jamii

  1. Lech Poznan

    JamiiForums Tanzania Hivi humu JamiiForums inawezekana kuipata namba ya simu bila ya mhusika kutoa?

    Husika kichwa cha habari hajuu nataka kujua je inaweza kupata namba ya simu ya Mchangiaji yoyote humu bila yeye kukupa? Kwasababu humu kuna watu aina mbalimbali wanafatilia Coment za kuisema Serikali, kuna namba inanipigia simu bahati mbaya nakua sipo karibu na simu na niki jaribu kuipgia...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tuiombe jamii ya kimataifa itusaidie kukomesha ugaidi TANZANIA

    Naona serikali ina hamu ya ugaidi Yaani kuwepo ugaidi TANZANIA jamii ya kimataifa ikae kimya Leo vijana wadogo kabisa wanayuo wa chadema wamepewa kesi za ugaidi Wanachama 23 wa chadema wamepewa kesi y ugaidi Mhadhili chuo ya Udom amepewa kesi ya ugaidi Hii sio nzuri polisi tendeni haki
  3. mager6

    JamiiForums Tanzania Nishauri tu ndgu zangu developer wa hii jamii forum, ipo kasoro somewhere

    Kazi ni kipimo cha utu. Assalam Alaika. Ndugu zangu watumiaji na wahandisi wa jukwaa pendwa JF. Nitumie Fursa hii kushauri jambo kwa wajenzi wa jukwaa, kuna baadhi ya MAENEO ya jukwaa unajiuliza nikiingia kusoma naanzaanzaje, twende kwa mifano 2026 FIFA World Cup - Special Thread Ukiingia humu...
  4. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Jamii ya marasta wa Kenya waenda Mahakamani kudai bangi ihalalishwe

    Link hii hapa ifuatie mwenyewe:- https://www.instagram.com/reel/Da0i0W-oQ2V/?igsh=Z25sMmNyNnY5cDFo
  5. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Watu wanajihusisha na mambo yao; Ni wewe tu unawawazia

    Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo. Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
  6. Silent Echo

    JamiiForums Tanzania Ni uongo gani ambao jamii imeufanya uonekane kama ukweli?

    Tangu utotoni tunaambiwa mambo mengi ambayo tunayaamini bila kuyahoji. Kadri tunavyokua, tunagundua baadhi yake si ya kweli au hayafanyi kazi kwa kila mtu. Kwa maoni yako, ni imani au ushauri gani ambao jamii imeufanya uonekane kama ukweli, lakini uzoefu wako umeonyesha tofauti? Shiriki mawazo...
  7. ndunajr

    JamiiForums Tanzania Mikopo Mabenki na Mifuko ya jamii kwa waajiriwa

    Najaribu kufikiri Mimi mswahili. Hivi kwa Nini Afrika hutuwezi kutumia akili nyingi kuwawezesha watu wetu. Ishu ya mikopo hasa kwa watu walio na ajira, nimeona wengi pamoja na kuajiriwa kwao lakini hawawezi kudhaminika kwenye mabenki. Ofisi nyingi zinashindwa kudhamini wafanyakazi wake kupata...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hisia za jamii kuelekea 7/7: Je maandamano yapo au hayapo?

    jamiiforum inaiwakilisha jamii katika uhalisia wake kwenye jambo lolote lile .. Utafiti wowote unaofanyika hapa matokeo yake ndio uhalisia uliopo kwenye jamii Sasa kuelekea maandamano ya 77 keshokutwa kura itakayopigwa hapa.. Matokeo yake ndio yatatoa uhalisia wa kitakachojiri siku hiyo
  9. Vulmeko

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa Tundu Lissu utaleta faida au madhara kwa jamii?

    Tundu Lissu ameamua kufuata ubunifu wa wanasiasa na viongozi kama Kwame Nkrumah, Nelson Mandela, Mahatma Gandhi, Muammar Gaddafi, Julius Malema, Thomas Sankara na wengine. Hao walibuni mitindo ya mavazi na mwonekano, na wafuasi wengi katika jamii zao wakawaiga. Kuna uwezekano mkubwa watu wengi...
  10. Jerry pro

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Uwekezaji kwenye Biashara ya Samani (Furniture) - Dodoma

    Habari wana JamiiForums, Mimi ni fundi mbobevu wa samani (furniture maker) na mwanzilishi wa chapa ya Heritage Style. Natafuta mwekezaji anayependa kushirikiana nami katika kukuza biashara ya samani bora jijini Dodoma. Nina uwezo na utaalamu wa kutengeneza samani za kisasa zenye viwango vya...
  11. Stability

    JamiiForums Tanzania Najua unaweza bisha ila kuna baadhi ya jamii hapa bongo kuzalia nyumbani ni kama sifa na normality

    Kanda ya ziwa, wajita. Kanda ya kaskazini, wairaq Kanda ya kati wanyamwezi na wanyaturu Kanda ya pwani
  12. Afric-liberator

    JamiiForums Tanzania "Mchango wa Siasa katika maendeleo ya jamii (The contribution of politics in Communities development"

    African's politics Affairs
  13. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Which are the most influential IDs in Jamii Forums?

    Kuna IDs ambazo wakilianzisha kuna nyomi na vumbi linafuatilia. Kuna IDs hata wakianzisha misemo basi inaingia kwenye tamusi ya JF. Kuna IDs ambazo at least 80 ya wana JF wameweza ku-interact nao . Najua hautakosa kuwataja secretarybird, binti wa zamani, etc Taja wengine
  14. FirstClass

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM yagawa ' Vyombo vya Usafiri 337 ' kwa watumishi wa afya ngazi ya Jamii

    Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamekabidhiwa jumla ya baiskeli 337 kwa ufadhili wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited ili kurahisisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi. Katika Manispaa ya Songea, baiskeli 140 zimetolewa...
  15. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Naona jamii sasa imeamka kumuadhimisha baba katika 'Father's Day'

    Kwa miaka mingi, imekuwa kawaida kuona Mother's Day ikipewa uzito mkubwa, huku Father's Day ikipita kimya kimya kwa watu wengi. Lakini safari hii nimeona jambo tofauti; watu wengi zaidi wamejitokeza kuwapongeza na kuwaenzi baba. Hili ni jambo la kutia moyo. Naam, inaonekana jamii imeanza...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Hananja: Changamoto za Jamii zitatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro

    Mchungaji Richard Hananja amesema changamoto zinazojitokeza katika jamii zinapaswa kutatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Juni 18, 2026, amesema historia inaonesha kuwa hata uhuru wa Tanzania ulipatikana kupitia...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maafisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Mtama wanahudumia Watu kwa pozi, tunazungushwa tangu Januari 2026

    Kero yangu kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Mtama kuchelewesha kupitisha vikundi kwenye mfumo wa Wezesha Portal, nimeomba kusajili kikundi tangu mwezi Januari 27, 2026 hadi leo kikundi akijapitishwa na kupatiwa na namba ya usajili ili tufungue account. Nimemfata Kiongozi wa Maendeleo ya...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania HOJA Kuwawezesha Maafisa Maendeleo ya Jamii: Msingi wa Mabadiliko Endelevu Vijijini

    Kuwawezesha Maafisa Maendeleo ya Jamii: Msingi wa Mabadiliko Endelevu Vijijini - Kwa nini? Kwa kifupi: Maafisa Maendeleo ya Jamii ndio "injini" ya mabadiliko vijijini. Ukiwawezesha wao, unawawezesha vijiji vyote. Kwa nini mada hii ina nguvu: 1. Wao ndio daraja kati ya serikali na wananchi...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wanaripoti Bloomberg Business : Tanzania Yaongeza Bajeti ya Miundombinu na Huduma za jamii Licha ya Kunyimwa Misaada

    Katika Hali ya kushangaza,Jarida Maarufu la Biashara kutoka kubwa la Mabeberu USA limeripoti taarifa ya kushangaza kwamba Licha ya Tanzania Kunyimwa misaada ila Serikali ya Tanzania imeongeza Bajeti Kwa asilimia 10% huku ikipeleka pesa nyingi kwenye miradi ya miundombinu na Huduma za jamii...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua elimu sio chochote mbele ya Mamlaka angalia Zanzibar, ipo nyuma kielimu ila ndio jamii iliyojaa kwenye vyeo vizito na taasisi kubwa,n.k.

    Waweza kuingia hata tovuti za Necta kuthibitisha hayo, miaka nenda miaka rudi nafasi za mwisho huwa ni Zanzibar. Kwa wale wanaofika vuoni ambao asilimia kubwa husomea Bara, uwezo wao ni wa kawaida sana, Lakini kitakwimu hakuna sehemu ambayo ina watu wengi maofisi ya taasisi kubwa au kwenye...
Back
Top Bottom