ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. Rangooo

    Ni benki ipi bora kwa ajili ya savings (yenye makato madogo na urahisi wa upatikanaji n.k) hapa nchini?

    Habari wana JF, Natumai wazima ndugu zangu nimekuja kuomba ushauri kuhusu bank gan hapa nchini yenye makato nafuu kwa mwezi, na pia wakati wa utoaji, na ipi yenye huduma bora sana, na yenye internet banking bora. Pia yenye urahis wa kupatikana namaanisha ATM's nyingi. Na je what if mtu akitaka...
  2. Action and Reaction

    Napenda kujua app ipi nzuri ya kudowload video hatamkama mtandao uko weak!

    Waungwana hebu mnijuze app ya kudowload video youtube kwenye pc hatakama mtandao uliosetiwa hauna nguvu....
  3. sanalii

    Ni ipi mantiki ya kulala huku radio inapigamziki

    Najua wapi huweka mziki kwa muda ili wakifanya yao, kama ni yumba za kupanga watu wasisikie, ila je wale mtu usiku mzima sabufa linalia tuuuuu, kwamba wanasikiliza mziki huku umelala? Au ni matumizi mabaya tu ya nishati?
  4. J

    Serikali yakutana na Mabalozi na Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro

    Serikali ya JMT leo imekutana na Mabalozi na wakuu wa Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro Serikali ikiongozwa na Waziri Mulamula, waziri Ndumbaro na Naibu waziri Masanja Masanja amesema mifugo ya nchi Jirani ndio Ilikuwa inaletwa Ngorongoro kwa ajili ya kunenepeshwa...
  5. Mad Max

    Pressure Cooker ipi ninunue?

    Mambo. Nimekutana na haya mawili Von na Kodtec pressure cookers. Kwa budget ya chini ya Tsh 200,000/= nichukue lipi? Au kuna suggestion nyingine?
  6. Uhakika Bro

    Maajabu! Je, namna iliyo rahisi kukutanisha vidole kwako ni ipi? Kushoto/kulia?

    Maajabu ya Mungu kaumba watu wa jinsi/namna mbalimbali! Fanya tuone. UTAFITI: Kuna ambao wapo confortable kidole gumba cha kulia kikiwa juu, na wako ambao kile cha kushoto kikiwa juu ndio sahihi zaidi kwao. Fanya zoezi pichani kisha niambie je ni kushoto ama kulia?
  7. Bata Boy Official

    Ni sehemu ipi NAIROBI wanaishi watanzania wengi?

    Habari wakuu? Naomba kujuzwa kuwa ni sehemu ipi Nairobi Kenya wanakoishi/wanakofanya biashara Watanzania wengi? Kama ukitaja na majina ya labda maduka/hoteli/baa/Club zinazomilikiwa na watanzania itasaidia pia. Natanguliza shukurani
  8. Ok9

    Ipi imekaa njema oppo a16 na Redmi 10c

    Simu tajwa hapo juu zimenivutia maana naona kama zina spec sawa ila zinaachana padogo dogo Redmi nimeipendea camera 50mp oppo 16 Oppo tena nimeipendea yeye ana finger sensor ya pembeni Redmi nyuma... Nichambulieni ipi itakuwa zaidi ya mwenzake
  9. Edgar 8900

    Nimesoma HGE nisome Degree gani?

    Nimesoma HGE kozi gani inanifaa pale SUA au ARDHI
  10. Edgar 8900

    Nahitaji kusoma Kati ya SUA na Ardhi, kozi gani inanifaa?

    Jamani Nina nimemaliza A-level kombi HGE na kupata  gs-E history-D geo-C economy-D Nahitaji kusoma Kati ya SUA na ARDHI naomba ushauri kozi gani inanifaa
  11. Michael mbano

    Ipi mipaka ya Mkuu wa Wilaya huyu kwanini ana vitisho?

    Nimepita mahala ktk wilaya fulani nimeisahau jina ila katika mkoa wa njombe mkuu wa wilaya anahutubia,na mkutano huo umeitishwa ghafla tu ktk siku ya leo ambayo inasemekana ya mazingira duniani. Wamepita wagambo kuwambia wafanyabiashara kuanzia wakubwa hadi wadogo wafunge waje kumsikiliza...
  12. S

    Scorpion anamuua Raiden kwenye motokombati ipi?

    Maskini Raiden (Mungu wa mvua) anapigwa mbaya na Scorpion mpala anakufa sijui ni motokombati ipi ile. Raiden huwa sio mtu wa kupigana yeye anatoaga onyo kumbe mikwara tu kakutana na Scorpio kabondwa kiseng..e
  13. Poker

    Ipi ni simu yako ya kwanza kumiliki?

    Mimi binafsi nilianza kumiliki Siemens C25
  14. Lycaon pictus

    Kati ya Misri na Ghana, ipi ilikuwa nchi ya kwanza Africa kupata uhuru?

    Shuleni tumefundishwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru ni Ghana, mwaka 1957. Lakini Egypt ilipata Uhuru wake mwaka1952. Ikiondoa waingereza na mfalme. Sasa imekaaje tukasema Ghana ndiyo ya kwanza kupata uhuru?
  15. Sauda

    Msaada: Ipi nzuri kati ya ky jelly na kly jelly?

    Eti hivi kuna tofauti ipi kati ya vilainishi hivi, Ky Jelly na Kly jelly. Sina uzoefu navyo msaada jamani na ipi nzuri maana hata majina hayafanani, moja ni ky, nyingine kly
  16. mbuyake

    Aende kozi ipi kati ya Lab Assistance ya VETA au Health Information Technolog ya NACTE

    Ndugu wana jukwa kuna dogo kapata 4 ya 26 ana c ya bios na chemia c alafu nyingine D6 na mathf sasa anapenda kujiunga na kozi moja wapo hapo juu yana lab assistance veta au health information technolog chuo furan dar je ipi ina fursa ya kujiajiri kati ya hizo?
  17. mugah di matheo

    Ipi ni thamani halisi ya mbususu?

    Habari za muda huu JF Leo mwenzenu nimekuja na swali, je ipi ni thamani halisi ya mbususu? Ipo hivi Dereva bodaboda ataila Mbususu ya mariamu kwa kuwa Mariam anataka offer ya hizo buku buku za Bodaboda akiwa anaenda kwenye kazi yake pale halimashauri. Akifika ndani kazini kwake atataka...
  18. Lycaon pictus

    Hivi vifurushi ni ofa tu. Bei ya internet Tz kwa kutumia salio ni ipi?

    Eti wakuu, ukitumia internet bila kununua kifurushi rate yake kwa wastani ikoje?
  19. K

    Agenda kuu ya uchumi ya Rais Samia ni ipi? Royal Tour?

    Enzi za Kikwete mlituambia uchumi wa gesi!! Magufuli mkatuambia wa viwanda. Hussein Mwinyi kule Zanzibar tunaambiwa wa uchumi BULUU. Huyu Mama yenu yeye agenda kuu ya kiuchumi ni ipi?!! Royal Tour?!! Nchi ndogo kama Rwanda inatangaza utalii kwenye ligi kuu ya England kupitia team ya Arsenal...
Back
Top Bottom