jamiiforums

About Jamii Forums
logox.png

JAMII FORUMS (JF) is a Non-Governmental Organization that advocates and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. It has helped Human Rights Defenders to remain safe online, enhance digital skills for various CSOs and using content engagement in amplifying their work on its platforms across Social Media.

JF operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well known for Stories of Change with a proven track record in public engagement around critical social issues reaching over 3,000,000 people daily. JamiiForums.com was found in March 2006.


Focus Areas
  • Amplification of Citizen Voices
  • Access to the Right Information
  • Data Privacy and Protection
  • Digital Rights Advocacy
  • Promotion of Stories of Change
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kesi na. 456 (Jamhuri v JamiiForums): Hukumu yaahirishwa kwa mara ya nne

    Kesi namba 456 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) ambapo Kampuni ya Oilcom iliandikwa katika mtandao wa JamiiForums ikidaiwa kukwepa kodi na kuchakachua mafuta bandarini Dar imeahirishwa tena leo Februari 19, 2020 hadi Aprili 02, 2020. Hukumu hii awali ilipangwa kusikilizwa...
  2. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Tuiunge Mkono JamiiForums Katika Tanzania Digital Awards

    Habari za jioni wakuu. Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii Tanzania Digital Awards na katika kupekua pekua nikaona kuna category ambayo hata mtandao wetu pendwa wa JF na Maxence Melo wapo kwenye kinyang'anyiro. Hivyo basi nikaona haina budi kuweka uzi hapa kuwajulisha (ambao...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania JamiiForums ikikosa thread mpya kwa siku afya yangu inatetereka

    Jf inanipa uraibu mbaya Sana nimeshafanya kautafiti Yani kukiwa hakuna nyuzi mpya katika majukwaa yote huwa afya yangu inapata shida . Mfano mafua makali Kichwa kuuma Mwili kuchoka haraka Kushindwa kufanya maamuzi kwa wakati nk. Je nifanyaje niondokane na huu uraibu wa jf? Kuna wakati...
  4. Invisible

    JamiiForums Tanzania Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Baadhi ya watu wamekuwa wakijaribu kuupindisha ukweli ndani ya JF na kuanza kuwafanya watumiaji wa JF kudhani kuwa aidha wanaonewa au kuna jambo nyuma ya pazia. Ni wakati muafaka wa kuwafahamisha watumiaji wa JF (wanachama na wasio wanachama) nini hufanywa na moderators na kwa misingi ipi...
  5. WE ARE ANONYMOUS

    JamiiForums Tanzania Vipi kama JF nayo ingekua na button ya Followers

    Ukienda kule Instagram, Twitter na Facebook, followers ndio habari. Hadi watanzania wengine wanauza account zenye followers wengi. Najaribu ku imagine kama JamiiForums ingekua na kitufe cha Followers, unahisi nani angekuwa na Followers wengi, na je mnaonaje hii feature ikiwa introduced hapa JF?
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Tundu Lissu anasoma michango yetu humu JamiiForums?

    Hivi Mh TAL ANASOMA post zetu sisi wapenzi wake ambao tunamkubali mno kuliko maelezo? Je tal anamjua/ anazijua I'd hizi? Sky eclat Erthrocyte Na wengineo? Je nitahakikisha vipi tal amesoma post yangu? Basi kupitia Uzi huu nimuombe tal afungue I'd yake ambayo ni verified ili tuweze...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili yajibu hoja za Wana JamiiForums kuhusu vifo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TUHUMA ZINAZOSAMBAA MITANDAONI KWAMBA WAGONJWA WENGI WANAPOTEZA MAISHA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI-MLOGANZILA. Dar es Salaam. 06 Januari, 2020 Kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Jamii Forum ambazo bila kuchanganua zinatuhumu kwamba...
  8. Bubu Msemaovyo

    JamiiForums Tanzania JamiiForums is the best social media in Tanzania

    Wana JF, Hadi kufikia leo hii mimi binafsi nimeelimika sana tangu nilipojiunga na JamiiForums miaka kadhaa iliyopita. Ni jukwaa ambalo wanachama wake ni kutoka kila fani nchini Tanzania. Kwa masuala yoyote ya Siasa, Jamii, Uchumi na Michezo; vyote vipo JF. Ni media ambayo hufichua maovu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania RPC wa Dodoma, Afande Muroto aituhumu JamiiForums kwa kupotosha taarifa za kifo cha Sheikh Rashid Bura

    Sheikh Bura alikutwa amekufa ndani ya ofisi yake. Afande Muroto anasema sababu ya kifo ni moyo wa Sheikh Bura " kufeli. " Taarifa za watu wengine zinadai mwili wa marehemu ulikutwa na majeraha matatu. Zaidi, soma: Polisi: Mmiliki wa shule ZamZam amefariki kwa matatizo ya moyo, hakuna...
  10. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Je! Tutegemee filamu kutoka kwa JamiiForums? Da'Vinci, Kiranga, Sky Eclat, Zero IQ, Kawe Alumni, Fortaleza na wengineo ndani

    kumekuwa na matukio mbalimbali yanayojiri Tanzania,. Je, ni muda sasa kueleza matukio hayo kwa filamu? Tutegemee filamu kutoka kwa JamiiForums? Ikiwa wapo wataalamu wa masuala mbalimbali na kila aina ya watu hapa JF Tunaweza kushuhudia kitu kutoka kwa Da'Vinci, Kiranga, Sky Eclat, Zero IQ...
  11. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Vidubwasha vya JamiiForums

    Kuanzia Jana nikiwasha PC na kuingia JF kuna vidubwasha vyeupe vinakuwa vinapita pembeni ya screen kama vinaanguka chini, VINANIKERA BALAA. Sijui vina maana gani, viangalie kwenye video hii
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa JamiiForums awajibu wanaosema anatumiwa na mabeberu, baada ya kuitwa ikulu Marekani

    December 16, 2019 Mwanzilishi wa JamiiForums akizungumzia kuhusu tuzo aliyopewa hivi karibuni na jinsi mtandao huu unavyokabiliana na hali ngumu ya kutenda kazi hasahasa tukiangazia mazingira ya sasa Tanzania. Hofu inajengwana na waandishi wenyewe lakini kama mitandao inafuata sheria na kanuni...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums wote ' tuliokwazika ' na Bondia Hassan Mwakinyo ' tumsamehe ' kwani hatimaye amemuomba Radhi ' Legend ' Rashid Matumla

    Nikiwa kama Mmoja wa Watu niliochukizwa kama siyo kukasirishwa na Kitendo Bondia Mwakinyo cha Kumdhihaki Bondia mwenye Historia iliyotukuka hapa Tanzania Rashid Matumla hadi GENTAMYCINE nikaanzisha Uzi wa Kumsema ambao uliibua Hasira Kali za Watanzania zilizosambaa sehemu mbalimbali hatimaye leo...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums wote ' tuliokwazika ' na Bondia Hassan Mwakinyo ' tumsamehe ' kwani hatimaye amemuomba Radhi ' Legend ' Rashid Matumlla

    Nikiwa kama Mmoja wa Watu niliochukizwa kama siyo kukasirishwa na Kitendo Bondia Mwakinyo cha Kumdhihaki Bondia mwenye Historia iliyotukuka hapa Tanzania Rashid Matumla hadi GENTAMYCINE nikaanzisha Uzi wa Kumsema ambao uliibua Hasira Kali za Watanzania zilizosambaa sehemu mbalimbali hatimaye leo...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuu ya JamiiForums

    Waacha wagawianeni vyeo lakini tumamua kuunda serikali kuu yetu hapa JF Rais - Mheshimiwa Kiranga Makamu wa Rais- Shunie Waziri Mkuu- Pascal Mayalla Msemaji wa Serikali Mwifwa Waziri Wa nchi ofisi ya Rais- GuDume Waziri wa Mipango na Fedha - BAK Waziri Wa mambo ya nje Nyani Ngabu Waziri Wa...
  16. Paula Paul

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Hi, I used to think that reading was boring until I found books that really sparked my interest. Reading became important to me because it’s fun and it teaches me new things. It keeps my mind active and inshape and it makes a difference for me if I go long periods without reading books, my mind...
  17. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Mtazamo:Jambo la kuzingatia unapoomba msaada katikati ya watu wengi au jamii

    Unapojaribu kuomba msaada sehemu yoyote katika jamii uishiyo, Si vyema ukasimama mbele ya watu na kuomba msaada mtu kwa kutamka jina lake unaweza jijengea au kujitengeneza balaa fulani la kukosa msaada unaoeleweka kabisa. Kama unaona hamna anayeweza kukusaidia mfuate mtu unayemwamini kwa Siri...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali, huoni umuhimu wa kuwa na account hapa JamiiForums?

    Ndugu kiongozi,kama unaweza kuwa na account twitter na kwenye mitanda msingine,ni kwanini huoni umuhimu wa kuwa na account hapa JamiiForums ili muweze kujibu na kutolea ufafanunuzi wa mambo mbalimbali yanayoihusu serikali na pia Kuitumia account hiyo kutolea taarifa za mambo mbalimbali...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi na kusema kupitia kalamu yangu ya JamiiForums

    "One of the big problems of this country is that, the smart and the intelligent people in this country have only forums to express their views and ideas; whereas, the less intelligent, have not only forums to express their views and ideas, but also have non-written powers and mandate to misuse...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Any expert help me please

    How would you respond to to a challenge from a major shareholders, whose concern is that "Attractive supply prices are being offered overseas only because of international agreement on fair labour rate are being floated.
Back
Top Bottom