japan

  1. L

    JamiiForums Tanzania China yasema vizuizi vya kuagiza vyakula vya baharini kutoka Japan ni muhimu na vya haki

    Hivi karibuni, Japan ilianza kumwaga maji taka ya nyuklia baharini kutokea kituo cha nyuklia cha Fukushima. Hatua hii ya Japan imelalamikiwa sana na Wajapan wenyewe pamoja na jamii ya kimataifa, lakini serikali ya Japan imeamua kuziba masikio na kuendelea na kitendo hicho ambacho ni hatari si tu...
  2. Jackal

    JamiiForums Tanzania Urusi yahamisha mifumo ya ulinzi wa anga toka kisiwa inachogambania na Japan cha Kuril kupeleka kwenye mpaka na Ukraine

    My take: Baada ya mambo kuwa magumu kwenye vita vyake na Ukraine, kupoteza silaha nyingi,Urusi yaanza kuhamisha silaha toka maeneo mengine kupeleka frontline dhidi ya Ukraine.Njia rahisi ya kumaliza vita,ni Putin kuondoka Ukraine,ikiwemo Crimea 🤔 .... Russia has taken away anti-aircraft missile...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Visiwa na nchi zinazopakana na bahari zaingiwa na taharuki baada ya Japan kumwaga majitaka yenye sumu ya nyuklia baharini

    Hivi majuzi Japan ilianza kuyaachilia maji taka yanayotoka kwenye kituo cha nyuklia cha Fukushima na kuyamwaga kwenye baharini ya Pasifiki, licha ya kwamba nchi zake nyingi jirani zilionesha wasiwasi mkubwa juu ya hatua hii, na hata kupinga kitendo hicho. Japan inadai kwamba eti maji haya...
  4. Magari Bei Nafuu

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza magari yaliyotumika kutoka Dubai kwa cash na Mkopo

    Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidogo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya masaa 48 ya kazi Tunapatikana Dar es salaam kwa mawasiliano zaid Call or Whatssap (0719415519)...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Toyota Crown Japan Ni taxi

    Tunakumbushana tu kuwa Toyota crown Japan ni taxi tu. So tupunguze shobo na kuvimba bila sababu.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kuliko kununua gari used Bongo bora usubiri uagize tu used Japan

    Kwa muda nimejaribu kutafuta hivi vigari vidogo kama IST, Vits , Allex nk Vingi madalali wanauza Mil 10 mpaka 13 almost bei ya kuagiza mil 14 - 16 Japani. Hapo ukishanunua Bongo jiandae tena na mil 2 za kurekebisha gari angalau uweze kutembelea. Kwa ushauri tu usikimbilie kununua gari used...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuagiza gari kutoka UK vs South Africa, Japa & Singapore

    Habari za leo waungwana. Mimi nataka kuagiza used gari kutuka nje na nime narrow down kwenye hizo nchi kwani ndio nimeambiwa magari mengi yanatoka huko Mazingatio makubwa kwangu ni Uimara, usalama na matengenezo ( japo nimeambiwa gari ambayo haijatumika sana hugharamiki sana matengezo au...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kodi ya uagizaji gari Japan kuja Tanzania unatisha. Land cruiser Prado bei TZS 40,638,290 (hadi Mwanza via DSM). Kodi + gharama zingine 42,060,235!!

    Mfumo wa kodi ya uagizaji gari (used abroad) toka nje hususani Japan kuingia Tanzania unatisha na kushangaza sana... Mathalani hivi inawezekanaje kodi na gharama zingine pale bandarini ziwe kubwa kuliko bei ya gari yenyewe? Msingi wa kutoza kodi kwa jinsi hii UNAKUWA ni nini eti..? Nimeagiza...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Japan yapuuza maslahi ya nchi nyingine kwa mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyuklia baharini

    Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan hivi karibuni imeanza kazi ya majaribio ya mitambo ya kupeleka maji machafu ya nyuklia baharini. Baada ya kumalizika kwa majaribio hayo, Japan inatarajia kuanza rasmi mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyukilia kwenye bahari ya Pasifiki. Mwaka 2011...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya balozi wa Tanzania nchini Japan na fursa katika zao la kahawa kutoka Tanzania

    "Jina langu ni Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan, nikiwa na dhamana ya kuiwakilisha pia nchi yetu katika nchi za Australia, New Zealand na Papua New Guinea. Leo tumekusanyika hapa katika mojawapo ya makampuni makubwa nchini Japan yanayojishughulisha na biashara ya chakula Japan na...
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Hii thinking ni ya Japan au Old Europe na USA lakini sio Afrika

    Alitaka kujenga treni ya Umeme Tanzania, swali likaja umeme atautoa wapi wa kuendesha hiyo treni? Akapiga akili akagundua kuna uwezekano wa kupata zaidi ya 2000 MW green energy huko Rufiji Delta, akaingia lab kazi ikaanza, Bwawa la kuzalisha umeme zaidi ya 2000 MW likaanza kujengwa fasta...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Japan: Waziri Mkuu amfuta kazi mwanawe kuwa msaidizi wake

    Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida amechukua uamuzi huo wa kumuondoa mtoto wake ambaye ni Katibu Mkuu wake kutokana na kuonesha tabia mbaya. Hatua hiyo imekuja baada ya picha kuvuja, zikimuonesha kijana huyo, Shotaro akifanya sherehe pamoja na ndugu zake katika ofisi ya Waziri Mkuu huku...
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuuza magari Japan, Ulaya na Marekani

    Katika kuitikia wito wa Tanzania ya Viwanda na kufungua Uchumi. Tanzania Sasa unaenda kuuza magari yaliyoundwa nchini (pichani) na wasomi nguli waliosomeshwa Kwa Kodi zetu.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mbona Japan wameturuka?

    Waziri Mkuu wa Japan atatembela Egypt, Ghana, Kenya na kuturuka na kwenda Mozambique Kulikoni Mozambique, yaani sisi tunaona karuka mkojo na kukanyaga. Au ni kinyume chake. ========= Prime Minister Fumio Kishida’s one-week diplomatic tour of Africa — his first trip to the continent since...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuagiza gari japan

    Habari za humu members,naombeni msaada katika hili nimejichanga hela kidogo nna mil.12 net.Sasa nataka kufanya maamuzi ya kupata usafiri wangu wa kwanza kabisa (sijawahi miliki gari)nataka gari ndogo tu itakayo nisaidia kwenye mishe zangu za hapa mjini.naombeni mawazo kwenye maamuzi yangu haya...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii companies from japan

  17. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu real motor auction japan kama kuna mtu ameshawai agiza gari kwao

    Naomba kujua hii company hipo kwel au
  18. Mtenzeli

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ufahamu juu ya kampuni ya kuuza magari ya gloauc ya nchini Japan

    Wakuu, Amani iwe nanyi nyote! Kama mada inavyojieleza, nimejikusanya kidogo nikaona ni wasaa mzuri wa kupata chombo cha usafiri ili kurahisisha mizunguko yangu ya kila siku. Katika pitapita zangu mtandaoni miongoni mwa makampuni ya uuzaji wa magari niliyokutana nayo ni kampuni ya GloAuc. Kwa...
  19. GP Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Kenya yafanikiwa kurusha Satelite yake kwenye mzingo wa Dunia kwa kutumia Roketi, Tanzania kufanya hivyo mwaka 2025

    Nchi ya Kenya wamefanikiwa kurusha satellite yao kwenda anga za mbali muda mchache uliopita ikiwa imesafirishwa ndani ya rocket ya Falcon 9 kutokea huko katika kambi ya Vendeberg space center Mara baada ya majaribio matatu kushindikana siku chache za nyuma kutokana na hali mbaya ya hewa ambayo...
  20. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan anasurika kifo baada ya kutupiwa Bomu

    Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba. Kishida alikuwa anazuru bandari ya Saikazaki mkoani Wakayama leo Jumamosi asubuhi. Waziri Mkuu wa...
Back
Top Bottom