jamii

  1. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Heshima, Thamani na namna unavyojiweka katika jamii

    Habari JamiiForum. Hope mko poa ladiz (ladies) & Gentlemen. Waungwana , Kila mmoja wetu anahitaji kuheshimiwa na kuthaminiwa,iwe Kwa namna yeyote ile tajiri au masikini,mfupi Kwa mrefu,mweusi na mweupe n.k. Kila mtu hujiona anapaswa kuheshimiwa,lakini je heshima na Thamani inakujaje? Ni...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Jamii iliyojaa 'Motivational Speakers' wanaokataa mawazo ya watu ili wao waonekane wajuvi

    Katika zama hizi za mitandao, kuna kundi la watu wengi wamejigeuza kuwa mabingwa wa kutoa motisha. Huko TikTok, Facebook, YouTube kila kona zimefurika na wasemaji wanaotaka kuwashawishi wengine kwa nguvu, lakini wamekosa adabu moja ya msingi: kusikiliza. Leo, mtu anaweza kukushambulia kwa muda...
  3. O

    “Je, ndoa ni leseni ya ridhaa ya milele? Ukweli mchungu kuhusu ubakaji ndani ya ndoa ambao jamii inakataa kukubali.”

    Kwa ndoa Kuna ubakaji unakubaliana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Live Stream katika Kusaidia Jamii na Kurahisisha Upatikanaji wa Taarifa sahihi za Hapo Papo Real time

    Teknolojia ya live streaming imeleta mapinduzi makubwa katika njia za usambazaji wa taarifa. Kupitia teknolojia hii, jamii inapata fursa ya kufuatilia matukio kwa wakati halisi, hivyo kuharakisha upatikanaji wa taarifa muhimu, hasa katika hali za dharura. Kwa mfano, live streaming imekuwa na...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashiriki chakula na watoto wenye mahitaji maalum, asisitiza upendo na wajibu wa jamii

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hakuna mtoto anayepaswa kuachwa nyuma katika jamii, akisisitiza kuwa kuwahudumia watoto wenye mahitaji maalum si hisani bali ni wajibu wa pamoja wa jamii na Taifa kwa ujumla. Ameyasema hayo Aprili 6, 2026, alipojumuika na watoto wenye mahitaji maalum...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Afisa Maendeleo ya Jamii wa Pangani ni kikwazo cha kuinuka kwa vikundi vya 10%

    Sisi wanakikundi tuliomba mkopo wa Halmashauri na tukafanikiwa kukopeshwa shilingi milioni tano kwa ajili ya mradi wa mama lishe, tulifuata taratibu zote za kuhudhuria mafunzo, kusaini mikataba ya kurejesha fedha hizo baada ya fedha kuingizwa kwenye akaunti ya kikundi tumezuiwa kuitoa bila ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Uchafu Zanzibar, mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini Jang'ombe - Shehia ya Kidongo Chekundu

    Kwa shehia ya Jang'ombe, Kidongo Chekundu na Baraza la Manispaa mjini ishughulikie takataka zinazozagaa na kutelekezwa katika jalala la Jang'ombe, Kidongo Chekundu. Hii hali imekuwepo muda mrefu bila uchafu kuja kuchukuliwa, ukizingatia jalala lipo kwenye makaazi ya watu na karibu na skuli...
  8. Seran

    JamiiForums Tanzania Kuhusu DNA kupitia Ustawi wa Jamii

    Haiwezekani!
  9. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kumbe Jamii Forums imeshafunguliwa?

    Wakuu au ni mimi tu ndio nimechelewa kujua Mbona usiku huu ghafla nashangaa naipata Jamii Forums bila VPN Wameiachia huru lini aisee. Inawezekana nilikuwa najisumbua siku nyingi kufungua Jamii Forums kwa VPN kila muda
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tuliosoma Chuo cha Taifa cha Utalii tuna changamoto ya upataji wa Ajira Serikalini kupitia Mfumo wa Ajira Portal

    Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisome katika...
  11. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Kitanzania iache kulazimishana kuongea na watu, kama mtu huyo hapendi

    Kwa nini Watanzania wanapenda kulazimishana kuongea na watu Unakuta mtu unapenda kukaa peke yako kimya bila kusumbua watu, unashangaa wanaanza kukuuliza mbona huongei na watu, na kuanza kukupangia kuwa unapaswa uanze kuongea na watu Kuna muda unawasikia wanakusema kimyakimya eti huongei na...
  12. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii

    Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii 1.Kumshirikisha Mungu kwenye mipango yako, Unapomuweka Mungu wa kwanza kwenye kila mipango unayofanya unajipa nafasi ya kufanikiwa na kuwa imara, Mungu atakufanya ufanye maamuzi sahihi, atakupa watu sahihi na pia kupata...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Member gani hapa JamiiForums ana makombora mazito ya maneno (matusi) ili niwe na tahadhari ninapojibazana naye?

    Nataka nijue nani anamakombora mazito humu ili nichukue tahadhari nyingi kabla sijamquote. namfahamu mmoja tu ambaye ni GENTAMYCINE Natanguliza shukrani.
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama kijana wa kisasa achana na haya mazoea ya kiduanzi ambayo yamekuwa ruba kwenye jamii zetu

    Unapoenda kutembelea mtu toa taarifa kwanza, usilalale zaidi ya siku mbili kupelekea kuleta usumbufu hadi unalala na watoto wadogo. Ni aibu katika karne hii bado una unahangaishwa na mambo ya kufikirika. Unashindwa kuchukua risk kisa unahofia upande ambao hauna hata hakika nayo ila unauheshimu...
  15. ERoni

    JamiiForums Tanzania Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

    Heri ya Sabato, poleni na mfungo ndugu zetu waislam na wakristo mnaotimiza agizo hili la kiimani. Nimeamua kudandia treni ya wanaokataa mambo ya mahari kwa dunia ya sasa, hasa barani Afrika ambapo kwa asilimia kubwa ndipo haya mambo hufanyika Dunia ambayo mwanamke amekuwa huru sana, anaweza...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kuzuia ‘Media’ ni kuziba macho ya jamii na kujenga pengo la taarifa linaloweza kujazwa na uvumi

    Katika Jamii ya Kidemokrasia, uwazi na uhuru wa Vyombo vya Habari ni nguzo muhimu za uwajibikaji. Hata hivyo, pale ambapo Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Inapoamua kuzuia Vyombo vya Habari kushuhudia ushuhuda wa...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hata Bokoharamu walianza kwa mzaa mzaa kama TFF. Uonevu huleta chuki katika jamii

    Hawa wanaojiita Tff unaweza kuwadharau. Kumbe uonevu umezalisha chuki
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto zinazowakabili Wanafunzi SUA kipindi hiki cha Mitihani

    Katika kipindi hiki muhimu cha mitihani, wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanakumbana na changamoto kadhaa za kiutendaji zinazohitaji uangalizi wa haraka. Kwanza, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu kutotoka kwa Examination Tickets kwa wakati. Wanafunzi wengi bado...
  19. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Polisi jamii agoma kumkamata mtuhumiwa wa wizi, kwa sababu akipelekwa polisi anatoka

    MIezi 3 imepita nilipigwa tukio nikafata taratibu zote nika report nikalazimika kufatilia mwenyewe na kufanya upelelezi aisee tulifanikiwa kupoint mwizi sasa kilichotokea Polisi Jamii waligoma kutoa ushirikiano wa mahali anapoishi ili polisi wakamkamate na sababu kubwa wanahofia maisha yao kwa...
  20. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfuko wa hifadhi ya jamii Zanzibar (ZSSF) hauwalipi watu watokao Tanzania Bara katika mafao yao pindi wamalizapo mikataba au wanapopoteza kazi

    Huu ni baahi ya ushahidi wa malalamiko ya watu kutoka katika page ya ZSSF zanzibar. Watu watokao Bara tunafanyiwa ubabaishaji sana kwenye mfuko huu, raia wa kigeni wakitaka mafao yao wanayapata yote. Kwanini mtu atokae Tanganyika asipewe?? Mtu atoke mbeya, Mwanza, Mara afuate mafao Zanzibar...
Back
Top Bottom