Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,418
- 4,113
Habari zenu,
Wengine shikamoon.
Si ujanja,wala usistaduu, kwenye kuishi na watu,bali unyenyekevu kama tunavyofundishwa kwenye nyumba za ibada unaweza kutuweka katika mazingira bora na kuwa na jamii makini.
Kwamfano nimechunguzaaa nimegundua wachamungu wengi Wana heshima kwenye jamii kuliko wale wanaoishi mradi kunakucha.
Lakini pia niseme tu ukweli kuna mambo hayapendezi haswa akifanya mwanamke.
Kuvuta sigara,bangi,unywaji wa pombe kupita kiasi pamoja na changamoto zingine nyingi, lakini pia kutukana ovyo na usela ambao Kwa mwanamke ni kitendo cha aibu na chenye kufedhehesha niwaombe Tu wasichana na wanawake wenzangu tujifunze kuiishi misingi ya kitanzania kuliko kuwa na maisha yasiyompendeza Mungu na wanadamu wenzako.
Naomba msamaha Kwa wale woooote nilowakosea,nimewaza na kuona unaweza kuta unatukanana na mtu wa karibu vipi siku mkijuana maana zipo event zitatukutanisha na kutambuana hata Kwa bahati mbaya.
Nisameheni mdogo,au mtoto wenu,na wadogo zangu nisameheni dadaenu.
Jamiiforum for life🌹🌹🌹🌹