THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,444
- 5,182
Mimi sio kitengo na wala sio mwana siasa na wala sina chama chochote, ila mi ni mtu tu ambae nafatilia siasa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Katika kufatilia zile harakati za pole pole wakat ameanza injili ya ukombozi, kuna kitu alikisema na alivyokisema mi moja kwa moja nilimwambia Mzee wangu hapa huyu jamaa hawamuachi hata kwa uchawi watamuua tu..Mzee akacheka sana.
Ila ukweli ni kua pamoja na yale yote Pole Pole kuongea na wakubwa kuguswa Maungio yao waliumia sawa ila haikua kwa kiasi cha kuwaza kumpoteza..Pole pole alisema Mengi ila katika hayo Mengi ni Moja tu ndio lilopelekea wamusake na wamupoteze.
Pole pole aliposema tu kua Tunatakiwa tukikomboa hii Nchi Ile Ibara ya kusema Rais aliekua madarakani hashitakiwi ifutwe na tuanze na hawa.
Pale aligusa mwiba SAMIA akaona kumbe hutaki tu kuwafumbua macho watanzania bali unataka ninyongwe au nifungwe.
Na wafatiliaji wa zile Live zake nahisi mtakumbuka wakat anasema lile jambo aliomba samahan alijua athari zake zitakazo kuja...alijua kua ile kauli itamuuma sana SAMIA..ila lazima iwe hivo.
We ungekua Mkulu ungefanya aje?
Najua we una mawazo mazuri ungewaza tofauti ila wengine ndio hivo ni form four failure.