Ndio maana wanapaswa kupigwa popote....
=========
Hagari presented evidence showing Hamas weapons being stored underneath Rantisi children’s hospital in Gaza, as well as rooms seemingly used to hold hostages.
One room staged to look like a living room featured window curtains covering a tiled...
Vita kati ya taifa kubwa la Israel na wanamgambo wa Hamas vikiingia mwezi wa pili tayari serikali ya taifa hilo imeshaingia hasara kwa kuongezeka deni lake kwa dola bilioni 8.sawa na shekel bilioni 30.
Waziri wa fedha wa taifa hilo amesema deni hilo limetokana na serikali kugharamia shughuli...
Wakuu,
Bila shaka mmewahi kuusikia Wimbo wa 'Nina siri na Yesu', ukiimbwa na mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka nchini Rwanda mwenye asili ya Congo, Israel Mbonyi.
Sasa siku kadhaa zilizopita alitoa wimbo wake mpya ukienda kwa jina 'Nitaamini'. Ni wimbo mzuri mno, lakini napenda...
Uungwaji mkono wa Palestina umezidi kupaa kote duniani.
Huko Afrika kusini jioni ya jana Jumapili kikundi cha wanaounga mkono Israel kilikuwa kimeandaa ibada ya kuiombea Israel katika vita vyake dhidi ya Hamas na kuwaombea mateka wanaoshikiliwa huko Gaza.Shughuli hiyo ilikuwa ikiendelea...
Japo waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu baada kuona ukweli amesema wameshazungumza na Hamas ili wawaachie mateka inaowashikilia. Hata hivyo kwa sasa Hamas hawawezi kukubali hadaa.
Mwanzoni mwa vita mwezi uliopita Israel walikataa masharti mepesi ili kuachiwa kwa mateka hao ambayo...
TANGAZO LA ISRAEL KUWATAKA WAPALESTINA WAONDOKE GAZA ILI WAIANGAMIZE NI TANGAZO HILOHILO LILILOTOLEWA NA MALAIKA SODOMA NA GOMORRAH. WALIOKAIDI WALIANGAMIZWA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Inaweza ikawa sio Haki au ikawa Haki. Hiyo ipo juu ya mtazamo wa kifikra za mtu husika. Ila...
Ikiwa sasa imepita takribani masiku zaidi ya thelathini ya kushindana kumwaga damu za wasio na hatia kwa pande zote, basi nimekua nikifatilia na kutafakari jinsi haki inavyotafutwa hasa kwa hii style ya jeshi la HAMASI kupambana na ISRAEL.
Mawazo yamenifanya nimkumbuke kamanda jasiri marehemu...
Huku Israel ikiendelea kushambulia hospitali ambapo magaidi ya HAMAS yameweka kama makao makuu yao, waziri mkuu amesema hatositisha mashambulizi hata kama dunia yote itakua dhidi ya Israel, yaani hata maandamano yafanywe mpaka wapi hataocha mpaka HAMAS wauawe wote humo.
Israel imesema iko...
Siku chache tu baada ya shambulio la Hamas tarehe 7 Oktoba, Rais wa Marekani Joe Biden alifika Tel Aviv na kueleza mshikamano wa Marekani na Israel.
Aliwaita Hamas ni 'mashetani' na kusema Marekani iko pamoja na Israel katika kila hali na itapata kila msaada.
Mwanzoni mwa mwezi Novemba, Bunge...
Mimi nasimama na Israel kwenye mapigano haya, ila tu kwa niliyoyaona Jana naweza kushauri kwamba Sasa inatosha. Nadhani kwa Sasa Israel isistishe mapigano na Hamas maana kwa Sasa wanaoumia sio Hamas ni raia wa kawaida wa Gaza. Kama ni kisasi kimeshalipwa. Maana mpaka Sasa wameuawa wapalestina...
Meneja wa Alshifa hospital jana alisema ni zamu ya vita vya kupiga hospitali.Na kweli vita vya Israel kwa hospitali vimeendelea na kuonesha ukatili ambao wote walioona wametishika.
Madaktari wa hospitali hizo wameonekana wakikimbia na vitoto njiti kwenye mashine za kuokolea maisha huku wengine...
Biblia nzuri sana ina kila kitu
soma mandiko utaona sehemu alaaniwe anaeilaani israel
abarikiwe anaeibariki israel
kuwa makini na post za israel jf usishangae unachaondika ndicho kinachokufwata
ama baraka ama laana
sikutishi nakukumbusha
sty blsd Israel
Katika hali ya kuzimwa data na umeme Gaza kuna mengi tunayokosa kuyaona.Hata hivyo machache yanayovuja kwa shida inaonesha vita huko ni kali kuliko ule ukali uliotarajiwa na jeshi la IDF.
Mara kadhaa jeshi hilo limeshatangaza kuingia katikati ya Gaza lakini baadae ikaonesha kuwa bado wako...
Meneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea.
Baada ya hapo hospitali hizo...
Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa, wakazi wa miji na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vilivyoko kwenye mpaka wa Lebanon wanakimbia kwa umati kwa namna ambayo haijawahi kutokea katika historia ya Israel sambamba na kuendelea Hizbullah ya Lebanon kuyapiga kwa...
Ndugu zangu,
Lini Tanzania ilibadili msimamo wake?
Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ni kijana hodari mwenye kujua kuchagua maneno yake vyema.
Hapo chini ameandika masikitiko yake kuhusu Tanzania kukataa kupiga kura kulaani mauaji ya Waislam Myanmar.
Katika...
Ni mwandishi wa gazeti la Haaretz
Allah ajaalie ushindi kwa Ndugu zetu wapalestina
Moderator ,nawaombeni sana, msifute au kuhamisha nyuzi zangu, mmezidi sasa! Kila nikianzisha thread za maovu/uhalifu wa MAZAYUNI mnakimbilia kuuondoa au kuupeleka kwingine, leo nimeleta taarifa ya maovu...
Nimeona waasi kutoka Yemen wamekuwa wakileta chokochoko sana kwa kurusha makombola ndani ya Israel lakini sioni Israel iki react juu ya jambo hilo, je wameamua kupuuza au Hamas kawakamata vibaya?
Israel wakikubali kusitisha mapigo kwa walau siku tatu, mateka 15 wataachiwa huru.............
Negotiations are continuing between Israel and Palestinian group Hamas, mediated by Qatar in coordination with the United States, that could see 10-15 Hamas-held captives released in exchange for a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.