kiongozi wa Tanzania! Je huu ndio utaratibu mpya au ndio hivyo tumekosa watu wa kushiriki? Labda wanamichezo watafika kesho! Acha tuendelee kuwashangilia majirani zetu!
  5. Sam Gidori

    #COVID19 Japan: Wachezaji wawili wa Afrika Kusini wapatikana na maambukizi ndani ya Kijiji cha Olimpiki

    Wachezaji wawili wa Afrika Kusini ambao wapo nchini Japan kushiriki mashindano ya Olimpiki wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona siku ya Jumamosi, wakitajwa kuwa washiriki wa kwanza wa mashindano hayo kupata maambukizi ya virusi vya corona wakiwa ndani ya Kijiji cha Olimpiki...
  6. Underthesea

    Maisha ndani ya Manga Kissa: Internet Café za ajabu nchini Japan

    Manga ni riwaya picha (Kwa Kiingereza comics au graphic novels) zenye mtindo wake wa kipekee kutokea nchini Japan. Manga ni maarufu sana nchini humo kiasi kwamba kuna mamia ya maktaba zilizojaa Manga tu. Maktaba hizi huitwa Manga Kissa Manga Kissa nyingi ziko karibu na vituo vya treni...
  7. beth

    #COVID19 Japan kutangaza hali ya dharura Jijini Tokyo kutokana na janga la COVID-19

    Japan inatarajiwa kutangaza Hali ya Dharura Jijini Tokyo ili kukabiliana na wimbi la Virusi vya Corona. Michuano ya Olimpiki imepangwa kuanza Julai 23, 2021 na itafanyika kwa wiki mbili Uamuzi wa kutangaza Hali ya Dharura unakuja baada ya ongezeko la visa. Kwa wiki kadhaa Wataalamu wa Afya...
  8. BLACK MOVEMENT

    Mashindano ya Olimpiki: Tanzania kupeleka wanariadha 3 tu?

    Aiseee sijui kama tuko sawa au kuna shida sehemu. Nilisikitisjwa sana juzi kusikia kwamba Tanzania itapeleka wanariadha watatu pekee kule Tokyo Japan. Hii ni ajabu sana na sijajua tunakwama wapi sisi. Kadri miaka inavyo songa mbele ndivyo tunavyo kosa u seriouse, na tunavyo endelea huenda...
  9. Sam Gidori

    Magari yanayopaa kuanza kutumika 2030

    Kampuni ya Hyundai imesema imepiga hatua kubwa katika kutengeneza magari yanayoweza kupaa, na kuwa ndoto yake ya kuwa na magari hayo inaweza kutimia kufikia mwishoni mwa muongo huu. Kampuni hiyo ya Korea Kusini imesema ina matumaini kuwa usafiri wa magari ya anga unaweza kuwa fursa kubwa ya...
  10. W

    Tunauza vifaa mbalimbali vya magari

    Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
  11. beth

    #COVID19 Japan: Tokyo yahofia uwezekano wa kutokea Wimbi la Tano la mlipuko wa COVID-19

    Ongezeko la maambukizi #Tokyo limesababisha hofu ya uwezekano wa kutokea Wimbi la Tano la Virusi vya Corona, ikiwa ni takriban mwezi mmoja kabla ya michezo ya Olimpiki. Ishara kuwa visa vimeongezeka zilionekana siku chache baada ya Serikali kuondoa hali ya hatari Tokyo na Mikoa mingine 9, licha...
  12. beth

    Uganda Olympic team member tests positive on arrival in Japan

    A member of the Uganda Olympic team has tested positive for coronavirus on arrival in Japan, just over a month before the pandemic-postponed Games, officials said. The first group to arrive from Uganda -- a nine-strong party, including boxers, coaches and officials -- landed at Tokyo's Narita...
  13. beth

    Japan: Dereva wa Treni akabiliwa na adhabu baada ya kwenda kujisaidia

    Dereva wa Treni iliyobeba watu 160 Nchini Japan anakabiliwa na adhabu baada ya kuachia nafasi yake kwa dakika kadhaa ili kwenda kujisaidia Dereva huyo wa miaka 36 aliumwa tumbo na alihitaji kwenda maliwatoni haraka hivyo alimuita Kondakta asiye na Leseni ya Udereva, na kumuachia treni kwa...
  14. S

    Tetesi: Madai kuhusu Commodity Import Task Force iliyoundwa kukusanya fedha za Serikali ya Japan na vigogo wanaohusishwa ni ya kweli?

    Kuna taarifa inasambaa mitandaoni tangu jana kuhusu hiyo task force inayodaiwa kuundwa kwa lengo la kukusanya fedha za serikali ya Japan zinazohusiana na Commodity Import Support. Mtoa taarifa, mbali na kutaja watu anaowatuhumu, ameweka mpaka demand notice jambo linalonifanya nijuilize maswali...
  15. S V Surovikin

    Korea Kaskazini yaangusha mabaki ya kombora la masafa marefu ndani ya eneo la Japan

    Korea Kaskazini yafyatua makombora ya masafa marefu katika bahari ya Japan CHANZO CHA PICHA, REUTERS. Maelezo ya picha: Kiongozi huyo wa Korea Kaskazini amerudia kufanyia majaribio makombora ya masafa marefu Korea Kaskazini imefyatua makombora mawili ya masafa marefu ndani ya bahari ya Japan...
  16. T

    Je, magari ya Japan huwa mileage zinazoonyeshwa ziko sahihi?

    Wataalam wa magari, naomba kuuliza maswali machache. Nasikia watu wanaweza kuchezea Odometer reading za magari kwa kurudisha nyuma ili gari ionekane iko na mileage chache Ukikuta gari kwenye mtandao wameandika mileage ni 60,000 KM je huwa ni sahihi ama wamechezea Odometer? Je, Japan hawana huo...
  17. B

    Nasikitishwa na uhusiano wetu na Kenya, unaumiza wakulima na wafanyabiashara

    Kati ya majirani zetu ambao wanapaswa wawe soko letu kubwa la bidhaa za kilimo na biashara nyingine ni Wakenya. Ila Kati ya watu ambao tumekuwa tukiishi nao Kama maadui kwa miaka sita Sasa ni Kenya. Nchi inayotaka kuinua wakulima na wafanyabiashara uwekeza kwenye diplomasia ya eneo lilipo...
  18. Sam Gidori

    Bilionea wa Japan anatafuta watu 8 kwenda naye mwezini

    Hii ni bahati ya mtende kuota jangwani! Bilionea mmoja nchini Japan anatafuta watu 8 kutoka kote duniani watakaomsindikiza kwenda mwezini mwaka 2023 katika safari ya kibinafsi. Bilionea huyo, Yusaku Maezawa mwenye umri wa miaka 45 aliyejipatia utajiri wake kupitia fasheni mtandaoni, alitangazwa...
  19. Mzee23

    #COVID19 Kipimo cha Covid-19 cha haja kubwa: Japani yaitaka China kuacha kukitumia kwa raia wake

    Baada ya wataalamu wa China kugundua kipimo kipya cha maambukizi ya virusi vya korona kinachopima kwa njia ya haja kubwa, miji mingi nchini humo imeidhinisha kipimo hicho. Viwanja vya ndege pia hukitumia kwa wasafiri WANAOINGIA CHINA! jambo lililoifanya Japan kuitaka china kuacha kutumia kipimo...
  20. BAK

    #COVID19 Japan yatoa tahadhari kusitisha au kuahirisha safari za Tanzania kufuatia hali mbaya ya maambukizi ya Covid-19

    TOKYO - Wizara ya Mambo ya Nje ya Japan imetoa onyo kusitisha au kuahirisha kusafiri kwenda Tanzania kwa sababu ya hali mbaya ya maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus. ========= Japan warns against traveling to Tanzania as country denies existence of coronavirus February 10, 2021 (Mainichi...
Back
Top Bottom