iran

  1. M

    JamiiForums Tanzania Iran imeishiwa pumzi, Watoto wa shule ya msingi waandikishwa vitani wakianganywa pepo moja kwa moja wakifa

    Vikosi vya usalama vya Iran vinadaiwa kuanza kuajiri watoto wenye umri wa kuanzia miaka 12 ili kusimamia vituo vya ukaguzi (checkpoints) na kufanya majukumu mengine ya kijeshi. Kwa mujibu wa afisa wa kijeshi wa Iran aliyezungumza na televisheni ya taifa: Serikali imeanzisha kampeni ya...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akitoa taarifa kuhusu Iran

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu akiwa Kirya: Pamoja na marafiki zetu wa Marekani, tunaendelea kukiponda kichwa cha utawala wa kigaidi nchini Iran. Katika siku za hivi karibuni, Jeshi la Anga limeharibu 70% ya uwezo wa uzalishaji wa chuma wa Iran. Kwa uratibu kamili kati yangu na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Iran yalipua kiwanda cha kusafisha maji nchini Qatar kinachozalisha asilimia 90 ya maji safi

    Katika shambulio la Iran lililolenga Qatar siku ya Ijumaa shambulio hilo limeharibu sehemu za kiwanda cha umeme na uchujaji wa maji, ========= Kuwait imesema kuwa kituo cha kusafisha maji ya bahari (desalination plant) pamoja na kiwanda cha kusafisha mafuta vimeshambuliwa na Iran huku mataifa...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Iran Imepata Makombora ya Nuclear

    https://youtu.be/BOQwrEfjUR4?si=umaARmt1J63N6ZWo
  5. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Makao makuu ya Mossad yaliyopo Tel Aviv yameharibiwa na mashambulizi ya Iran

  6. Richard

    JamiiForums Tanzania Iran yaweka kibanda cha tozo (Tollbooth) kutoza ushuru kwa meli zitokatiza kwenye mfereji wa Hormuz

    Iran imeweka njia ingine ya kupita meli ziendazo nchi za mbali na kuwapa uwezo IRGC kuziona meli hizo na kutoza ushuru kwa kila meli. Hadi meli kadhaa tiyari zimelipia tozo hiyo ya kupita kwenye mfereji wa Hormuz na kila meli italipa dola milioni 2.4 Picha na AP Ukiangalia katika picha hapo...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Daraja linalounganisha Tehran na Karaj, Iran laangamizwa iran walalama!!

    Baada ya shambulio kwenye daraja linalounganisha Tehran na Karaj, Iran inatishia kushambulia madaraja nchini Israeli, Kuwait, Abu Dhabi, Jordan, na Iraq. Nyoka kichwa kimebondwa anaanza kuwaya-waya ili akate roho!! ============== Airstrike detroys bridge linking Tehran and Karaj Meanwhile...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Tutashambulia Iran vikali zaidi kwa wiki 2 hadi 3 na kuwarudisha zama za mawe wanakostahili kuwa

    Akitoa hutoba yake kuhusu mwenendo wa vita vya Marekani-Israel dhidi ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa nchi yake inakaribia kufanikisha malengo yake makuu ya kimkakati, akionya juu ya uwezekano wa kuongezeka zaidi kwa mzozo. "Tutaishambulia Iran kwa nguvu kubwa sana kwa...
  9. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Marekani inajihujumu yenyewe Sasa Iran inauza mafuta kwa Yuan

    Biden alianza kwa kuizua Russia kutumia Swift payment system ilikua ni sawa na Marekani kuikalia kisu Sasa iv Iran kaikataa Dola kwenye biashara yake ya mafuta anataka Yuan hapo Marekani imekalia Mtarimbo anatapatapa BREAKING: 🇮🇷 🇨🇳 IRAN HAS OFFICIALLY STARTED TO DEMAND YUAN PAYMENTS—Bloomberg...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Dunia sasa imeelewa Iran haruhusiwi kuwa na nguvu kashindwa vita ameamua kuumiza wote tukose Kwa kufunga Harmouz Hadi Tanzania wataumia Us Wanayo yao

    Hadi Leo Marekani Wana jicho la tai la kuona mataifa hatari Kwa Dunia miaka kadhaa Ijayo . Iran ni majawapo ya mataifa hatari ambayo Us ametusaidia kulipungizia nguvu zake zenye Nia mbaya. Kitendo Cha kuanza kushambulia majirani zake wote ambao walikuwa hawajamrushia hata jiwe inaonyesha...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Iran inawasaka askari wa Marekani waliokimbia kambi zao na kujificha mitaani na kwenye mahoteli arabuni kote

    Muungano wa majeshi ya Iran na walinzi wa mapinduzi ya kiislamu wa IRGC,umesema Iran haipigani na nchi yoyote ya kiarabu ambao ni ndugu na majirani zao,bali wanachofanya ni kupiga maslahi ya Marekani pamoja na kupiga kambi zao za kijeshi ambapo hakuna nchi ya kiarabu ambayo haina kambi kama...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Trump Alisema Iran Air Force Kaimaliza Kumbe Alikuwa Kwenye Ndoto

    Jf ujumbe ndio huo. Na kuhusu hawa kina Echolima1 na jina lingine anajiita Mlaleo Sa kichaa mwenzenu atasema nini hapa Iran karibu watanza kushambulia kutumia Fighter Jets https://youtu.be/ImHc0t4N7JM?si=y2YSieqz2zadMYuF Tunawasubiri kwenye vita vya chini pia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Iran wameishiwa mbinu wanataka kulipua makampuni binafsi, ni kama Tanzania ipigane na SA halafu ianze kulipua viwanda vya blueband na Vaseline, Kenya

    Iran imetangaza kuanza kushambulia makampuni binafsi ya raia wa Marekani ambayo yana ofsi ukanda wa mashariki ya kati,kampuni hizi ni kama Microsoft, Google, Nvidia, Tesla, n.k. Wameshindwa kabisa kuangusha hata ndege moja ya f35 na kumkamata rubani kuwe na ushahidi usio na shaka wameona...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran!!

    Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI: -"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni". -"Utawala wa Iran unatarajiwa kuanguka - mapema au baadaye". -"Tuliunda mabadiliko ya kimkakati - Iran ilitaka kutunyonga, leo...
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka

    Wanaukumbi. 🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill Baada ya hapo wataanza kuwalipua. IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania IRGC Yatishia Makampuni makubwa ya Magharibi

    Baada ya viongozi wakuu wa iran kuuwawa kila siku Sasa IRGC-Walinzi wa Mapinduzi ya Iran walitangaza kwamba kuanzia kesho saa 20:00 saa za Tehran, mauaji yoyote zaidi ya afisa mkuu wa Iran yatasababisha kulipiza kisasi dhidi ya orodha ya makampuni makubwa. Taarifa hiyo inataja makampuni ikiwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi kuhusu athari za vita inayoendelea baina ya Marekani, Israel dhidi ya Iran na hali ya mafuta nchini

    Vita baina ya Marekani, Israel dhidi ya Irani ilianza tarehe 28 Februari, 2026. Vita hiyo imeongezeka wigo kutokana na mashambulizi ya Irani kwa nchi za Saudi Arabia, Bahrain na Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) ambazo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta duniani. UTARATIBU WA UAGIZAJI WA MAFUTA...
  18. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Uturuki haitaruhusu Iran igawanywe, tutachukua hatua kali kama tulivyofanya Syria

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, likidai kuwa Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, ametoa kauli kali kuhusu Iran. Chapishi hilo limechapishwa katika ukurasa wa Athumani Seiph Amri ambapo Erdoğan anadaiwa kusema kuwa Uturuki haitaruhusu Iran...
  19. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Marekani yaituhumu Russia kuisaidia Iran kinyemela

    WASHINGTON: Marekani imeshindwa kuvumilia baada kupoteza ndege E-3 AWACS Radar Plane na Refueling Tankers huko Saudi Arabia nakuelekeza tuhuma zake kwa Russia kua inaisaidia Iran kinyemela. BREAKING; US officials warn President PUTIN: Stop Indirect Military Support to IRAN After Loss of E-3...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Urusi hawatupi washirika wake, Yuko Iran na sasa kapeleka mafuta Cuba, kavunja vikwazo vya Trump

    Urusi imevuka kibabe vizuizi na kuvunja vikwazo vya Marekani hatimae Leo meli ya mafuta ghafi ya Urusi imefika Cuba. Marekani kama kawaida yake kwa roho mbaya yake iliiwekea Cuba vikwazo vya mafuta baada ya kuiba mafuta ya Venezuela ambayo ndio ilikua nchi peke inayoiuzia mafuta Cuba...
Back
Top Bottom