japan

  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Japan Expo 2025: Tanzania kuwakilishwa na nani?

    1. Kama mjuavyo Japan Expo 2025 imeanza toka April 2025. Sisi wazee wa fursa tunawakilishwa na nani huko? Kwenye msafara tusisahau kubeba Korosho, Karafuu na Madera. 2. Bongo movies wasikose kwenye list tafadhali
  2. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania Taiwan, Koxinga na vita ya Uchina dhidi ya Japan: Historia inayodhihirisha mvutano wa leo

    Kwa sasa tunaiona Taiwan kama eneo linalovutana na China, huku kila upande ukidai uhalali. Lakini je, historia ya Taiwan ni ipi hasa? Ilikuwaje sehemu ya China? Je, Nationalists walifika vipi kule? Na walikuwa na msimamo gani wakati wa vita dhidi ya Japan? --- 1. Je, China Ilikuwa Chini ya...
  3. mcTobby

    JamiiForums Tanzania kifahamu Kitengo No.731 huko Japan.

    Japan miaka yake ikiwa kwenye peak, ilikuwa ni moja ya nchi tishio barani Asia kama tu Ujerumani ilivyokuwa tishio barani ulaya enzi zile za vita kuu ya pili ya dunia. Sasa ndani ya jeshi la Japan kulikuwa na kitengo cha kitabibu kulichokuwa mahsusi katika kufanya tafiti za kisayansi za...
  4. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania California yaipiku Japan kwa kuwa namba nne kwa uchumi mkubwa Duniani

    Jimbo la California nchini Marekani imeipiku Japan kwa kuwa na uchumi mkubwa namba NNE Duniani. Uchumi wa California umeipita Japan, na kuifanya jimbo hilo la Marekani kuwa nguvu ya nne kwa ukubwa kiuchumi duniani. Gavana Gavin Newsom alijivunia takwimu mpya kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Japan wanawapaka rangi ng’ombe kama pundamilia kuwakinga

    Nchini Japani, watafiti wamegundua mbinu rahisi na rafiki kwa mazingira ya kuwalinda ng’ombe dhidi ya kung’atwa na wadudu: kuwachora kwa mistari myeusi na meupe kama ya pundamilia. Utafiti wao umeonyesha kuwa muundo huu unapunguza kutua kwa inzi kwa zaidi ya asilimia 50, hasa maeneo nyeti kama...
  6. KJ07

    JamiiForums Tanzania Msaada wa MEXT SCHOLARSHIP APPLICATION ya JAPAN

    Habari za wakati huu wana jukwaa. Niko mbele yenu hapa kuomba kama kuna yoyote aliyewahi kuomba na kupata Scholarship za MEXT za nchini JAPAN aweze kunipa guidance ya mambo kadhaa maana dirisha ndo limegunguliwa. Natanguliza shukrani na naomba kuwasilisha. Asante.
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupaa Japan

    Nchi ya Japan imepiga hatua za juu zaidi za kiusalama wa tetemeko la Ardhi kwa kutumia Nyumba za levitating zilizotengenezwa na Kampuni ya Kijapani ya Air Danshin Systems Inc. wakati wa hali ya kawaida, Nyumba zitatumia airbag deflated. Lakini wakati wa Tetemeko wameandaa mfumo wa kupanda juu...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Japan miti haikatwi, husogezwa kupisha ujenzi

    Ukitembelea Nchi ya Japan kama mimi nilivyofanya Kuna mambo Mengi ya kushangaza kule😃!! Najua umeshtuka sio, Nchi ya Japan miti haikatwi katwi hovyo hata kama Iko kwenye njia ya Eneo ambalo linapaswa barabara nyumba kujengwa, huweza kuhamishwa kwa uangalifu. Badala ya kuharibu asili kwa...
  9. Kudasai

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Shipping ya mizigo kutoka 🇯🇵 kuja Tz ni gharama kubwa?

    Wasalaam! Kwa kweli hili jambo limekuwa linanipa shida sana tena kwa muda mrefu! Ni kwanini kusafirisha mizigo kutoka Japan kuja Tz ni gharama kubwa? Mfano: Mzigo usiozidi 2kg utasafirisha kwa $30 by Sea freight, $230 by UPS na $295 by DHL! Why is it so expensive? Tena kwa njia ya Sea freight...
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Ni bora kununua gari yenye kilometa 200,000 kutoka Japan kuliko kununua gari yenye kilometa 50,000 Tanzania

    Madalali wa magari nchini Tanzania kila siku wamekuwa wakiharibu biashara ya magari ya mkononi kwa kukosa elimu ya biashara. Uaminifu, ukweli na uwazi ni msingi MKUBWA sana kwenye ukuaji wa biashara yoyote ndio maana kwa kulijua hilo, wenzetu wa nje hawarudishi nyuma kilometa ambazo zinasoma...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki hafla ya kumbukumbu ya siku kuzaliwa ya mfalme wa Japan

    WAZIRI KOMBO ASHIRIKI HAFLA YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA KUZALIWA YA MFALME WA JAPAN Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika hafla ya kusheherekea miaka 65 ya kuzaliwa Mtukufu Naruhito, Mfalme wa Japan iliyofanyika katika...
  12. instagram

    JamiiForums Tanzania Tariffs za Tanzania zitaumiza uchumi wetu dhidi ya Marekani, Japan na Ulaya

    Kwa hali ilivyo sasahv duniani kuna vita kubwa ya tariffs kwenye bidhaa mbalimbali toka nchi mbalimbali ambapo tumeshuhudia Trump akiongeza tariffs dhidi ya mataifa mengine kwa takribani asilimia 10% hadi 25%. Nchi yetu ina tariffs za magari yatokayo nje ya around asilimia 100%, hii sijui...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maua kioo yanayostawi Japan

    Kwa haraka unaweza ukadhani ni picha za kutengenezwa na akili mnembe.. Lakini hizi ni picha halisi za maua yanayostawi nchini Japan.. Na kwa jinsi jamaa walivyo wachoyo😀 hakuna mbegu wamewahi kugawa.. Wanalinda sana tunu zao za kipekee..lakini linapatikana pia China na Marekani
  14. Ngwathra

    JamiiForums Tanzania Safari ya vijana wa Kawe kwenda Birmingham na Japan

    Wakati tunakaribia na kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao ni muda muafaka kuanza kuevaluate viongozi wetu tuliowachagua na kucrosscheck ahadi zao kwa wapiga kura waliozitoa wakati wanaomba kuchaguliwa kipindi kilichopita. Nikiwa kama mkazi wa Tegeta mbunge wangu alituahidi katika baadhi ya ahadi...
  15. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tuna uwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany

    Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tunauwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany Trump amekuwa akituchukulia Waafrika kama wajinga flani hivi akidhani sisi ni dhaifu sana anaweza kutunyanyasa anavyotaka yeye na tusiweze kufurukuta...
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Japan imeruhusu watafiti kuumba binadamu

    𝗝𝗔𝗣𝗔𝗡 𝗜𝗠𝗘𝗥𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗙𝗜𝗧𝗜 𝗞𝗨𝗨𝗠𝗕𝗔 𝗕𝗜𝗡𝗔𝗗𝗔𝗠𝗨 Dunia na maajabu yake!! 👋 Nchini Japan mwaka 2019 waliweza kupitisha Utafiti kwa kuweza kuwaruhusu Wanasayansi kuweza kuumba Wanadamu. Mfumo huo ambao unakusanya viungo vya Wanyama na binadamu ili kuweza kukuza viungo vya binadamu ndani ya mnyama...
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania TRA: Ukitoka kuagiza gari kutoka nje (Mfano Japan), lazima uwe na TIN number

    Naona utaratibu unazidi kubadirika. Kuanzia tar 20 Jan, 2025 unavoagiza gari kutoka nje ya Tanzania, lazima utume na TIN number, sio kama zamani ulikua unaitumia wakati wa kutoa gari. Admin kutoka Mapato TRA Tanzania njoo ufafanue.
  18. S

    JamiiForums Tanzania USA yalalamika kuwa ushiriki wa majeshi ya Kim vitani Ukraine unayafanya majeshi hayo kuwa hatari zaidi kwa Japan, South Korea na Marekani

    Kwa kawaida adui yako ukiwa wamfyeka vitani ni furaha kwako. Cha kushangaza South Korea na Ukraine wamekuwa wakilalamika kuwa wanaajeshi wa North Korea (adui yao) wanaopigana vita upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamekuwa wakifyekwa kwa makumi elfu! Wakati propaganda hizo zikiendelea, North...
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Japan ni magari pekee?

    Japan ina viwanda vingi, vya magari vikiwemo. Lakini bidhaa za Japan zinazoletwa sana nchini ni magari na, pengine, spea za magari. Kwa nini baidhaa zingine za Japan si maarufu nchini? Au kumepangwa kuwe hivyo, kwamba kwa magari Mjapan awe "supplier" wa Tanzania na bidhaa zingine awe Mchina?
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Japan nchini Tanzania ameipongeza TRA kwa kufanya makusanyo makubwa ya kodi kistarabu

    Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa leo tarehe 03 Januari, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake. Katika...
Back
Top Bottom