iringa

Iringa is a city in Tanzania with a population of 151,345 (as of 2012). It is situated at a latitude of 7.77°S and longitude of 35.69°E. The name is derived from the Hehe word lilinga, meaning fort. Iringa is the administrative capital of Iringa Region. Iringa Municipal Council is the administrative designation of the Municipality of Iringa.
Iringa has been one of the coldest regions in Tanzania due to its geographical location but that has attracted a lot of tourists from colder regions abroad especially Western Europe. Iringa also hosts one of Africa’s largest national parks the Ruaha National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Airport ya Iringa Kufungua Utalii Kusini, Ujenzi Wafikia 82% - Naibu Waziri Kihenzile

    AIRPOT YA IRINGA KUFUNGUA UTALII KUSINI, UJENZI WAFIKIA 82% - NAIBU WAZIRI KIHENZILE Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kufufua Uwanja wa Ndege wa Iringa na kuujenga kwa kiwango cha Kisasa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Iringa kwa teuzi hizi mmetisha. Hakika Mzee Luhanjo amewaacha pazuri!

    Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo (Iringa). Katibu Mkuu UVCCM Lulandala (ameoa mdogo wake na Daniel Chongolo) naye Iringa. Katibu Mkuu UWT Jokate Mwegelo Binti aliyekulia kwa shangazi yake Jenista Mhagama naye Iringa. Albert Chalamila (Iringa) mbali na Philip Mangula (mstaafu) naye Iringa (Sasa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa yoyote ya ajali ya gari maeneo ya Iringa, awasilishe

    Wakuu poleni na majukumu, Kuna ajali ya gari ndogo nasikia imetokea maeneo ya Iringa, mwenye taarifa kamili atujuze. Dah, nimepata taarifa juu juu, Kuna ndugu yangu amesafiri, simpati kwenye simu
  4. Bull Bucka

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Iringa shughulikieni ukosefu wa miundombinu ya vyoo Soko la Machinga

    Wafanyabiashara katika Soko la Machinga, lililopo kata ya Mlandege, mkoani Iringa, wanakabiliana na changamoto kubwa ya kukosa miundombinu ya vyoo. Hali hii inawalazimu kutumia eneo la nyuma ya soko, ambalo ni la makaburi, kama sehemu ya kujisaidia. Hii ni hali ya hatari kwa afya, kwani eneo...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Iringa: Kina cha Maji Bwawa la Mtera chapungua na kuathiri uzalishaji Umeme

    Kina cha maji cha Bwawa la Mtera, Mkoani Iringa kimepungua na hivyo kupunguza Uzalishaji wa umeme kutoka megawati 80 mpaka 72. Hayo yamebainika leo Septemba 9, 2023 baada ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kutembelea bwawa hilo ili kuona uzalishaji wa umeme. Mwenyekiti wa Kamati...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Iringa: Kilo 276 za dawa za kulevya aina heroin na Bangi zakamatwa na watu 12 Washikiliwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya, kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, imefanya operesheni maalum katika mkoa wa Iringa na kufanikiwa kukamata jumla ya kilo 276 za dawa za kulevya aina heroin na bangi na kuwakamata jumla ya watu 12 wakihusishwa na dawa...
  7. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Iringa: Idadi ya wanaume waliofanyiwa vitendo vya ukatili ikiwemo vipigo wilayani Mufindi imepungua

    HABARI Idadi ya wanaume waliofanyiwa vitendo vya ukatili ikiwemo vipigo wilayani Mufindi mkoani Iringa, imepungua kutoka wanaume 811 mwezi Januari mwaka huu hadi kufikia wanaume 407 mwezi June. Mkuu wa wilaya ya Mufindi Dkt Linda Salekwa amesema kuwa hayo ni matokeo mazuri ya elimu inayoendelea...
  8. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hao wahehe wanaojinyonga wako wapi, nilikaa Iringa ila mbona nilikuwa sisiki haya mambo?

    Niliwahi kukaa Iringa hapo kwa miaka kama miwili, Katika vitu nilovyokuwa na shauku ya kuvihakikisha ni ule usemi wa wahehe kusifika kujinyonga. Nilitegemea kusikia habari za kujinyonga kila wiki ila nilichoambulia kwa muda huo wote kuna mwanafunzi alijinyonga kitu ambacho hakikunistua.
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo Kikuu Iringa hawalipi mishahara kwa wakati na kuna changamoto ya Mifumo ya Malipo, hivyo Watumishi wasio waadilifu wanachezea mifumo ya malipo

    Sakata la Chuo Kikuu cha Iringa roho za Watanzania zinateseka katika hicho chuo, kwanza hakilipi mishahara kwa wakati matokeo yake Watumishi wasio waadilifu ikiwepo Ofisi ya Uhasibu wanatengeneza mchezo mchafu wa malipo hewa ili kujipatia fedha. Ishu hiyo ilipokugundulika chuo bila kuchunguza...
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Iringa: Mzee Kiyeyeu alizikwa na mtu aliye hai na kaburi lake lilizuia umeme wa TANESCO kuwaka

    Kando ya barabara ya Iringa - Mbeya maeneo ya Njia panda ya Mlolo kuna Kaburi la mtu aliyekuwa maarufu katika fani ya Uganga wa jadi mkoani Iringa na alifahamika kama Mzee Martin Kiyeyeu. Inaelezwa mzee huyu alifariki mwaka 1974 na kuzikwa lakini muonekano wa Kaburi hilo ni kama alizikwa hivi...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Iringa: Ahukumiwa kunyongwa baada ya kumbaka na kumuua Mke wa Mtu

    Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Mwanaume aitwaye Mohamed Njali kwa kosa la kumbaka na kumuua kwa kumkaba Atika Chesco Kivanule (24) September 25, 2022 saa saba usiku wakati Mumewe akiwa kwenye banda la video kutazama pambano la ngumi la Mandonga vs Salim Abeid...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hadhari ya Baridi kali Mbeya, Njombe na Iringa

    “Hali hii ya upepo na baridi inatarajiwa kwenda hadi mwezi Agosti, Septemba ndo hali ya joto itaanza kushuhudiwa, hivyo watu wajipange hasa katika mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe ambapo huko baridi zaidi hushuhudiwa.” – Rose Senyagwa, Mchambuzi wa hali ya hewa TMA. @tanzaniameteorological...
  13. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuwasaka Simba Iringa limeishia wapi? Bado wananchi wana hofu kubwa!

    Hali ya usalama katika vijiji vilivyoripotiwa kuvamiwa na Simba Bado ni tete, hiyo ni kwa mujibu wa kazi wa vijiji husika kuishi kwa hofu na kuogopa hata kutembea mida ya jioni kwa wale wenye mashamba mbali imekuwa changamoto kubwa! Taarifa mahsusi itolewe kama usalama umerejea na hao Simba...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nancy Nyalusi Awapiga Jeki UWT Iringa

    MHE. NANCY NYALUSI ACHANGIA MILIONI 6 UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT, ATOA KADI 1500 KWA WANACHAMA WAPYA WA CCM MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi amenunua Kadi za uanachama 1,500 kwa ajili ya wanachama wapya wa Jumuiya ya Wanawake CCM (UWT) Wilaya ya Kilolo, Mufindi na...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea Iringa nadhani viongozi wanaohusika na wanyamapori watumbuliwe

    Kwa masikitiko makubwa sana naandika huu uzi nikiwa sijui itakuwaje kwa wananchi wa Iringa wanaoishi kwa hofu kutokana na kundi la Simba lililopo kwenye maeneo yao. Vyombo vya habari kwa zaidi ya mwezi vimekuwa vikitangaza kila siku kuhusu hao Simba waliotoroka kutoka Ruaha na kuingia kwenye...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Hivi Makosa wa Iringa bado yupo?

    Wakazi wa Iringa hivi huyu mwamba wa Iringa aliyewahi kumiliki vibasi vyanavyokwenda Ilula na Zahanati yupo? Anaendeleaje na maisha yake ambayo ni hadithi tosha yenye mafunzo kwa watu?
  17. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Simba waliovamia Iringa vijijini wamefika maeneo ya karibu na mjini?

    Nikiwa katika matembezi yangu hapa Iringa Mjini nimepata kusikia habari za uwepo wa makundi mawili ya Simba wanaosadikika kutafuna mifugo katika maeneo mbalimbali ikiwemo maeneo ya Lupembe lwa senga na vijiji jirani Kama kuna mtu anaweza kuwa labda kashuhudia au muhanga tunaomba taarifa rasmi...
  18. carnage21

    JamiiForums Tanzania Iringa: Mbwa Mayele asifika kusaidia kufanikisha doria ya kuwasaka Simba waliovamia vijiji

    Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani iringa,doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa anayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana kwa Simba huyo. lets give credit kwa mbwa mayele😂😂😂. =========== Siku chache baada ya Simba kuvamia...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Hafla ya Utiaji Saini Mikataba ya Ujenzi wa Barabara za Mtili - Ifwagi (KM 14) na Wenda - Mgama (KK 19) Mkoani Iringa kwa Kiwango cha Lami

    MKABATA UJENZI WA BARABARA MTILI - IFWAGI (KM 14) WASAINIWA - JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe tarehe 20 Juni, 2023 ameshuhudia utiaji saini Mikataba ya Ujenzi wa Barabara...
  20. Sajo

    JamiiForums Tanzania IRINGA MJINI: Wafanyabiashara wagoma kufungua maduka na biashara zao kupinga uonevu wanaofanyiwa na Manispaa ya Iringa

    Leo tarehe 15.06.2023 wafanyabiashara wa Iringa mjini wamegoma kufungua biashara zao baada ya askari wa manispaa ya Iringa jana kuvunja na kuharibu biashara zao kwa kuvunja vibaraza vya maduka. Jambo hilo limeharibu mali zao wafanyabiashara na pia kufungwa kwa biashara kumesababisha kukosekana...
Back
Top Bottom