Tangazo la Israel kuwataka Wapalestina Waondoke Gaza ili waiangamize ni tangazo hilohilo lililotolewa na Malaika Sodoma na Gomorrah

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
TANGAZO LA ISRAEL KUWATAKA WAPALESTINA WAONDOKE GAZA ILI WAIANGAMIZE NI TANGAZO HILOHILO LILILOTOLEWA NA MALAIKA SODOMA NA GOMORRAH. WALIOKAIDI WALIANGAMIZWA.

Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Inaweza ikawa sio Haki au ikawa Haki. Hiyo ipo juu ya mtazamo wa kifikra za mtu husika. Ila nitaelezea kinachoendelea huko Palestina kulingana na uhalifu na mauaji yasiyofurahisha.

Wayahudi wamerithi kwa kiasi fulani tabia za Yahweh! Ambaye ni mungu wao. Falsafa za Wayahudi zinatokana na msingi mkuu wa sheria za Yahweh.

Yahweh ndio kinara wa kanuni za mauaji ya kutisha, mauaji ya kikatili bila kujali wanawake sijui watoto, sijui wazee sijui wanyama au chochote.

Yahweh huagiza kabisa mji uchomwe moto kisiachwe chochote kilichohai hata kama ni mimea. Yaani hata kuku.
Unapozungumzia mauaji ya kimbari basi hapo hutoacha kumtaja Yahweh, mungu wa Wayahudi.

Mifano ya Mauaji ya kutisha ya kimbari ambayo Yehova ameripotiwa kuyafanya ni pamoja na Gharika nyakati za Nuhu pamoja na mauaji ya kutisha ya moto wakati wa Sodoma na GOMORRAH. Hayo ndio mauaji makubwa na maarufu ambayo hayajapata kutokea mpaka leo ambayo ni mauaji ya Halaiki na ya kimbari ambayo Yehova aliyafanya.

Lakini kanuni moja ya Yahweh Kabla hajafanya mauaji ya kutisha, kimbari na yakikatili kuna mambo lazima ayafanye na kuyazingatia.

Mambo hayo ni kama yafuatayo;

1. Kutoa tangazo la Watu kutubu na kuacha kumfanyia dharau, kudhulumiana, kufanya maovu. Tangazo hilo baada ya kutolewa Yehova hutoa muda wa Rehema ili watakaotubu na kurejea kwake warejee.

2. Kutoa tangazo la kuangamiza Mji.
Watu wamekataa kutubu ila kuna uwezekano wapo wachache wanaotaka kuendelea kuishi. Basi tangazo hilo limawahusu. Yehova hutoa tangazo la kuwapa taarifa kuwa sasa muda wa msamaha haupo hivyo mji utaangamizwa tuu kivyovyote vile.

3. Kutoa tangazo la msaada wa eneo la kukimbilia kwa wale watakaohitaji Msaada.

Zikiwa zimebakia dakika za lalasalama. Yehova, mungu wa Wayahudi kama anavyoripotiwa katika vitabu mbalimbali hutoa eneo la Rehema. Kwamba ni kweli nitaamgamiza tena maangamizi makubwa lakini kuna eneo ambalo watakaohitaji Msaada nimewapa watakimbilia. Mji wa ukombozi.

Hiyo ni Yehova na mambo yake kabla hajaanza kufanya mauaji ya halaiki, yakikatili na mauaji ambayo hayatajali chochote kwa Watu au viumbe ambao wanadharau na waliokataa kuisikia sauti yake.

Kipindi cha Nuhu Yehova alitumia hatua hizohizo. Eneo la ukombozi ni Safina ndogo ambayo ilijengwa kwa wale watakaohitaji ukombozi. Lakini waliokaidi WALIANGAMIZWA wao, na wake zao, na watoto wao na kila kitu chao. Hayo ni mauaji ya halaiki.

Halikadhalika na Kipindi cha Maangamizi ya Sodoma na GOMORRAH. Yehova alipotuma Malaika zake wakaangamize Huko Sodoma na GOMORRAH walizingatia hatua zote nilizotaja.

Kisha mji wa ukombozi ulikuwa Lutu na familia yake ambao hawakukaidi tangazo la kuhama eneo hilo maangamizi, wakaambiwa waende mpaka mlima fulani ambao upo nje ya miji hiyo.

Waliokaidi WALIANGAMIZWA vibaya wao na watoto wao.
Utasoma kwa ufupi

Mwanzo 19:
12 Basi wale watu wakamwambia Lutu, Je! Unaye mtu hapa zaidi? Mkwe, wanao, na binti zako, na wo wote ulio nao katika mji, uwatoe katika mahali hapa; 13maana tutapaharibu sisi mahali hapa, kwa kuwa kilio chake kimezidi mbele za BWANA; naye BWANA ametupeleka tupaharibu. 14Lutu akatoka akasema na wakweze, waliowaposa binti zake, akasema, Ondokeni mtoke katika mahali hapa kwa sababu BWANA atauharibu mji huu.

Lakini akawa kama achezaye machoni pa wakweze. 15Hata alfajiri ndipo malaika wakamhimiza Lutu, wakisema, Ondoka, mtwae mkeo na binti zako wawili waliopo hapa, usipotee katika maovu ya mji huu. 16Akakawia-kawia; nao wale watu wakamshika mkono, na mkono wa mkewe, na mkono wa binti zake wawili, kwa jinsi BWANA alivyomhurumia, wakamtoa wakamweka nje ya mji. 17Ikawa walipomtoa nje, mmoja alisema, Jiponye nafsi yako usitazame nyuma, wala usisimame katika hilo bonde po pote; ujiponye mlimani, usije ukapotea.

Israel wanatumia kanuni hizo. Hata ukiangalia kinachoendelea huko Gaza ndicho alichofanya Yehova.
Tayari wapo kwenye mgogoro na Hamas, Hamas wamewafanyia kile walichowafanyia ambacho kwa Wayahudi Wamekiona ni kibaya (wakati kwa Hamas na washirika wao ni kizuri)

Israel ikatoa tangazo la ghadhabu yao juu ya kuangamiza mji wa Gaza, lakini sio Haya yote.

Ikatoa tangazo la Watu wahame eneo ambalo watafanya Maangamizi yao kama anavyofanya Yehova mungu wao. Baada ya hilo tangazo huwaga hakuna kurudigi nyuma kwa sababu tayari ni hatua ya mwisho.

Ambao wamekaidi na kudharau matangazo yao ni kwamba wapo tayari kukabiliana na maangamizi yatakayofanywa wao na Wanawake wao, wao na watoto wao, wao na mali zao, wao na mifugo yao. Wao na kila kitu chao. Ili mradi mji umeangamizwa.

Tabia hiyo iwe ni nzuri au mbaya wafanyayo Wayahudi ndio hiyohiyo aliyonayo mungu wao katika dini yao iitwayo Judaism. Ambaye ndiye kinara wa kufanya maangamizi katika ulimwengu huu.

Kwa Wayahudi kwao sio kosa kufanya mauaji ya namna hiyo kwa sababu hatua zote ambazo Yehova huzifanya wamezifuata.

Kelele za umoja wa mataifa na dunia kwa ujumla hazitasaidia wala kubadilisha chochote kama vile Yehova alivyoangamiza dunia na gharika kipindi cha Nuhu kisha akachoma SODOMA na GOMORRAH kipindi cha Ibrahimu na Lutu.

Wakati Yehova akiangamiza wanakuwepo watoto tena waliozaliwa leo ambao hawajui chochote, wanaokuwepo wanawake na wazee.

Hivyo hao wanaoonekana hawana hatia huangamizwa kwa ukaidi wa Wanaume zao. Hivyo ndivyo Yehova afanyavyo mambo yake.

Namna bora ya kupambana na wanaotumia kanuni ya Yehova ni aidha kutii amri zao au kutumia kanuni zao kuwashumbulia. Lakini kulialia haibadilishi chochote.

Ni sawa na Mzazi ambaye anamlalamikia Mungu kuwa mtoto wake anakufa njaa wakati hana kosa lolote. Kosa unalowewe mzazi unayeshindwa kumpa mtoto chakula.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mgogoro huu siyo wa dini na vitabu vya kutungwa.

Na wala Sababu ya Israel kuichapa gaza sio sababu ya ugaidi wa hamas, la hasha.

Sababu kuu ni ya kiuchumi, wanataka kamilisha mpango wao wa kutengeneza canal itakayo pita katikati ya Israel na kutokea gaza. israel canal haiwezi kamilika bila Israel kuichukua gaza. Huo mfereji utakuwa mshindani wa suez canal ya kemet.
 
Upo sahihi
 
Hakuna sehemu nimesema huo ni mgogoro wa kidini
 
Bro we taikoni wa fasihi na unaheshimika Sana hapa jukwaani lakini nimepigwa na butwaa kuona unawahusisha wayahudi wa wa kwenye biblia na hawa kikundi cha wahuni...kwani ujui kwamba hawa wa sasa hawana uhusiano na wayahudi wa kwenye biblia ....Iko hivi hawa wayahudi wa sasa ni wazungu kutoka uturuki ambao walisilimu na kuwa wayahudi lakini hawana uhusiano kabisa na biblical Jews na hata hawajui kuhusiana na makabila kumi na mbili ya wayahudi halisi ambao Ni weusi....
 
Upo "sahihi".Hata wale Wana Israel waliotoka Misri na kwenda nchi ya ahadi hawakuwa Waisrael.Walikuwa ni "Wamisri"!Rudiarudia kusoma utanielewa.
 
Bro we taikoni wa fasihi na unaheshimika Sana hapa jukwaani lakini nimepigwa na butwaa kuona unawahusisha wayahudi wa wa kwenye biblia na hawa kikundi cha wahuni...kwani ujui kwamba hawa wa sasa hawana uhusiano na wayahudi wa kwenye biblia ....Iko hivi hawa wayahudi wa sasa ni wazungu kutoka uturuki ambao walisilimu na kuwa wayahudi lakini hawana uhusiano kabisa na biblical Jews na hata hawajui kuhusiana na makabila kumi na mbili ya wayahudi halisi ambao Ni weusi...
Kumbe walitoka uturuki🤔
 
Mungu wenye hasira za hivyo ni mpumbavu tu , moyo wa mpumbavu umejaa hasira.
 
Bro we taikoni wa fasihi na unaheshimika Sana hapa jukwaani lakini nimepigwa na butwaa kuona unawahusisha wayahudi wa wa kwenye biblia na hawa kikundi cha wahuni...kwani ujui kwamba hawa wa sasa hawana uhusiano na wayahudi wa kwenye biblia ....Iko hivi hawa wayahudi wa sasa ni wazungu kutoka uturuki ambao walisilimu na kuwa wayahudi lakini hawana uhusiano kabisa na biblical Jews na hata hawajui kuhusiana na makabila kumi na mbili ya wayahudi halisi ambao Ni weusi....

Uyahudi upo wa kuzaliwa iwe kwa upande wa mama au Baba. Hiyo ni moja.
Mbili Uyahudi upo wa kusilimu kupitia michango iliyowekwa.
Hao Ashkenazi ni Machotara wa kiyahudi wenye mchanganyiko na jamii za kizungu.

Kuhusu Waisraeli kuwa weusi,
Wapo Waisraeli weusi kutokana na baadhi ya Waisraeli kuzaa na jamii ya Watu weusi mfano Nabii Musa Alioa Mwanamke mweusi. Hali iliozua mgogoro baina ya Dadaake Musa, Miriamu na Musa mwenyewe akimlaumu Kakaake.

Suleiman pia alizaa na watu weusi ambaye ni malkia wa Sheba.
Ibrahim alizaa na Hajiri Mmisri(ambaye alikuwa ni mweusi).
 
Back
Top Bottom