jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Putin alimheshimu sana Trump, kwa sasa Biden ni kama Mdoli kama alivyokuwa Obama. Baada ya Urusi tutegemee naye China kutesti mitambo

    Ni wazi kabisa kipindi cha Trump, raisi wa Urusi alikuwa akimheshimu sana kiasi kwamba hakuweza kuthubutu kufanya haya anayoyafanya kwa sasa kwa sababu aliogopa response ambayo Trump angeichukua. Kwa sasa Marekani inaongozwa na raisi mithiri ya mdori ambae media inatumia nguvu kubwa sana...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Video ya "Gidi'' ya Diamond Platnumz yakosolewa vikali mtandaoni kwa kutumia bendera inayohusishwa na ubaguzi

    Mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platnumz amekosolewa mitandaoni kwa kutumia bendera yenye utata katika video ya wimbo wake mpya wa Gidi. Bendera hiyo ni ya kundi la Shirikisho la majimbo ya kusini ya Marekani ambayo yalipigania kudumisha utumwa wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe na bendera...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais na Waziri anayehusika fuatilieni gharama za maisha kupanda

    Habar zenu, Kwa kweli maisha yamepanda sana. Wahusika Serikalini tafadhalini sana fatilieni hili jambo.Yaani kila kitu unachogusa bei juu mpaka inatisha. Cha ajabu nishati kama petroli imeshuka bei lakini bei ya bidhaa nyingine ambazo zilipanda kutokana na ughali wa mafuta zenyewe hazishuki...
  4. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

    Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wanachotamani na wanachoshikililia MATAGA ni Mbowe kuwapigia magoti jambo ambalo mpaka leo hawaamini kuwa halitokei kutoka kwa Mbowe

    Hawa watu kuanzia mwenyekiti wao wanaishi na nafsi zinazowatesa sana kwani wanajua kabisa kuna mtu wanamtesa, mtu asie na kosa wala hatia yoyote. Wanaumia na kuteseka sana wanapoona picha za Mbowe na wale washitakiwe wengine wanapoingia na kutoka mahakamani ila kwakuwa walishafanya kosa, hawana...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

    Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la...
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Project Officer at Jambo for Development (JFD)

    PROJECT OFFICER JAMBO FOR DEVELOPMENT Place of Work/Location: Kagera, Tanzania Type of Contract: Unlimited contract Languages Required: English & Kiswahili Starting Date: 17.03. 2022 Number of Position: 2 Vacancies Please apply in English using your CV (including education, internships...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club na Jambo Lao La Kitaifa, Jambo la Nchi. DUA yako ni Muhimu sana

    Simba Sports Club Wawakilishi Pekee Katika Michuano ya Kimataifa Jioni Ya Leo Wapo Kazini Kutetea Bendera Ya Taifa...Bendera Ya Nchi ya Tanzania.Kama ilivyo desturi kwa Watanzania inapotokea Jambo La Nchi ..Utani unawekwa Pembeni. Nduli Iddi Amini alisambaratishwa Kwa Kuwa lilikuwa Jambo la...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je, kulalamika kwa kila jambo ndiyo suluhisho?

    Kumekuwa na tabia yetu kulalamika kwa kila jambo! Tulalamike lakini tutoe na Suluhu Mpaka Sasa Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ipongezwe walau kwa 40% ya Mambo imeyafanya kwa asilimia hizo Kati ya 100% Tujikumbushe ishu Moja ya Msingi Uhuru wa habari upo Amani imerudi kwa...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ili ufukara uwaondoke Watanzania Serikali ifanye jambo hili

    Natoa ushauri huu kwa serikali, sitarudia tena maana Mimi nina kazi yangu na nina biashara zangu. Umaskini na ufukara bado ungalipo hapa nchini. Serikali sasa haina budi kujenga chuo Cha fundi kila kata au Kijiji na kupeleka walimu na vitendea kazi. Vijana wasome bure, yaani kila kijana aliye...
  11. nyembela

    JamiiForums Tanzania Wakati tunafurahia mawakili wanavyooneshana uwezo wakutafsiri sheria''

    kuna jambo la kutafakari kuna mshindi alieshinda kabla ya kushindwa kwake na endapo atashinda sasa atakuwa hana chakupoteza, na pili kuna alieshindwa kabla ya kushinda kwake endapo atashinda atakuwa amepoteza tangu mwanzo. Kama kanuni yamafanikio nimuda basi aliyeshinda mwanzo amefanikiwa na...
  12. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Walezi wa siku hizi malezi ni ziro wengi wao, hili jambo si mara ya kwanza kuliona

    Habari wakuu wenzangu Unakuta mtu yupo bize na smart phone kuliko malezi au kumjali mtoto, unakuta mtoto katundikiwa mziwa mama hajali kama mtoto ananyonya kupitia pua au mdomo ye ni bize na kuperuzi tu, Jambo lililonikera ni moja tu, nimekutana na mama mmoja ni mnenee tako iloo yani shape...
  13. Stroke

    JamiiForums Tanzania Jambo la kuchekesha ulilofanya ambalo ukikumbuka hata wewe mwenyewe huwa unacheka

    Nakumbuka nilimtania Mwalimu wangu wa shule ya Msingi nikajificha nyuma ya fensi ya nyumbani kwetu Kumbe aliniona bwana. Kesho yake nafika shule tu akaanza na mimi. Nikala viboko. Wewe unakumbuka nini?? Karibu tusimuliane.
  14. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Leo rasmi nawasanua watanzania. Tupo wachache sana tunaofahamu hili jambo

    Ndugu watanzania! Leo naandika hili na leo ndio mwisho wangu kuandika hapa JF, sio kwa ubaya bali kwa ridhaa yangu mwenyewe. Kuna mambo matatu makubwa: 1. Ukiona matatizo yoyote yaliyopo TANZANIA fahamu kuwa huo ni mradi wa watu wakubwa wachache. Mfano: Ukiona urasimu, ukiona maisha duni ya...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Fungua kitabu na mohamed said TBC Jambo Tanzania

  16. C

    JamiiForums Tanzania Chama Kipya cha siasa - Umoja Party - Ni mwisho wa ccm, Ccm B au Upinzani?

    Je, Ni huyu ama Watanzania wamngojee mwingine?
  17. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Saa 1500EAT Simba sc tuna Jambo letu

    Stay tuned Nasikia uwanja umeivaaa
  18. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ushawahi kuwaza jambo hili?

    Habari watu wa taifa tukufu linalotetewa na timu ya Simba pekee kimataifa kila mwaka! Basi katika medali ya muziki hapa nchini na duniani kwaujumla ulishawahi kutokea kuupenda wimbo flani ulioimbwa nawasanii wawili au zaidi lakini hapohapo ukatamani wimbo huo ingependaza zaidi kama angeimba...
  19. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania 2021 inaisha; Je, umefanya jambo gani kubwa la maana?

    Mimi hakuna cha maana nilichokifanya, maisha bado magumu, huu mwaka ni mgumu sana kwangu. Huu mwaka ni wa hovyo sana. Vipi kwa upande wenu wakuu?
  20. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuna genge linataka kukwamisha juhudi za Rais?

Back
Top Bottom