jamhuri

Jamhuri Day (Republic Day) is a national holiday in Kenya, celebrated on 12 December each year. Jamhuri is the Swahili word for "republic" and the holiday is meant to officially mark the date when Kenya became a republic on 12th December 1964. The country became a republic after gaining full self-governance from the United Kingdom, after gaining independence on 1st June 1963. Jamhuri Day is regarded as Kenya's most important day, marked by numerous festivities which celebrate the country's cultural heritage and looks back at her journey to independence and self-governance.The entire Kenyan

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

    Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo. Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo. Updates Dakika ya 45+3 Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula. HT Simba 0-1 Tz Prisons. Kipindi cha Pili Simba wanafanya Mabadiliko. Mzamiru Out Saido Inn Kibu D Out Chasambi Inn Freddy...
  2. JamiiForums Tanzania Nimewaonya mapema tu kuwa kamwe msiutumie Uwanja wa Jamhuri Morogoro kama wa Nyumbani, bali tumieni CCM Mkwakwani Tanga mmenipuuza Asanteni

    Sasa naomba kuanzia Kesho tarehe 6 Machi, 2024 na kuendelea tuwe tunahesabu Alama ( Points ) ambazo tutakuwa tunazipata katika Uwanja HATARI KWETU wa CCM Jamhuri Mkoani Morogoro ambako kwa UPUMBAVU WETU ndiyo tumeuchagua rasmi kuwa Uwanja wetu wa Nyumbani kwa Mechi zote za Ligi Kuu ya NBC...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa (Mb)

    Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) "Kwa muungwana ukweli kwake ni ibada. Ni ukweli Usiopingika kwamba, kwetu Wana Ruangwa hatukudai. Karibu matatizo yote umeyamaliza, tulizobakiwanazo ni changamoto" - Wananchi Ruangwa "Waziri...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† ASFC ⚽️ Young Africans SCπŸ†šPolisi TZ πŸ“† 20.02.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 1:00 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania Mpira umeanza Dakika ya 13 Goaaaaaaaal Guedeeeee Dakika 45+1 Chuma cha piliii Farid Mussaβš½οΈπŸ™ŒπŸΌ Dakika ya 45 niongeza 2 Gwedeeee goli la tatu dakika ya 46...
  5. JamiiForums Tanzania FT: KMC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | Jamhuri Morogoro | 17.02.2024

    NBCPremierLeague ️ KMC SC Vs Yanga SC 17.02.2024 Jamhuri Morogoro 10:00 jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya KMC FC Mpira umeanza dakika ya 1 Mudathir anaipatia Yanga SC goli la kwanza Goli la mapema zaidi, limefungwa na Mudathir Yahya akiitanguliza Yanga KMC 0-1 Yanga Dakika ya 10...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampokea Rais wa Poland, Andrzej Duda, Ikulu ya Dar es Salaam, Februari 9, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea rasmi Rais wa Jamhuri ya Poland Mhe. Andrzej Duda Ikulu jujini Dar es Salaam leo tarehe 09 Februari, 2024 ''Poland imekuwa ikichangia shughuli mbalimbali za maendeleo hapa nchini ikiwemo sekta ya afya, ambayo itatekeleza...
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi za Masomo Jamhuri ya watu wa Korea

  8. JamiiForums Tanzania Ziara ya Kitaifa ya Rais Samia katika Jamhuri ya Indonesia tarehe 24-26 Januari 2024

    ZIARA YA KITAIFA YA RAIS SAMIA KATIKA JAMHURI YA INDONESIA TAREHE 24-26 JANUARI 2024 Taarifa ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba kuelezea ziara za Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nchi za Indonesia. Dkt. Samia...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA, Huwa inawasaidia vipi raia wenye kesi za jinai na madai dhidi ya Jamhuri kwa kuwawekea Mawakili? Au ndo wanaishia kuwachangisha tu?

    Kuna kesi nyingi sana zilizofanyiwa hukumu na ambazo mashauri yanaendelea na wengi wa watuhumiwa ni kutokana kaya masikini sana ambao hawana uwezo wa kuweka Mawakili katika Mahakaman mbali mbali.Kwakuwa CHADEMA ni chama kinachopigania haki na demokrasia , kina program yoyote ya kuwasaidia hawa...
  10. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

    Match Day Simba SC Vs Jamhuri SC Mapinduzi Cup New Amaan Complex Robo Fainali 08.01.2024 Mchuano huu ni kwa ajili ya mchezo wa soka uliosubiriwa kwa hamu huku robo fainali ya nne ikiendelea leo saa 2:15 Usiku kwa kuwakutanisha Simba SC dhidi ya Jamhuri FC katika Uwanja wa Amaan. Mchezo...
  11. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Jamhuri kama sio kuvaa njano mngekula kumi

    KUMBE hizi timu zinazocheza na yanga zikiwa na jezi za rangi za yanga zina msaada sana. Kamwe amesema kama sio Jamhuri kuvaa njano alikuwa apewe mikono miwili Kwa heshima tukakubaliana jamanii eeh ile njano iheshimiwe tukaishia 5. Hahahaaaaa shikamoo Kamwe.
  12. JamiiForums Tanzania Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

    Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma. Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva...
  13. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

    Yanga tunajiandaa kuwakabili Jamhuri SC muda ni saa 2:15 usiku. mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC Wafungaji Ngushi 10', 17', Kibwana 22', Mzize 38', Skudu 45'
  14. JamiiForums Tanzania Naongea na Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko. nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku. nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite...
  15. JamiiForums Tanzania FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

    πŸ”° πŒπ€π“π‚π‡ DAYπŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Tabora United Vs Young Africans SC πŸ“† 23.12.2023 🏟 Jamhuri, Dodoma πŸ•– 1:00 Usiku Game yakufunga Mwaka hii. All the Best Young African SC. #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza Kikosi cha Tabora United Kinachoanza Mechi ya leo. Mpira...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aelezea sababu za Viongozi wa EAC kutoshiriki Jamhuri Day

    We Did Not Invite Suluhu, Kagame, Museveni...' Ruto On Why Presidents Stayed Away On Jamhuri Day President William Ruto dismissed claims of deteriorating diplomatic relations between Kenya and its East African Community (EAC) neighbours on Sunday. Kenya's relations with Uganda and Tanzania are...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka kusikiliza kesi ya Gekul mahakama ya Wilaya kwa tuhuma alizonazo dhidi ya Hamis

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa X Hatua ya KWANZA kuhusu GEKUL ndiyo hiyo hapo πŸ‘‡. Natarajia Mahakama ya Wilaya ya Babati itatimiza WAJIBU wake kwa wakati, ili Kuanzia Jumatatu tarehe 11 Disemba 2023 hatua nyingine za KISHERIA ziendelee. Hatua hiyo nimeichukua chini ya kifungu cha 128(2) na...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi Aipongeza UWT kwa Kazi Kubwa Wanayoifanya Ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewapongeza Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Chini ya Mwenyekiti wao Mary Chatanda kwa kazi kubwa wanayoifanya katika Nchi hii kwa kutembelea miradi na kufanya...
  19. JamiiForums Tanzania Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

    Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote Yemen imetangaza kuanza vita rasmi na Israel na imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuichakaza Israel kwa makombora na Drones β€˜Vikosi vyetu vilivyojihami vimerusha makombora ya balestiki na ya kusafiri, pamoja na idadi kubwa ya ndege zisizo na...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa Ujerumani kufanya ziara Nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, atafanya Ziara ya Kikazi nchini kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 01 Novemba 2023. Ziara hii mbali na kudumisha uhusiano wa Kidiplomasia na ushirikiano wa kimaendeleo baina ya Tanzania na Ujerumani, pia imelenga kwenye kukuza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…