FT: KMC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | Jamhuri Morogoro | 17.02.2024

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
12,125
25,360
NBCPremierLeague
️ KMC SC Vs Yanga SC
17.02.2024
Jamhuri Morogoro
10:00 jioni

Kikosi kinachoanza dhidi ya KMC FC
20240217_151829.jpg


Mpira umeanza

dakika ya 1
Mudathir anaipatia Yanga SC goli la kwanza


Goli la mapema zaidi, limefungwa na Mudathir Yahya akiitanguliza Yanga

KMC 0-1 Yanga

Dakika ya 10
Mzize anakosa nafasi ya wazi

Dakika 15
Yanga SC wanaendelea kuongoza kwa goli Moja pacome amekosa nafasi ya wazi

Dakika ya 18
Kibabage anachezewa madhambi

Dakika ya 30
Bado Yanga SC wanaongoza kwa goli moja

Dakika ya 33
Max mpira nzengeli anachezewa faulo. Mzize anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 35
Kmc wanapata kona

Dakika ya 43
Yanga SC wanapata kona
Pacome anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 45 niongeza mbili
Sasa zimemalizika ni mapumziko
20240217_165211.jpg



Kipindi cha pili kimeanza
Yanga SC wanafanya mabadiliko anatoka mzize anaingia guede

Dakika ya 54
Yanga SC wanapata goli la pili ni yuleyule mudathir anawapatia Yanga SC goli la pili

Ni Mudathir tena

KMC 0-2Yanga

Dakika ya 59
Yanga SC wanapata goli la 3 pacomeeee anawapiga bao la 3 kmc hapa

Goli la tatu la Yanga likiwekwa nyavuni na Pacome Zouzoua

KMC 0-3 Yanga

Dakika ya 66
Yanga SC wanapata Kona

Dakika ya 74
Ubao unasoma 3-0 Yanga SC wanaongoza hapa

Dakika ya 90 niongeza 4
NBCPL: Ni pointi tatu na magoli matatu kwa Yanga

FT: KMC 0-3 Yanga
20240217_180023.jpg
 
Back
Top Bottom