iran

  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump aagiza boat za Iran zilizoko Mlango bahari wa Hormuz zizamishwe!!

    Baada ya boat za Iran kuonekana zinateka meli na zingine kuonekana kutega mabomu kwenye Mlango bahari wa Hormuz, Rais wa Marekani Donald Trump ameliagiza jeshi la majini na la anga kuzizamisha boat zote zinazofanya uhalifu kwenye mlango bahari wa Hormuz!!
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel dhidi ya Iran

    Iran dhidi ya Israel kabla hujasoma maelezo angalia ramani uone ukubwa wa Iran then ulinganishe na nchi Takatifu ya Israel!! Mnamo 1976, Pato la Taifa la Iran lilikuwa dola bilioni 76 na la Israeli lilikuwa dola bilioni 16 — uchumi wa Iran ulikuwa karibu mara 5 zaidi. Mnamo 2026, Pato la Taifa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Donald Trump baada ya kuona Iran hawawezekani akataka kutumia silaha za nyukilia

    Silaha za nyukilia zilitengenezwa kwa ajili ya kutumika TU,pale nchi itakapokua imezidiwa na baada ya kutumia silaha nyingine zote lakini kushindwa kumshinda adui. Inasemekana Trump alitaka kutumia nyukilia katika vita yake na Iran Generali Dan Caine akamkatalia je hii inaashiria kua Marekani...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwana mfalme wa Iran aliye uhamishoni, Reza Pahlavi, amwagiwa majimaji mekundu mjini Berlin

    Mwana mfalme wa Iran aliye uhamishoni, Reza Pahlavi, amemwagiwa majimaji mekundu Alhamisi wakati akitoka kwenye jengo moja mjini Berlin. Pahlavi alikuwa ndiyo kwanza ametoka kwenye mkutano na waandishi wa habari, ambapo alikosoa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran, wakati...
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Sakata la Iran Wazinzi sasa wataumwa sana UTI

    Vita vya Iran vyachangia kupanda kwa bei ya kondomu Kampuni ya Carix, mojawapo ya kampuni kubwa ambazo hutengeneza mipira ya kondomu, imetangaza kuwa itaongeza bei ya bidhaa hizo kwa 30% au zaidi iwapo vita vitaendelea nchini Iran. Kampuni hiyo iliopo nchini Malaysia, imesema vita...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Iran imemnyonga Mwanaume aliyechoma msikiti

    Iran imemnyonga mwanamume aliyekuwa akituhumiwa kuwa kiongozi wa mtandao unaohusishwa na idara ya ujasusi ya Israel na pia kushiriki katika kuchoma moto msikiti jijini Tehran wakati wa maandamano ya mwezi Januari, kwa mujibu wa chombo cha habari cha mahakama kiitwacho Mizan News Agency. Mizan...
  7. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei. Vyombo vya habari vya Iran viliripoti mashambulizi katika maeneo mbalimbali nchini humo, huku moshi...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Ucha Mungu na ustaarabu

    https://youtu.be/xY9IEEN2K6Y
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuilemaza, Marekani yazuia Meli ya Iran

  10. britanicca

    JamiiForums Tanzania Graham Aitaka Udhibiti Kamili wa Hormuz, Akataa Mkataba Wowote na Iran

    Seneta Lindsey Graham alisifu vizuizi hivyo kwa kuidhoofisha uchumi wa Iran na akataja mashambulizi ya IRGC dhidi ya meli kuwa ishara ya kukata tamaa. Alimtaka Rais Trump achukue udhibiti wa Mlango-Bahari wa Hormuz na kuendeleza vizuizi hivyo, huku akikataa mkataba wowote unaoruhusu Iran...
  11. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Iran viongozi wameuliwa, miundombinu imelipuliwa na kupata hasara ya 700Trilion, ila hawajasusia maridhiano na US. CHADEMA tusigomee maridhiano

    Mimi ni Chadema pure kabisa, katika watu top 5 waliohamasisha MO29, hapa jamii forum na Mimi nimo. Nimekaa nkatafakari je tutasongaje bila kukaa meza moja?? je tukisusia maridhiano ajenda zetu tutazipataje? Mbona Raila aliridhiana na Kibaki Akaridhiana na Kenyatta,the same to Ruto. Je Raila...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Msala wetu na Iran bado haujaisha-Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu!!

    Jitihada za Marekani na Israeli dhidi ya Iran "hazijaisha bado," anasema Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu katika hotuba yake pamoja na Rais wa Argentina Javier Milei. "Wakati wowote unaweza kutuletea maendeleo mapya," anasema Netanyahu. "Nani anajua kesho au keshokutwa italeta nini." Netanyahu...
  13. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Iran war, the most powerful business empire in the world was built under sanctions

    IRAN WAR - THE MOST POWERFUL BUSINESS EMPIRE IN THE WORLD WAS BUILT UNDER SANCTIONS (You'll love reading this, don't miss it.) In 1979, a revolution happened in Iran. The new government needed a military force it could trust completely. Not the existing army, those soldiers had sworn loyalty...
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania Trump: Iran Imevunja masharti ya Vita kwa Shambulio Hormuz, Yaonya Kuhusu Kuongezeka kwa Mapigano

    Rais Donald Trump amesema hatua za Iran katika Mlango-Bahari wa Hormuz ni 'ukiukaji kamili' wa usitishaji vita, akiongeza kuwa wajumbe wa Marekani wanaelekea Pakistan kwa mazungumzo na kuonya kwamba ikiwa Iran itakataa makubaliano, Marekani itaongeza mashambulizi kwenye miundombinu muhimu."...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Vita Vipya Mbele? Ishara Zaonyesha Kuongezeka Kwa Mapigano, IRAN WALALAMIKA

    Ndege ya Wing of Zion iliondoka Nevatim, na kuzua uvumi wa mapigano mapya. Ripoti za Iran zinadai Tehran imepokea taarifa za kijasusi kuhusu shambulio la kushtukiza la Marekani na Israel baada ya Siku ya Uhuru. Rais wa Iran asema nchi hiyo haitaachana na haki zake za nyuklia licha ya shinikizo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania NIULIZE SWALI: Hii vita ya USA, Israel vs Iran, nani mshindi?

    Mbabe ni nani? Naona kama vile Iran anawapelekesha puta hawa magwiji wa kila kitu duniani! WHO IS THE WINNER Echolima1
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Iran kuanza ishambulia Marekani hasa katika majiji yake ya New York na Las Vegas?

    Naona haijaanza kutumia yale makombora yake ya masafa marefu mpaka sasa. Inasubiri nini? Marekani imeharibu sana Iran. Iran ya sasa inatembea kwa magongo, inachechemea. Siyo Iran ya miezi 10 iliyopita. Mambo yameharibika sana kijeshi. Sasa nawaza je huu si wakati muafaka wa kuishambulia...
  18. britanicca

    JamiiForums Tanzania Iran wanaweza juta kwa hili maana mapato yao yanategemea meli kutoka na kuingia kupitia hormuz, Marekani wataufunga tena

    kuna ripoti mpya leo kuhusu matukio ya risasi katika Mlango-Bahari wa Hormuz yakihusisha meli za kibiashara. kinachoripotiwa – Aprili 18, 2026: 1. Risasi zilizopigwa kwenye meli ya mafuta karibu na Oman Shirika la UK Maritime Trade Operations (UKMTO) lilisema meli ya mafuta ilikaribiwa maili...
  19. 5

    JamiiForums Tanzania BBC: Meli zashambuliwa Hormuz, nyengine zageuza baada ya onyo la Iran

    Inaonekana US hawako tayari kwa maridhiano, mlango ulifunguliwa rasmi lakin US wakaendelea kupaki meli zao huko bahari kuu sasa umefungwa tena rasmi.
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran Yamkemea Trump Vikali

    Wanaukumbi. 🇮🇷 IRAN IMEMKEMEA TRUMP KWA UKALI "Tangu vita hivi vianze, dunia imezama katika uvumi na kauli za kipuuzi. Viongozi huzungumza kwa uhuru, wengine kwa ukweli, wengine bila. Tuweke sawa hili, uranium ya Iran ni mali ya Iran. Ni jukumu letu, nishati yetu, haki yetu ya uhuru. Sababu...
Back
Top Bottom