A
Bwana YoHana hii nchi ina wenyewe!!!! Kama ni mtoto wa mkulima angalia mbanga zingine za kukupatia ugali .....
Ajira za siku hizi zinatolewa na vimemo na maelekezo !
Bwana Yohana hakuna namna tunaweza kufanya ukawa mchungaji?
Pole sana, tatizo hauna certificate ya connection, jitahidi kaisome hiyo labda next time utapata.
Halaf hapohapo Kila nikiangalia mikeka ya utumish majina mengi ni makafiri, hao kobaz wa kizenji ndo wanaitwa kina joseph rose JohnsonCcm wameharibu nchi,hapo kuna wazaznibari kibao wasio na vigezo wala uwezo wameingizwa kuchukua ajira zenu watanganyika na mpo tu mmetulia poleni sana.
sijafatilia ila nasikia tu makobaz ndio mnaitwa kwa makundi makundi! mimi nimeacha kufatilia sana nishachoka kabisa! hali sio hali, aptitude tests zilitaka kuniua hii miezi miwili!Halaf hapohapo Kila nikiangalia mikeka ya utumish majina mengi ni makafiri, hao kobaz wa kizenji ndo wanaitwa kina joseph rose Johnson
Hapa Seran unitetee maana mikeka unaiona kila mara, tunaojaa ni sisi kobaz au nyiny makafir?
Uskate tamaa maisha ni kupambanasijafatilia ila nasikia tu makobaz ndio mnaitwa kwa makundi makundu! mimi nimeacha kufatilia sana nishachoka kabisa! hali sio hali, aptitude tests zilitaka kuniua hii miezi miwili!
A typo is not a measure of intelligence..How does one get a degree that one cannot spell?
alikuwa anatamani awe mkubwa, anajiona ukubwa wenyewe kwa macho yake unavyo mpeleka mputa mputaHuyu jamaa kaanzisha nyuzi nyingi Sana leo