Habari wana JamiiForums,
Mimi ni fundi mbobevu wa samani (furniture maker) na mwanzilishi wa chapa ya Heritage Style. Natafuta mwekezaji anayependa kushirikiana nami katika kukuza biashara ya samani bora jijini Dodoma.
Nina uwezo na utaalamu wa kutengeneza samani za kisasa zenye viwango vya...
Kuna IDs ambazo wakilianzisha kuna nyomi na vumbi linafuatilia.
Kuna IDs hata wakianzisha misemo basi inaingia kwenye tamusi ya JF.
Kuna IDs ambazo at least 80 ya wana JF wameweza ku-interact nao .
Najua hautakosa kuwataja secretarybird, binti wa zamani, etc
Taja wengine
Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamekabidhiwa jumla ya baiskeli 337 kwa ufadhili wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited ili kurahisisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Katika Manispaa ya Songea, baiskeli 140 zimetolewa...
Kwa miaka mingi, imekuwa kawaida kuona Mother's Day ikipewa uzito mkubwa, huku Father's Day ikipita kimya kimya kwa watu wengi.
Lakini safari hii nimeona jambo tofauti; watu wengi zaidi wamejitokeza kuwapongeza na kuwaenzi baba.
Hili ni jambo la kutia moyo.
Naam, inaonekana jamii imeanza...
Mchungaji Richard Hananja amesema changamoto zinazojitokeza katika jamii zinapaswa kutatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Juni 18, 2026, amesema historia inaonesha kuwa hata uhuru wa Tanzania ulipatikana kupitia...
Kero yangu kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Mtama kuchelewesha kupitisha vikundi kwenye mfumo wa Wezesha Portal, nimeomba kusajili kikundi tangu mwezi Januari 27, 2026 hadi leo kikundi akijapitishwa na kupatiwa na namba ya usajili ili tufungue account.
Nimemfata Kiongozi wa Maendeleo ya...
Anonymous
Thread
jamii
januari
maafisa
maendeleo
maendeleo ya jamii
mtama
wilaya
Kuwawezesha Maafisa Maendeleo ya Jamii: Msingi wa Mabadiliko Endelevu Vijijini - Kwa nini?
Kwa kifupi: Maafisa Maendeleo ya Jamii ndio "injini" ya mabadiliko vijijini. Ukiwawezesha wao, unawawezesha vijiji vyote.
Kwa nini mada hii ina nguvu:
1. Wao ndio daraja kati ya serikali na wananchi...
Katika Hali ya kushangaza,Jarida Maarufu la Biashara kutoka kubwa la Mabeberu USA limeripoti taarifa ya kushangaza kwamba Licha ya Tanzania Kunyimwa misaada ila Serikali ya Tanzania imeongeza Bajeti Kwa asilimia 10% huku ikipeleka pesa nyingi kwenye miradi ya miundombinu na Huduma za jamii...
Waweza kuingia hata tovuti za Necta kuthibitisha hayo, miaka nenda miaka rudi nafasi za mwisho huwa ni Zanzibar.
Kwa wale wanaofika vuoni ambao asilimia kubwa husomea Bara, uwezo wao ni wa kawaida sana,
Lakini kitakwimu hakuna sehemu ambayo ina watu wengi maofisi ya taasisi kubwa au kwenye...
PRESHA
WAVULANA WENGI WANAPAMBANA KIMYA KIMYA.
Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa wasichana… lakini mara nyingi husahau kwamba hata wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni.
Tofauti ni kwamba wavulana wengi wamefundishwa kuficha maumivu yao.
Wamefundishwa:
“vumilia.”
“kuwa mwanaume.”...
Maendeleo ya sayansi na teknolojia ni hatua muhimu sana kwa ustawi wa binadamu na ni njia rahisi ya kufikia malengo endelevu ya kidunia "'sustainable development goals" lakini lipo swali la kujiuliza nyuma ya yote hayo.
Sayansi na teknolojia imechangia urahisishaji wa maisha ya binadamu kuliko...
Mimi mwanafunzi wa degree institute of social Work campus ya dar es salaam.
Nimeathirika kisaikolojia baada ya kuzuiwa kufanya mtihani wa continuous assessment (CA) kwasababu sijalipa ada kwenye installment ya 3. Kumbuka ni mitihani ya CA sio hata mtihani wa mwisho wa semester.
Sasa, mimi...
Hapo ulikuwa una 80% ya kulishwa mavitu vya kishirikina, kuchapiwa mtaani, kulea watoto sio wako, vikao vya mara kwa mara vya ugomvi wa mke na mawifi au mama na ilikuwa unakufa mapema sana.
Pia ni wanawake walikuwa wanasifika kwa kuvunja ndoa za watu, wenye visa sana na wepesi sana kurukishwa...
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM – TAMISEMI), Sospeter Mtwale, amesema Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii ili kuwanufaisha wananchi na Taifa kwa ujumla.
Bw...
Wana JF,
Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..?
Japo sijui jf kwa sasa...
binafsi kadri ninavyozidi kuiona Arusha ya sasa ndiyo nazidi kuvunjika moyo. Mkoa una sifa kubwa, utalii, hali ya hewa nzuri, opportunities kibao… ila ustaarabu wa watu na mfumo wa maisha ndiyo vinaharibu kila kitu.
Vijana wengi wa Arusha wanaishi maisha ya kujitoa ufahamu sana. Wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.