iran

  1. L

    JamiiForums Tanzania Urusi hawatupi washirika wake, Yuko Iran na sasa kapeleka mafuta Cuba, kavunja vikwazo vya Trump

    Urusi imevuka kibabe vizuizi na kuvunja vikwazo vya Marekani hatimae Leo meli ya mafuta ghafi ya Urusi imefika Cuba. Marekani kama kawaida yake kwa roho mbaya yake iliiwekea Cuba vikwazo vya mafuta baada ya kuiba mafuta ya Venezuela ambayo ndio ilikua nchi peke inayoiuzia mafuta Cuba...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Msaliti wa ndani na mhafidhina anayeungwa mkono na Marekani ameshaidhinishwa anasubiri kukabidhiwa madaraka kuongoza serikali

    Wadau hizo ni tetesi kwa mujibu wa vyanzo kadhaa tuvute subira tuone hatima. Mhusika ni mhafidhina mkubwa aliyeamua kubadili gia angani baada ya kuona fursa Mchakato umesalia mdogo kabla ya hitimisho ambalo ni kumkabidhi serikali.
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Kibri Kinaangamiza

    Maoni ya mwandishi wa vitabu na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini #mohamedsaid kuhusu vita ya Iran dhidi ya mataifa ya Israel na Marekani.
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Spika wa bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf aangamizwa!!

    Ameangamizwa leo hii Mohammad Bagher Ghalibaf, Spika wa Bunge la Iran Watetezi wa Magaidi Adiosamigo mdogoee na Mmbeya wa JF zitto junior njoni mkanushe hapa tuone!!!!
  5. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Iran yafanya shambulio Kubwa katika eneo la viwanda vya chuma na Chemicals huko Israel

    Katika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa Israel ambapo uharibifu mkubwa na Moshi mzito umeonekana ukitanda katika anga kutokana na shambulizi...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf adaiwa kuuawa na jeshi la Israel

    🇮🇱🇮🇷➡️ The IAF has eliminated someone important in the heart of Tehran. Rumours say it was Mohammad Bagher Ghalibaf, the president of the Iranian parliament. We will find out soon enough but here is his obituary in advance. Mohammad Bagher Ghalibaf is/was an Iranian politician and former...
  7. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Iran imeachana na GPS wanatumia BeiDou?

    Ni kweli kwa sasa Iran inatumia BeiDou na imeachana na GPS ? Kwa nini ? Na kama kweli ni toka lini ?
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Kipindi Maalum

    https://youtu.be/wSL_Z6pY3h8?si=ASBnArYg5G5en2vL
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege-vita wa Bushenr huko iran washambuliwa!!

    Uwanja wa ndege-vita huko Iran umeshambukiwa na ndege-vita za Israel
  10. E

    JamiiForums Tanzania Iran ndugu yetu ameshindwa kuruhusu Meli zetu au ndugu wa mchongo

    Nilimuona Kombo anatoa pole kwa ndugu zetu katika imani balozi wa Iran. Sasa hiyo pole mbona ndugu zetu hawarudisha ukarimu huo kuruhusu meli zetu zipite. Ukizingatia kiongozi mkuu ni muislamu tena anaipenda Iran hadi kutumia wajumbe kutoa pole.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya USA Israel na Iran wote wameishiwa ADS imekua piga nikupige

    Ni hakika kabisa pande zote mbili katika vita hii ambayo USA akishirikiana na Israel kupigana na Iran,pande zote mbili zimeishiwa Air Defense Systems,kilichobaki hivi Sasa imekua ni piga nikupige. Ni kweli zipo chache zilizofichwa sana lkn naamini sehemu kubwa sana ya hizi ngao zimekwisha...
  12. Richard

    JamiiForums Tanzania Wadukuzi wa Iran wauinglia mtandao wa internet wa FBI na kufungua akaunti binafsi ya barua pepe ya Mkurugenzi wake Kash Patel

    Wadukuzi wa kundi lijulikanalo kwa jina la "Handala Hack Team" wamefungua akaunit binafsi ya barua pepe ya mkurugenzi wa FBI bwana Kash Patel na kuianika barua pepe yake pamoja na picha zake binafsi katika tovuti yao huku wakiacha ujumbe usemao kwamba huu ndo mwanzo tu -" This is just our...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Iran Imetoa Tahadhari Meli Yoyote Inayo Kwenda Israel Itaishambulia

    Ujumbe ndio huo kila meli itakayo onekana ikielekea Israel itashammbuliwa https://youtu.be/SkIXpVcO5Gc?si=ee2rJ3HiqrHj5ccW Pia tazameni Israel target zake siku zote civilian afu yeye akipigwa anadai Iran inapiga civilian hahaha https://www.instagram.com/p/DWYtyRqk2Mg/?igsh=MXVocnR3eXllMXN1MQ==
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Wairani Hodari wa Mapambano

    https://youtu.be/ZfeZJP0Sqfc?si=w1bRPU7_qCjI9S42
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia la FIFA 2026

    Kombe la Dunia la FIFA 2026, mashindano makubwa ya kimataifa ya soka, yanaanza rasmi Juni 11, 2026 na kuleta pamoja timu bora za Taifa kutoka duniani kote. Kwa mara ya kwanza katika historia, mashindano haya yanaandaliwa kwa ushirikiano wa nchi tatu: Marekani, Canada, na Mexico. Idadi ya timu...
  16. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Iran wamepost AI video inayoenda kwa jina la One Vengeance for All

    Video inajieleza Inaonesha victims wa USA (Vietnam, Gaza, Japan (Hiroshima), Iran nk) wananchi wake wakiwa wanaangalia juu, yani wanaliangalia bomu likiwa linapaa juu, kisha mwisho wa video unaonesha bomu lenye bendera ya Iran likitua jijini New York City na kulipua Statue of Liberty 🗽 ikiwa na...
  17. upupu255

    JamiiForums Tanzania FALSE An image shows Iran strike on Netanyahu's office

  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mlango bahari wa Hormuz waitesa Iran

    Jeshi la Anga la Israeli lilifanya shambulio sahihi huko Bandar Abbas ambapo Alireza Tangsiri, ambaye alikuwa kamanda wa Jeshi la Wanamaji la IRGC kwa miaka minane iliyopita aliondolewa. Tangsiri alihudumu katika nafasi kadhaa muhimu ndani ya Jeshi la Wanamaji la IRGC, ambapo alisimamia...
  19. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Kumbe ile zawadi ambayo Trump aliisema amepewa na Iran ni huyo kamanda wa jeshi la majini

    Dunia ina mambo. RIP kamanda
  20. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda “There is No Reason to Increase Fuel Prices” – Minister Nankabirwa (VIDEO)

    Uganda’s Minister of Energy and Mineral Development, Ruth Nankabirwa, has issued an update on the country’s fuel prices and supply, discouraging oil marketing companies from making unjustified price increases. In a statement, Hon. Nankabirwa said Oil Marketing Companies (OMCs) have no reason to...
Back
Top Bottom