jamiiforums

About Jamii Forums
logox.png

JAMII FORUMS (JF) is a Non-Governmental Organization that advocates and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. It has helped Human Rights Defenders to remain safe online, enhance digital skills for various CSOs and using content engagement in amplifying their work on its platforms across Social Media.

JF operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well known for Stories of Change with a proven track record in public engagement around critical social issues reaching over 3,000,000 people daily. JamiiForums.com was found in March 2006.


Focus Areas
  • Amplification of Citizen Voices
  • Access to the Right Information
  • Data Privacy and Protection
  • Digital Rights Advocacy
  • Promotion of Stories of Change
  1. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums statics adi raha 😂😂😂

    Viseversa is true
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwana JamiiForums Happiness Essau, achukua fomu ya Ubunge Jimbo la Bukoba

    Happiness Essau ALITAKA JIMBO LA BUKOBA MJINI, AJITOSA KUCHUKUA FOMU Bi Happiness Essau akikabidhiwa fomu yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Bi Happiness Essau amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini...
  3. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Comments za mitandaoni: Comment gani ilikufurahisha zaidi?

    Habari wanna JF. Mtu anapopost video, picha au andiko lolote mitandaoni lazima apokee comments tofauti tofauti, Kuna zingine nzuri, zingine mbaya na zingine za kufurahisha. Ni comment gani ilikufurahisha zaidi?
  4. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi humu JamiiForums kuna wanawake wenye roho mbaya kama huyu?

    Nimemuonea huruma sana huyu jamaa alichofanywa na huyu mwanamke wake wa zamani. Maneno aliyoambiwa nadhani yameacha vidonda vikubwa na kama akipona basi, itakuwa ni baada ya muda mrefu sana. Vijana wangu, sampuli za namna hii siyo nzuri kwa afya yako, zikimbie kila zinapojaribu kukukaribia.
  5. osmaney

    JamiiForums Tanzania Unafikiria nini kuhusu Wanawake wa JamiiForums?

    Habari za mda huu wanaJf Poleni na majukumu (kwa wale wataftaji) Hongera kwao pia. MUNGU awajalie katika utaftaji wenu (kwa wale wafanyao shughuli halali) Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.. kwa kuanza na Mimi nafikiria kwamba 1. Wapole 2. Wanaakili za maisha 3. Wengi wao ni umri (25_35)...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Maisha ya huku Kijijini nchini Rwanda yananifanya niwe mbali kwa muda sasa na wana JamiiForums na kiukweli nimewamisi mno

    Pokeeni Salamu zenu nyingi kabisa kutoka hapa Nyumbani Mkoani Gisenyi nchini Rwanda. Nashindwa kuwa nanyi mara kwa mara kwakuwa huku Kijijini ( Shambani ) nilipo kuna muda Mtandao haukamati kabisa. Za huko Tanzania Marafiki zangu. Vipi Rais JPM anaendeleaje? Klabu yangu pendwa ya Simba...
  7. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Wanachama wengi wa JamiiForums ni mashabiki wa TBC1

    Nianze kwa kulipongeza shirika letu la utangazaji Tanzania kwa maboresho makubwa katika vipindi, teknolojia na ubunifu hususani katika awamu hii ya 5. Tumeshuhudia maana hasa ya shirika la utangazaji la UMMA. Katika jukwaa hili wapo wengi ambao hujinadi kuwa hawaitazami kabisa TBC1 lakini baada...
  8. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Legal Gurus mliopo hapa JamiiForums hebu tusaidieni katika hili kwani nahisi kuna Watu wanakwepa wajibu wao

    Kwa ninavyojua Mimi ni kwamba kama ukiwa na Usafiri wako na ukaenda Ofisi fulani au katika Duka fulani (hasa hizi Supermarkets) mbalimbali na bila Kusahau na Mahotelini basi Mwenye Dhamana na Ulinzi wa Chombo chako cha Moto (Gari) ni hao wenye Kampuni au Sehemu husika ambayo unakwenda kupata...
  9. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

    Wakuu, Leo usiku wa manane, kati ya saa 8 na saa 10, tutakuwa na marekebisho kadha wa kadha katika miundombinu yetu yanayoweza kupelekea kusimama kwa baadhi ya huduma (na wakati flani huduma zote kusimama). Hii ni katika kuimarisha zaidi miundombinu yetu na kuongeza uwezo wa kuhimili...
  10. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Wanachama ( Members ) hawa ambao inasemekana ni Maarufu sana Kimichango hapa JamiiForums wamepotelea wapi?

    1. Sky Eclat 2. Baba Swalehe 3. britanicca 4. The Boss 5. Nifah 6. miss chagga 7. GENTAMYCINE 8. MAWAZO UJENZI 9. Ruttashobolwa 10. Ukwaju 11. pakaywatek
  11. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

    Wakuu, Kumekuwepo maombi ya wadau wakitaka kuweza kutoona aidha wanachoandika watu fulani au kutoona content kutoka forum fulani au contents za thread fulani tu. Naam, tumelifanyia kazi hili na sasa unaweza kufanya hivyo. ZINGATIA: Ignore list yako inakuwa hapa mara zote...
  12. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala katika JamiiForums

    Wakuu, Mwongozo huu tunauweka hapa ili wadau mtoe maoni kwani inawezekana wengi hamjausoma. Una mabadiliko kidogo lakini umekuwepo muda mrefu. Bandiko kuu lisilojadiliwa lipo hapa: JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala Unaweza kutoa maoni yako ili...
  13. Malaika Gabrieli

    JamiiForums Tanzania Member mpya ndani ya JAMIIFORUMS

    Habari zenu member wa JamiiForums. binafsi nina furaha sana kujiunga katika mtandao huu wa kijamii (JamiiForums), naomba kukaribishwa.
  14. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Je unajua kwamba yawezekana kuna watu wanajuwa nywira(password) yako ya Jamiiforums, Google, internet banking na kwingineko?

    Leo nataka nikujuze kwanini kuna wakati baadhi yetu tuna watuhumu kimakosa JF wana mtu anayetoa siri za watumiaji wake waliojisajiri kumbe hawahusiki . Unakumbuka wakati flani kuna account ya mwana JF mwenye jina la jamaa mmoja maarufu mtandao wa twitter iliwekwa wazi account yake kwenye...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

    Kesi namba 456 ya mwaka 2016 inawakabili Mkurugenzi wa Jamii Media Ndg. Maxence Melo na mwana hisa mwenzake Micke William itasomwa leo Aprili 08, 2020 mbele ya Hakimu Thomas Simba kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Hukumu hii awali ilipangwa kutolewa Novemba 26, 2019...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania COVID-19 : Naibu Waziri wa Afya aipongeza JamiiForums kwa elimu iliyotukuka

    Dr Faustine Ndungulile ambaye ni Naibu Waziri wa Afya ameipongeza na kuishukuru Jf kwa uchambuzi makini na kuelimisha Jamii kuhusu Ugonjwa wa Corona . Hii ni heshima kubwa sana kwa Wanachama wote wa JF Wito: Tuendelee kuelimisha wananchi wenzetu namna bora ya kujikinga na Corona . Mungu...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kesi namba 458 (Jamhuri v JamiiForums) yaahirishwa tena kwa kukosekana Shahidi. Mara ya mwisho kuwa na Shahidi ni Novemba 12, 2018

    Kesi namba 458 ya mwaka 2016 (Jamhuri dhidi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo na mwenzake Mike William) imeendelea leo tarehe 23 Machi 2020 mbele ya Hakimu Huruma Shaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Katika shtaka la pili kwenye Kesi hiyo, Watuhumiwa wanashtakiwa kwa...
  18. Asha D Abinallah

    JamiiForums Tanzania Kutoka JamiiForums: Kliniki ya Kidigitali Maalum kwa Wanawake katika kumsheherekea Mwanamke

    Habari Wakuu, Siku ya kusheherekea siku ya Mwanamke duniani, inahusu si wanawake tu, bali hata wanaume pia. Hii ni siku maalum ya kila mwanadamu kutambua umuhimu na nafasi ya Mwanamke kwa kumwangalia kama mwanadamu na si kwa vigezo vya sifa ya kuzaliwa Mwanamke. Na kwamba anastahili haki na...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke atembelea Makao Makuu ya JamiiForums

    Amekutana na maofisa, wafanyakazi pamoja na Mkurugenzi wao. Amefurahishwa sana na namna JF inavyowahudumia wateja wake. Mungu ibariki JF ====== BALOZI WA UINGEREZA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JAMIIFORUMS Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke leo Machi 06, 2020 ametembelea Makao Makuu ya JamiiForums...
  20. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, basi tumefika pabaya sana

    =========== UPDATES NIDA WATOA UFAFANUZI
Back
Top Bottom