Nahiitaji ushauri kuna jambo linanisumbua

Nahiitaji ushauri kuna jambo linanisumbua

Bei rahisi Electronicks

Senior Member
Joined
Nov 24, 2025
Posts
167
Reaction score
392
Sasa natimiza mwaka wa pili tangu niajiriwe serikalini.

Nataka kuongeza elimu maana niliajiriwa na Form Six.

Nafanya kazi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, nipo Zanzibar. Kwa mujibu wa kazi yangu, siruhusiwi kusoma mpaka nipate kibali kutoka kwa mkuu wangu, na hawakubali kutoa labda kwa watoto wao.

Kituo changu ninachofanyia kazi kina nafasi. Nataka kujiunga mwaka huu nianze degree pasipo ruhusa kutoka kwa boss wangu.

ILA NATAKA KUSOMA KWA SIRI.

Naombeni ushauri wenu. Mwenye experience, mawazo na aliyepita kama hivi ninavyotaka kupita mimi, changamoto zake zilikuwaje?
 
Ukichagua kusoma kwa siri, sharti uwe extra disciplined, hakikisha kazi zako kazini zinatekelezwa kwa kiwango cha juu, ukifanya kazi kwa ufanisi, hakuna bosi atakayekuwa na sababu ya kukuhoji, na hata wakikuhisi, watashindwa kukugusa kwa sababu haujawapa mwanya wa kukushika kwenye makosa ya utendaji.

Usijaribu kuwa na rarafiki yeyote wa karibu ofisini ambaye atafahamu kuhusu unachotaka kukifanya, ukimya ndiyo uwe ulinzi wako, soma, fanya mitihani, hitimu, na siku ukipata cheti chako ndipo utajua hatua gani inayofuata.

Kumbuka mfumo hautakujali kama utashindwa, kwa hiyo jali maisha yako kwanza focus on the goal usiwaze mambo ya ruhusa.
 
Ukichagua kusoma kwa siri, sharti uwe extra disciplined, hakikisha kazi zako kazini zinatekelezwa kwa kiwango cha juu, ukifanya kazi kwa ufanisi, hakuna bosi atakayekuwa na sababu ya kukuhoji, na hata wakikuhisi, watashindwa kukugusa kwa sababu haujawapa mwanya wa kukushika kwenye makosa ya utendaji.

Usijaribu kuwa na rarafiki yeyote wa karibu ofisini ambaye atafahamu kuhusu unachotaka kukifanya, ukimya ndiyo uwe ulinzi wako, soma, fanya mitihani, hitimu, na siku ukipata cheti chako ndipo utajua hatua gani inayofuata.

Kumbuka mfumo hautakujali kama utashindwa, kwa hiyo jali maisha yako kwanza focus on the goal usiwaze nambo ya ruhusa.
Safi mkuu nitafanyia kazi ushauri wako
 
Yote haya yanatoka wapi?

Mimi nimeshangaa tu wewe kuwa ajirani na form six yako huku mtaani tunapishana na waliokuzidi elimu ila mdau amenifafanulia hapo juu ninyi polisi mpo mpaka la saba.
Na Mimi shangaa mjinga kama wewe unaishi duniani huna mchango wowote kwa familiar yako mpka Nchi lakini unadunda lakini Magufuli kafariki alikua nasaidia watu wengi, KWA NINI MUNGU HAJAKUCHUKUA MPUMBAVU WEWE KAMCHUKUA MAGUFULI 😡😡😡!.
 
Back
Top Bottom