Ni ipi mantiki ya kulala huku radio inapigamziki

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,092
Najua wapi huweka mziki kwa muda ili wakifanya yao, kama ni yumba za kupanga watu wasisikie, ila je wale mtu usiku mzima sabufa linalia tuuuuu, kwamba wanasikiliza mziki huku umelala? Au ni matumizi mabaya tu ya nishati?
 
Huu ujinga niliwahi kuwa nao. Ila nilikuwa nafungulia Preise Power Radio kwa ajili ya nyimbo za kumsifu Mungu. Tangu nimehama dsm miaka kama 12 iliyopita nikajikuta nimeacha.
 
Radio anunue yeye ww umpangie matumizi ata akiiacha asubui imawaka akaenda kazin jion akatudi pia ni sawa
 
Sisi.uku kwetu kama Redio haipigi mziki mpaka watapiga kelele mpaka asubuhi
 
Kiusalama sio tabia nzuri kuna jamaa wezi walimvunjia wakaiba Tv,Radio navitu kibao .anaamka seble nyeupe majiran wakamuabia ww labda hukuwepo ndani yani iweje wavunje nawachukue vitu vyote hivyo naww hata usisikie.ndoakasema alilala nakaredio kanalia .ko jamaa wakasepa na sabufa yy kabaki nakaredio kadogo hivi vyakuchaji
 
Hii siyo sababu haina maana kabisa, wangapi wanaibiwa wakiwa wamezima, na kuibiana ovyo ovyo inategemeana unaishi wapi.
Mimi nikilala peke yangu, Siwezi pata usingizi haraka kama sisikilizi mziki. Ila msikilizaji unachotakiwa weka sauti ambayo haitaenda kumsikilizisha mtu mwingine.
Kuna watu hufungulia mziki mpaka mwisho, akizani wimbo mzuri anao sikiliza kila mtu unamuingia, kumbe mwenzie ni kero.
 
Back
Top Bottom