britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,165
- 47,867
Rais Trump alisema meli ya mizigo yenye bendera ya Iran iitwayo TOUSKA ilijaribu kupenya vizuizi vya majini vya Marekani na ilikamatwa na meli ya USS Spruance katika Ghuba ya Oman.
Baada ya kukataa amri ya kusimama, meli hiyo ilidhoofishwa na sasa iko chini ya udhibiti kamili wa Marekani, huku wanamaji wa Marine wakiilinda meli hiyo."
Mtu yuko Yombo vituka anachambua vita hii ninyi kuleni urojo kwanza
Britanicca