Vita vya hivi karibuni vitakuwa 'shida moja kubwa' ikiwa uranium iliyosafishwa ya Iran haitaondolewa kwenye mikono ya magaidi hao— afisa wa IDF alisema.
Afisa wa jeshi la Israeli anasema kwamba ikiwa akiba ya zaidi ya kilo 400 za uranium iliyosafishwa hadi 60% haitaondolewa kutoka Jamhuri ya...
Shirika la habari la serikali IRNA latangaza jana kwamba Iran ilituma pendekezo lake la hivi karibuni la mazungumzo na Marekani kupitia wapatanishi wa Pakistani.
Hii inakuja baaba ya mzingiro wa mlango bahari wa Hormuz kuanza kuumiza uchumi wa Iran!!
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegsett ametangaza katika mkutano na wajumbe wa Congress kwamba kujenga upya hifadhi za silaha za Marekani, ambazo zimepungua kufuatia vita na Iran na migogoro mingine ya kijeshi katika miaka ya hivi karibuni, inaweza kuchukua "miezi hadi miaka," kulingana na...
Habari mbaya kwa mashabiki wa Magaidi duniani kote hasa kwa Waarabu-Koko wa Bonyokwa akiwema zitto junior na Mzee wa UHARO Ritz.
Licha ya vita na Iran vilivyoanza Februari 2026 na mgogoro unaoendelea tangu Oktoba 2023, uchumi wa Israeli na masoko ya fedha yanastawi na kuonyesha ustahimilivu wa...
Mnamo FEBRUARI 28,2026 Mzee wetu mwenye hekima Ayatollah Ali Khamenei akiwa na umri wa miaka 86 tayari akiwa ameshiba siku akisubiri muda wake kwa amri ya Mungu wake aliuawa.
Uamuzi wa kumuua katika umri huo haukuwa ushujaa bali ni ukatili na aibu kubwa kwa majeshi yenye nguvu kama...
Wanaukumbi.
⚡️Germany's Merz on Iran:
The U.S. and Israel assumed at the very beginning that this problem could be solved within a few days.
But today we must acknowledge: it has not been solved.
That is why we, from the European side, are also seeking a diplomatic solution.
I hope that we...
Leo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alikutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin huko St. Petersburg kujadili kuongeza uratibu kati ya nchi hizo mbili, kwani mataifa yote mawili sasa yamepeana ndege zisizo na rubani, hasa ndege zisizo na rubani za Shahed-pattern, na ujasusi katika...
Taifa zima la marekani limedhalilishwa na uongozi wa Iran tena haswa hao wanaoitwa Irgcc.:-Chancellor Merz
-Wa Iran wananguvu ambayo haikutarajiwa na waMarekani hawana mipango ya kweli ya kushawishi hata kwenye negotiations.
-Kwahali ya sasa sioni marekani kama wana mipango au maono ya...
Wanaukumbi.
🇮🇷🇺🇸 Iran yakataa kuruhusu usafirishaji wa bure katika Mlango wa Hormuz, EVER
Naibu Spika wa Bunge la Iran:
"Hatutarudisha Mlango wa Hormuz katika hali yake ya awali kwa hali yoyote ile kwa sababu huu ndio uamuzi wa Kiongozi wa Mapinduzi."
Chanzo: Habari za Tasnim
===============...
Heshima sana wanajamvi.
Si kawaida yangu kuchangia jukwaa hili lakini leo imenibidi nishiriki japo kwa uchache.
Iran ya Ayatollah ya mwaka 1979 hadi mwaka 2025 imeharibiwa vibaya mno.
Iran iliyoweza kumudu kuishi na vikwazo kwa muda mrefu sana kiasi miaka 47 sasa imefikia tamati.
Vita ya Iran...
Salaam,
Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko Dubai kwa gia ya kwamba wanawafuata Watanzania Wasidhuriwe na Mabomu ya Iran.
Kama alitoa ndege...
Kwa hali ya sasa ya vita kati ya Iran na Israel (na pia kuhusisha Marekani), ukweli ni huu:
1. Iran ndiyo imeathirika zaidi (kwa kiwango kikubwa)
Vifo na majeruhi ni wengi zaidi Iran
Miundombinu muhimu (kama mafuta, gesi, na kijeshi) imeharibiwa vibaya
Uchumi umeanguka:
Sarafu kushuka
Ajira...
Iran hoiiiiiiiii..... Ritz alikuwa anakuja na vinyuzi vyake uchwara... Mara imepandisha bendeera nyekundu, mara imesema itaifuta Israel. Israel bado ipo mpaka leo na inaendelea kusambaza kichapo kwa magaidi wa Kipalestina.
Iran haijatimiza ahadi yake... Imejichokea kiasi Rais anaomba wananchi...
‼️ MPYA:
Trump afuta mazungumzo yaliyopangwa ya Islamabad na Iran, akisema muda unapotea safarini na kutaja "machafuko makubwa ya ndani" ndani ya uongozi wa Iran.
"Ikiwa wanataka kuzungumza, wanachotakiwa kufanya ni kupiga simu."
"Tuna kadi zote, hawana hata moja!"
Endelea kuwasiliana...
Wanaukumbi.
Chombo cha habari cha Iran Tasnim kinaripoti kwamba Iran haijawahi kuomba mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani, ikipinga moja kwa moja madai yaliyotolewa na katibu wa habari wa Ikulu ya White House Karoline Leavitt. Kulingana na ripoti kutoka kwa chombo hicho cha habari...
Kuna taarifa zinasikika kuhusu Iran kwamba wamewapa muda marekani kuondoka hapo walipoweka wao kizuizi la sivyo wataamua kujenga ukuta wa zege kabisa ili iwe kazi kubwa kuufungua hata kama majadiliano yataisha kwa amani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.