jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. Diaspora Messenger

    JamiiForums Tanzania Ule unabii kuwa kutatokea jambo mwezi wa SABA je uliishia wapi ?

    Kuna unabii kwaka Jana ulisema mwezi wa saba kutatokea jambo Fulani Je uliishia wapi.?
  2. Uhovyoni

    JamiiForums Tanzania Punyeto itanimaliza wakuu, Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu

    Punyeto itanimaliza wakuu Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto na unyonyaji wa wafanyakazi - Jambo Group of Companies, Shinyanga

    Mimi pia nilikuwa mfanyakazi wa Jambo Group of Companies, hivyo haya ninayoyaeleza siyo taarifa ambazo nimezisikia tu kutoka kwa watu wengine, bali ni mambo ambayo nimeyaona, nimeyapitia na nimefanya kazi katika mazingira hayo mwenyewe. Hadi sasa mimi mwenyewe ni mdaiwa wa kampuni kutokana na...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Yaani CCM wakiwa na jambo lao hata kama ni la kutumbukiza nchi shimoni watashikamana na kulipigia debe hutajua yupi professor doctor au la saba

    Hiki chama kina matatizo sana yaani wao cha kwanza kwao ni maslahi ya chama kwanza. Na sababu kuu ni kwamba wameaminishwa kwamba hakuna maisha nje ya chama hivyo mtu yuko tayari kusaliti dhamiri yake kusaliti elimu yake na kusaliti utu wake ilimradi tu asiende kinyume na chama. Yaani kwa kifupi...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wazee wa kudandia kila jambo mtakaposhituka October 30 2030 hiyo. Hamna mlichojiandaa

    Ukiwa na mpinzani lofa kwenye biashara au kwenye siasa raha sana. Yeye huwa hana mipango yoyote zaidi ya kudandia kila jambo unalomwekea mbele yake. Huku anashadadia mambo yasiyomuhusu wewe unatoboa na kusonga mbele. Wapinzani hamtafanikiwa kwa jambo lolote, labda mtafanikiwa kuwaingiza...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi: Mahojiano na Jambo FM

    https://youtu.be/HbPhXOsTTJI?si=hS_Hj3UZBVvvtJij
  7. prida

    JamiiForums Tanzania Imani za kishirikina zimenisaidia tena kutatua jambo nililolikatia tamaa

    Maulid Mubaraq good people.
  8. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Jambo pekee ninaloweza kumpongeza Emmanuel Nchimbi.

    ……ni [mpaka sasa] kutokutamka kuunga mkono mauaji ya Oktoba 29. Kama keshatoa kauli kuunga mkono, basi nasimama kusahihishwa. Kitendo cha yeye kutokusema chochote kuunga mkono mauaji hayo, labda ni dalili kwamba hakukubaliana nayo. Lakini pia, kama hakukubaliana na hayo mauaji, kwa nini...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika Ni credit kwa Taifa Britanicca
  10. N

    JamiiForums Tanzania JPM hatajwi kabisa inavyostahili kwenye hili jambo la bwawa la umeme

    Salaam! Ni kweli,hii ni ndoto ya Mwalimu Nyerere iliyobadilishwa kuwa uhalisia na Rais wa awamu ya tano ndugu JPM ambaye alimwachia kiti chake Daktari Samia Suluhu Hassan Ajabu katika Kila kinacjofanyika hakuna mtu anataka kulitaja jina la mtekelezaji wa ndoto.Wasemaji wote wanaanzia Kwa...
  11. John Sin

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anaetetea wanawake kwenye kila jambo, ukiwa serious ukamtongoza anaweza kukubaliki

    Huu ni utafiti wangu hasa nilifanya kupitia mnyama fisi na nilibase kwenye mambo ya homoni za testosterone na progesterone Ambapo fisi jike ana testosterone nyingi kuliko dume na uume pia Hii theory nataka niifanye kazi kwa hawa wanaume wanaotetea sana wanawake katika kila jambo bila kuangalia...
  12. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Leo mradi unazinduliwa jambo la muhimu JPM aliwaahidi Watanzania umeme utashuka bei :

  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayala leo ameongea jambo la msingi. Watanzania wakatae haki za kuhurumiwa kama Tundu Lissu alivyokataa

    Kama una makosa basi uhukumiwe kwa kosa lako. Kusema kukinukisha ni uhaini? Hata hata ule uhaini wa wale wanajeshi waliompinga hayati Nyerere hawakupindua kwa maneno kama haya. Walipanga kutumia vifaru na kuiteka Rtd
  14. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuta qualifications ajira portal

    KWENYE mfumo kwa upande wa elimu ya chuo NK hasa kuna sehemu imeandkwa REQUEST REMOVAL use it kama uliweka qualifications wrongly
  15. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Diwani kuwadhalilisha watumishi Manispaa ya Moshi ni jambo lisilokubalika

    Agosti 13 mwaka huu kwenye ukumbi wa Manispaa ya moshi kikao cha Baraza la madiwani kiligeuka kama kamati kwa ajili ya kujadili masuala ya kiutumishi hivyo sisi ambao hatukuwa wajumbe kanuni zilituondoa ndani ya ukumbi . Kikao kiliendelea kwa muda na hatimaye kikamalizika na sisi tukaitwa ...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

    MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mtu kwao bhana! Tabasamu la Rais Samia akiwa zenji, hajawai lionesha akiwa bara tangu alipoapa kuwa Rais, nais lipo jambo.

    Mwenyezi Mungu Baba alituumba kwa mfano wake yeye mwenyewe, hii sio KAULI yangu ni ya Mungu mwenyewe, nenda kasome maandiko matakatifu. Sambamba na kufanana nae, pia alimpa mwanadamu akili za kutawala viumbe vyote ILA hapo si kwamba ukiwa Rais UNAKUWA na akili kuliko mpaka viumbe wenzako yaani...
  18. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Leo asubuhi wazee niliokuwa nawaheshimu sana hapa Kijijini wamefanya jambo la hovyo sana; wameshindana kutangaza msiba. 🤔

    Wakuu, Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne. Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia kusini nikamuona Mzee mwingine anakuja (huyu alikuwa amenikaribia). Yule Mzee aliyekuwa anatokea...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufanya jambo gani kwa dhalula likageuka tabia?

    Member, Nimekumbuka changamoto iliyonikuta ikaibua tabia addiction,, Ni hivi niliwai kusafiri kwa treni kwenda Kigoma kufwatilia kazi ya tenda,, sasa kufika pale Tabora nakagundua begi la nguo halipo, niliweka juu kwenye zile kelia za mabegi ndani ya treni hata kwenye mabasi zipo,, Nikapekua...
  20. N

    JamiiForums Tanzania The Ages of AI na JamiiAI: kuwa na roboti nyumbani, maofisini, mashambani hakutakuwa jambo la kushangaza Tanzania

    Habari wakuu, Miaka michache ijayo, kuwa na roboti nyumbani, maofisini, mashambani hakutakuwa jambo la kushangaza. Kama ilivyo kwa simu janja ambazo zamani zilionekana kuwa za kipekee, roboti nazo zinatarajiwa kuwa sehemu ya maisha ya kila siku. Roboti ni Nini? Roboti ni mashine iliyoundwa...
Back
Top Bottom