iran

  1. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Trump: Usiku wa leo tunaenda kuishambulia vibaya sana Iran.

    Trump anaenda kujitia kidole cha macho.
  2. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kabla ya waislamu kuichukua kinguvu uajemi, je waajemi walikuwa ni watu wa dini ipi?

  3. U

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Mashariki ya Kati: Marekani yaishambulia upya Iran, na Iran yajibu mapigo!

    Hali si shwari kabisa huko Mashariki ya Kati, hususan kwenye mvutano kati ya Marekani, Israel, na Iran. Kwa wale ambao wamekuwa wakifuatilia, huenda mnajua kuwa kulikuwa na usitishaji vita (ceasefire) wa muda kuanzia mwezi Aprili, lakini mambo yamebadilika ghafla. Usiku huu, mambo haya...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Iran Yatangaza Maofisa Wake Wawili Kuuawa na Mashambulizi ya Israel

    Juzi Iran iliishambulia Israel ikidai ni kutokana na kitendo cha Israel kuendelea Kuwashambulia Hezbollah huko Lebanon. Baada ya shambulio la Iran nchini Israel, Rais Trump alimsihi Netanyahu asijibu mashambulizi ili mazungumzo ya kumaliza vita yasiharibike. Lakini Israel iliishambulia Iran...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Zimetimu Siku 100

    https://youtu.be/X3fwMLuxl1Y?si=rLRYL_eeUQ-SpxJv
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Tishio la Iran kwa Israel isiipige Hezboullah magaidi hao wanapigika tu!!

    Baada ya Iran kuishambulia Israel usoku kuamkia leo na IDF kujibu mapigo sawasawa Iran imebwaga manyanya kwa kutangaza haitaishambulia tena Israel kama Israel nayo haitawashambulia magaidi hao!! Ombi hilo la Iran limekataliwa kwa vitendo ambavyo Israel imeendelea kuwashambulia Hezbollah ndani...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kundi la Hezbollah ladaiwa kuanza mashambulizi dhidi ya kambi za jeshi la Israel baada ya Iran kusitisha mapigano

    Ripoti mbalimbali za kimataifa zimedai kuwa ndani ya muda mfupi baada ya kusitishwa kwa mapigano kati ya Iran na Israel, kundi la Hezbollah lilianzisha mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi ya Israel, hatua iliyoongeza hofu ya kuendelea kwa mvutano katika eneo la Mashariki ya Kati. Kwa...
  8. Frontnn

    JamiiForums Tanzania Iran just launched ballistic missiles directly at Israel

    FOR THE FIRST TIME IN TWO MONTHS. ISRAEL STRUCK BACK INSIDE IRAN WITHIN HOURS. AND AN IRANIAN OFFICIAL JUST SAID THE PEACE DEAL IS "NO LONGER FEASIBLE." --- Here is exactly what happened today: Israel struck a Hezbollah command center in the Dahieh area of Beirut this morning in response to...
  9. kenny mtanashati

    JamiiForums Tanzania Israel imeanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Iran muda huu

    Israel inaishambulia Iran muda huu kama kujibu mashumbulizi ya iran ambapo, chombo Cha habari cha Israel cha chanel 14 kimeripoti kuwa milipuko ya mabomu imesikika muda huu nchini Iran katika jiji la Tehran
  10. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Israel Wameshambulia Beirut Lebanon, Iran walisema Beirut Ikipigwa Watajibu

    Masaa machache yaliyopita Israel imefanya mashambulizi ya nguvu Beirut Lebanon Iran walisema kuwa endapo Israel watashambulia Beirut basi wao Watajibu kwa kushambulia ndani ya Israel. Iran sasa tunasubiri wajibu maana walibweka sana. Israel Kila siku wanashambulia kusini mwa Lebanon...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Trump asema yuko tayari kukutana ana kwa ana na kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei

    BREAKING: TRUMP ASEMA YUKO TAYARI KUKUTANA ANA KWA ANA NA KIONGOZI MKUU WA IRAN AYATOLLAH KHAMENEI. Rais wa Marekani Donald Trump asema yuko tayari kukutana na Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, huku mazungumzo ya kidiplomasia kati ya Washington na Tehran yakiendelea...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Tishio la Iran lagonga Mwamba IDF yaendelea na kipondo kwa Magaidi wa Hezbollah huko Lebanon

    Tangu mwendo wa saa 10 asubuhi ya leo, Israel ilishambulia Hezbollah kusini mwa Lebanon kama ifuatavyo: ● Mashambulizi ya angani ya ndege za kivita au ndege zisizo na rubani: Al-Mansouri, Deir al-Zahrani, Choukin, Haris, Kafra, Srifa, Kfar Tebnit, Nabatieh al-Fawqa, Tebnine, Jebchit, Doueir...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Leo hii Trump anaomba kukutana na Ayatollah Mojtaba: Kongole Iran

    Raisi Trump amesema anataka kukutana na Ayatollah Mojtaba ili wayamalize😂.. Aise dunia inaenda kasi, kuanzia tumewavuruga, mpaka kuomba kukutana na Mjuba mwenyewe, tutaona mengi sana. Tulimcheka Mrusi anapelekeshwa na Ukraine. Leo hii supa pawa wa wamarekani wa kwa mtogole anaomba poo🤣 Aibu....
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Roman Gofman awa kiongozi mpya wa Mossad!!! Iran wajipange!!

    Roman Gofman anakuwa mkuu mpya wa Mossad; katika sherehe, Netanyahu asema Israeli 'itasaidia' utawala wa Iran kuanguka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu asema utawala wa Iran "umekusudiwa kupita" na anaapa kwamba Israeli itaisaidia kufanya hivyo, huku akizungumza katika sherehe ya kumkaribisha...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ndoto za Mwendawazimu za Iran juu ya Isral!!

    Baada ya Iran kushindwa mbinu zake zote kuifuta israel kwenye uso wa dunia mara kadhaa!! Leo tena kuna Bango jipya la matangazo katika Uwanja wa Palestina mjini Tehran, Iran leo linaipa Israeli miaka mingine 15 ya kuwepo. Siku 5,218 zimesalia. Nina uhakika asimia 100% Iran wataangukia pua tu!!
  16. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuishambulia Israel endapo Beirut itashambuliwa na Israel

    Hawa Iran uthubutu wa kumchimba mkwara Netanyahu wanautoa wapi!? Siku zinakimbia sana aisee!!! Kuna kipindi Israel na Marekani walikuwa wanatafuta sababu ya kumtandika Iran, ila sasa hivi Iran ndio anatafuta sababu ya kumtandika Israel.
  17. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hormz ngoma nzito Rais wa Iran ambiwa na IRGC kaa pembeni..

  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Oman Kushambuliwa na Marekani

    https://youtu.be/9yP5oYnlva4?si=MbMw5u4P2bino_W7
  19. S

    JamiiForums Tanzania Iran ilishambulia vikali na kuharibu mali na kambi za Marekani picha za satellite zaonyesha

    Mashambulizi ya Iran dhidi ya kambi za jeshi la marekani mashariki ya kati yameharibu vifaa na miundo mbinu 228 kwa mujibu wa picha za satellite zilizoachiwa.Idadi ya uharibifu ni mkubwa mno tofauti na ripoti zilizotolewa na makao makuu ya jeshi Centcom. Wiki ya kwanza ya vita inaonyesha kambi...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Imekuwaje Israel Imefunikwa?

    https://youtu.be/IdS3eoAdqhU?si=drTe0Dyah_0mscBF
Back
Top Bottom