iringa

Iringa is a city in Tanzania with a population of 151,345 (as of 2012). It is situated at a latitude of 7.77°S and longitude of 35.69°E. The name is derived from the Hehe word lilinga, meaning fort. Iringa is the administrative capital of Iringa Region. Iringa Municipal Council is the administrative designation of the Municipality of Iringa.
Iringa has been one of the coldest regions in Tanzania due to its geographical location but that has attracted a lot of tourists from colder regions abroad especially Western Europe. Iringa also hosts one of Africa’s largest national parks the Ruaha National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Tido The great

    JamiiForums Tanzania Kwa anaejua Ada katika chuo cha primary health care institute Iringa

    Habari zenu Wakijuwa, Naomba kuuliza Kwa anaefahamu Ada katika chuo cha primary health care institute Iringa Ni sh ngap Kwa mwaka natanguliza shukrani
  2. Chatta g

    JamiiForums Tanzania Q NET imerudi tena kwa kasi sasa inafanya utapeli mikoa ya kusini (Songea, Mtwara ,Njombe, Iringa)

    Nashindwa niandike kwa namna ipi ili ieleweke kwamba hakuna pesa za bure, vijana tufanye kazi hata kama ajira hakuna Ila tufanye kazi tu hizo hizo za windani umachinga . Ipo hivi.. Pwani-mlandizi mtaa wa tanesco kalibu na idara ya maji pale (Mara yangu ya kwanza kufika), QNET wamekodi nyumba...
  3. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania IRINGA: Mahakama Kuu Yafuta Hukumu ya Kijana Aliyeshitakiwa kwa Kumbaka Binti Bikra wa Kijerumani

    Wakati mwingine, lugha ngumu na utaratibu za kisheria zinaweza kufanya haki ionekane kama kitendawili. Kesi ya kijana Selemani inatupa somo muhimu: makosa madogo ya kisheria yanaweza kuleta madhara makubwa. Shortly, Selemani alishtakiwa kwa makosa ya unyang’anyi na ubakaji wa binti bikra kutoka...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Polisi wakikutwa wao hawajitaji majina, ila raia wanatajwa majina hata bila udhibitisho, sasa je, RTO wa Iringa anaitwa nani?

    Wanyonge wanaomba majina, mkoa gani na je , mbona huwa hamuwataji? Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime, amesema baada ya ukaguzi, wahusika walichukuliwa hatua za kinidhamu kwa kushtakiwa, Askari 8 wamefukuzwa kazi na kufutwa Jeshini na wengine kesi zao zipo hatua za mwisho. WADAU...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Barabara ya Dodoma - Iringa inajengwa upya lakini haina umri wa kujengwa upya

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa Serikali akitoa mfano Barabara ya Dodoma – Iringa ambayo imekuwa na...
  6. Jameson-journalist

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu ukatili wa kijinsia Iringa

    Takwimu zimeonyesha iringa imeongezeka kwa kiasi ukatili wa kinsia. Ni sabubu gani zinohisiwa kuchochochea ukatili wa kijinsi? Nini kufanyike ili kupunguza ama kutokomeza ukatili wa kijinisia? Maoni ilikupunguza ukatili wa kijinsia?
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Iringa mjini baadhi ya Adhana za misikiti zimezidi kelele, sauti iwe ya chini isiwe kero

    Matumizi ya Speaker ina mipaka yake. Ukizidisha sauti inakuwa sio adhana bali ni kero kwa wananchi, ambapo sio wote ni waislamu. Dini yetu inasisitiza sana kuchunga haki za majirani na kwenye hili misikiti hawajapewa msamaha. Ifike mahali waendesha hizo misikiti wawe na aibu maana hakuna haja...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa wakazi wa Iringa waanza kula panya kama kitoweo!

    Wadau hamjamboni nyote Gazeti la mwwnanchi linaripoti kuwa Ndugu zetu huko Iringa Sasa wameamua kula panya kama kitoweo wakidai kina protein Kwa wingi sana Taarifa kamili hapo chini #Repost @mwananchi_official —— Wakazi wa Kijiji cha Ndengisivili wilayani Kilolo mkoani Iringa, wamesema ulaji...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yadhamini kongamano la wanafunzi kuwajengea uwezo wakujiamini na kuhimili ushindani wa ajira na kujiajiri vyuo vikuu vya Iringa na Dodoma

    Mratibu wa mafunzo (Supervisor Learning and Development wa Barrick Tanzania,Elly shimbi akiongea na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wa kongamano lakuwajengea uwezo wakujiamini na kuhimili ushindani wa ajira na kujiajiri lililoandaliwa na taasisi ya AIESEC Tanzania lililofanyika katika...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA yaruhusu Mabasi ya Dar - Mtwara yapite Barabara ya Songea, Makambako, Iringa kwa dharura

  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu aendelea kutikisa nchi, aongoza maandamano makubwa Iringa

    Ikiwa leo ni Tarehe 2 May 2024, Tundu Lissu, ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameongoza Maandamano Makubwa ya kupinga dhiki, Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Hali ndio kama unavyoiona
  12. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Kijiolojia na Kisayansi: Upekee wa Muundo wa Ardhi ya Iringa, Tanzania

    Iringa ni mkoa ulioko katika sehemu ya kusini mwa Tanzania, na ni sehemu muhimu sana kijiolojia katika kuelewa muundo wa bara la Afrika. Kijiolojia, eneo hili limeathiriwa na michakato mingi ya kijiolojia ambayo imeunda miamba ya kale na muundo wa ardhi unaopatikana huko. Miamba ya kale...
  13. Sam GM

    JamiiForums Tanzania Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

    JF imekuwa ni mahali pa kupashana habari na kuweza pia kuzungumzia mambo ya historia yetu na mwelekeo wa nchi. Kuna Huyu bwana anajulikana kama marehemu Dr Kleruu, mie nimekuwa nikimsikia katika wimbo wa Mbaraka Mwinshehe kuwa alikuwa mwanamapinduzi. Je, kuna yeyote anaweza kutupatia taarifa...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TANROADS Morogoro Yaendelea Kuziba Mashimo Katika Barabara ya Morogoro - Iringa

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro wameendelea kuchukua hatua za haraka kuziba mashimo yaliyotokeza katika barabara kuu ya Morogoro – Iringa hasa eneo la hifadhi ya Taifa Mikumi kutokana na mvua kubwa zinazonyesha kwa wiki ya pili mfululizo Mkoani humo. Hayo yameelezwa na...
  15. Babatunde_seneior

    JamiiForums Tanzania Karibu Autorex Garage Iringa

    nHabari zenu wakuu kwa aliepo iringa au kama unatarajia kufika iringa. Nakukaribisha autorex garage iringa napatikana Mshindo jilani na benki ya NBC. Huduma zinazo patikana ●Oil change ●kuziba pancha ●kujaza upepo ●kubadilisha matairi Na matengenezo mengine ya gari yako 0755539092 0788887129
  16. smarte_r

    JamiiForums Tanzania Usiku mzuri ninaoukumbuka mwaka 2020 ndani ya Iringa Mjini

    Kanuni yangu ya maisha ni hii: fanya ibada, tafuta pesa, wekeza, msaidie asienacho(japo sio lazima) na mwisho kabisa kumbuka kujipa furaha wewe mwenyewe. Mwaka 2020 ulikuwa ni wa mafanikio sana kwangu. nilipata deal lililofanya nizunguke sehemu mbalimbali nchini ikiwemo iringa. Ukiondoa faida...
  17. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Taarifa nzuri sana kutoka iringa usikose kusoma

    Kamwene: Hali ya hewa iringa leo ni nzuri sana hakuna Baridi na jua linawaka vizuri sana. Bei ya komoni ni sh 300 kwa lita 1, ulanzi ni sh 400 kwa lita, pia kuna promosheni ya Ulanzi kwa vilabu vyote Lita 2 inauzwa kwa sha 700. Bei ya kande kibakuli kimoja ni sh 100 pilipili bure, upande wa...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Iringa hapatoshi, Mchuano wa Wagombea wa Uongozi wa CHADEMA unatisha

    Myovela ndiye ameanza kuchukua fomu, Japo kuna tetesi kwamba wagombea kadhaa wenye ushawishi washatia nia Hebu ngoja Tusubiri hadi mwisho
  19. Roboti Wa Nape

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi mmoja afariki wengine hali tete wilayani Kilolo, Iringa baada ya kula futari ya msaada

    Hii imetokea katika shule ya Sekondari Kilolo iliyopo katika Kijiji cha Luganga, kata ya Mtitu Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa. Tukio hilo limetokea jana. Wanafunzi 7 wa kiislam waliokuwa wamefunga kwenye mfungo wa Ramadhani wamekumbana na kadhia ya kutapika na kuharisha kunakoelezwa kunatokana...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Afungwa jela kwa kosa la kumlawiti mkewe kama adhabu anapokosea

    Mahakama ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imemtia hatiani Dickson Mbwilo (42), mkazi wa Kitelewasi na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumlawiti mke wake. Kulingana na maelezo ya mwanamke huyo mwenye umri wa miaka (32), mumewe alikuwa akimfanyia kitendo hicho pale anapokuwa...
Back
Top Bottom