Ni jambo la hatari CCM kuishiwa mbinu

Ni jambo la hatari CCM kuishiwa mbinu

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,824
Reaction score
50,496
Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania.

Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu.

CCM kuishiwa mbinu za kuongoza nchi yetu, ni sawa na chizi mwenye rungu kuwa karibu na kabati la kioo lililojaa vyombo vya udongo.
 
Nakumbuka hata UPC ya Uganda na KANU pale Kenya vilianza hivi hivi na mwisho wake leo vimebakia kwenye vitabu vya historia
 
Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu.
Kwenye Wodi ya Vichaa, mwendawazimu kapewa kuwa kiranja, hii ni hatari nyingine kubwa zaidi.

Watu zisipowafaa akili zao, utawadhuru Ujinga wao.

Tanzania bila rushwa, haiwezekani.
 
Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania.

Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu.

CCM kuishiwa mbinu za kuongoza nchi yetu, ni sawa na chizi mwenye rungu kuwa karibu na kabati la kioo lililojaa vyombo vya udongo.
Tena hilo limeleta alama nyekundu ya hatari kweli kweli,zaidi ya oct 29 na baada,ila hatari hii naiona ni the next big massacre 10× the Rwandan 1994 massacre.Taifa liamke ishara ya hasira kuu na chuki inajengeka sio tu kwa utawala,hata baina ya vyama na baina ya tabaka la wala kwa urefu wa kamba na walalahoi walipa kodi.Tuache mzaha kama taifa tukubali kurekebisha pasipo sawa.
 
Kinachosubiriwa ni kuondoka madarakani
Hizi ni dalili za mwisho kulazimisha heshima, kutawala na kupendwa ni kama mfa maji hakosi kutapatapa, bora wangetapatapa kwa njia salama ila sio hizi zinazotumika za kuteka, kuua na kutumia vyombo vya usalama

Hatari iliyopo ni kuacha nchi katika machafuko ni Heri waridhie katiba mpya waondoke kwa amani
 
Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania.

Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu.

CCM kuishiwa mbinu za kuongoza nchi yetu, ni sawa na chizi mwenye rungu kuwa karibu na kabati la kioo lililojaa vyombo vya udongo.
Propaganda zao ni za kitoto sana ,watu walishazistukia ,wamekuja na porojo za mfanyabiashara kumpa pesa Heche bila kuweka statements ya hiyo miamala wakati wana access na Banks zote.
 
Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania.

Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu.

CCM kuishiwa mbinu za kuongoza nchi yetu, ni sawa na chizi mwenye rungu kuwa karibu na kabati la kioo lililojaa vyombo vya udongo.
Gentleman,
unaweza kuwakumbusha unaowapiga kamba na kuwapotosha kua ni mbinu zipi hiko chama kilikua kinatumia ili kukubalika kwa waTanzania kabla na sasa hakitumii tena mbinu hizo?.

Nadhani itapendeza zaidi 🐒
 
Tena hilo limeleta alama nyekundu ya hatari kweli kweli,zaidi ya oct 29 na baada,ila hatari hii naiona ni the next big massacre 10× the Rwandan 1994 massacre.Taifa liamke ishara ya hasira kuu na chuki inajengeka sio tu kwa utawala,hata baina ya vyama na baina ya tabaka la wala kwa urefu wa kamba na walalahoi walipa kodi.Tuache mzaha kama taifa tukubali kurekebisha pasipo sawa.

Tulipofika hatuwezi kurudi nyuma kama maji yameshamwagika liwalo na liwe
 
Uncle magufuli alipendeka sana na watu na hakutumia machawa wala nini, Ccm inabidi wajiulize why huyu mama imekuwa ni ngumu sana kukubalika na majority ya watanzania?
 
Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania.

Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu.

CCM kuishiwa mbinu za kuongoza nchi yetu, ni sawa na chizi mwenye rungu kuwa karibu na kabati la kioo lililojaa vyombo vya udongo.
on sasa, anayedai ustawi wa Taifa anaitwa gaidi. just imagine!!!!!
 
Back
Top Bottom