ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya ushauri field ipi ni nzuri?

    Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi 1. Software developer 2. Database administator 3.Network engineering 4.security analyst 5. Programing Yeyote yule anaweza nisaidia ushauri
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya ushauri wa field ya kufanya

    Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi. 1. Software developer 2. Database administator 3. Network engineering 4. Security analyst 5. Programing Yeyote yule anaweza nisaidia ushauri.
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo maana ya kustaafu?

    Mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha Jenerali Mkunda kasema Jenerali Mstaafu Mabeyo ataendelea kumteua ktk majukumu mengine, na akasema leo hii Katibu Mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine. Je, ipi maana ya kustaafu ?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je ni course ipi asome

    Kuna dogo mmoja amehitimu diploma ya laboratory technology pale DIT, je anaweza kusomea degree ya medical laboratory? au ni course ipi nzuri anaweza kusomea?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Battery ipi ni nzuri kwa N60 ya IST

    Wadau napenda kujua battery nzuri ya gari. Nilinunua TOP POWER hata miezi 7 haijafika inazingua mara asbh igome kuwasha gari. Msaada kwenye tuta
  6. JamiiForums Tanzania Awamu ipi ilianzisha kuwalipa Wabunge kwa kuja Bungeni?

    Ningependa tu kufahamu kama kuna mwenye kuelewa, ni Rais yupi alianzisha huu mtindo wa kumlipa Mbunge kwa kuja kwenye kikao cha Bunge laki 3/siku sijui wanapata. Je, ni tangia Nyerere, Mwinyi, Mkapa au Kikwete ?
  7. JamiiForums Tanzania Ni benki ipi bora kwa ajili ya savings (yenye makato madogo na urahisi wa upatikanaji n.k) hapa nchini?

    Habari wana JF, Natumai wazima ndugu zangu nimekuja kuomba ushauri kuhusu bank gan hapa nchini yenye makato nafuu kwa mwezi, na pia wakati wa utoaji, na ipi yenye huduma bora sana, na yenye internet banking bora. Pia yenye urahis wa kupatikana namaanisha ATM's nyingi. Na je what if mtu akitaka...
  8. JamiiForums Tanzania Napenda kujua app ipi nzuri ya kudowload video hatamkama mtandao uko weak!

    Waungwana hebu mnijuze app ya kudowload video youtube kwenye pc hatakama mtandao uliosetiwa hauna nguvu....
  9. JamiiForums Tanzania Ni ipi mantiki ya kulala huku radio inapigamziki

    Najua wapi huweka mziki kwa muda ili wakifanya yao, kama ni yumba za kupanga watu wasisikie, ila je wale mtu usiku mzima sabufa linalia tuuuuu, kwamba wanasikiliza mziki huku umelala? Au ni matumizi mabaya tu ya nishati?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yakutana na Mabalozi na Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro

    Serikali ya JMT leo imekutana na Mabalozi na wakuu wa Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro Serikali ikiongozwa na Waziri Mulamula, waziri Ndumbaro na Naibu waziri Masanja Masanja amesema mifugo ya nchi Jirani ndio Ilikuwa inaletwa Ngorongoro kwa ajili ya kunenepeshwa...
  11. JamiiForums Tanzania Pressure Cooker ipi ninunue?

    Mambo. Nimekutana na haya mawili Von na Kodtec pressure cookers. Kwa budget ya chini ya Tsh 200,000/= nichukue lipi? Au kuna suggestion nyingine?
  12. JamiiForums Tanzania Maajabu! Je, namna iliyo rahisi kukutanisha vidole kwako ni ipi? Kushoto/kulia?

    Maajabu ya Mungu kaumba watu wa jinsi/namna mbalimbali! Fanya tuone. UTAFITI: Kuna ambao wapo confortable kidole gumba cha kulia kikiwa juu, na wako ambao kile cha kushoto kikiwa juu ndio sahihi zaidi kwao. Fanya zoezi pichani kisha niambie je ni kushoto ama kulia?
  13. JamiiForums Tanzania Ni sehemu ipi NAIROBI wanaishi watanzania wengi?

    Habari wakuu? Naomba kujuzwa kuwa ni sehemu ipi Nairobi Kenya wanakoishi/wanakofanya biashara Watanzania wengi? Kama ukitaja na majina ya labda maduka/hoteli/baa/Club zinazomilikiwa na watanzania itasaidia pia. Natanguliza shukurani
  14. JamiiForums Tanzania Ipi imekaa njema oppo a16 na Redmi 10c

    Simu tajwa hapo juu zimenivutia maana naona kama zina spec sawa ila zinaachana padogo dogo Redmi nimeipendea camera 50mp oppo 16 Oppo tena nimeipendea yeye ana finger sensor ya pembeni Redmi nyuma... Nichambulieni ipi itakuwa zaidi ya mwenzake
  15. JamiiForums Tanzania Nimesoma HGE nisome Degree gani?

    Nimesoma HGE kozi gani inanifaa pale SUA au ARDHI
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji kusoma Kati ya SUA na Ardhi, kozi gani inanifaa?

    Jamani Nina nimemaliza A-level kombi HGE na kupata  gs-E history-D geo-C economy-D Nahitaji kusoma Kati ya SUA na ARDHI naomba ushauri kozi gani inanifaa
  17. JamiiForums Tanzania Ipi mipaka ya Mkuu wa Wilaya huyu kwanini ana vitisho?

    Nimepita mahala ktk wilaya fulani nimeisahau jina ila katika mkoa wa njombe mkuu wa wilaya anahutubia,na mkutano huo umeitishwa ghafla tu ktk siku ya leo ambayo inasemekana ya mazingira duniani. Wamepita wagambo kuwambia wafanyabiashara kuanzia wakubwa hadi wadogo wafunge waje kumsikiliza...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Scorpion anamuua Raiden kwenye motokombati ipi?

    Maskini Raiden (Mungu wa mvua) anapigwa mbaya na Scorpion mpala anakufa sijui ni motokombati ipi ile. Raiden huwa sio mtu wa kupigana yeye anatoaga onyo kumbe mikwara tu kakutana na Scorpio kabondwa kiseng..e
  19. JamiiForums Tanzania Ipi ni simu yako ya kwanza kumiliki?

    Mimi binafsi nilianza kumiliki Siemens C25
  20. JamiiForums Tanzania Kati ya Misri na Ghana, ipi ilikuwa nchi ya kwanza Africa kupata uhuru?

    Shuleni tumefundishwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru ni Ghana, mwaka 1957. Lakini Egypt ilipata Uhuru wake mwaka1952. Ikiondoa waingereza na mfalme. Sasa imekaaje tukasema Ghana ndiyo ya kwanza kupata uhuru?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…