Scorpion anamuua Raiden kwenye motokombati ipi?

Shinnok

JF-Expert Member
Sep 26, 2019
236
562
Maskini Raiden (Mungu wa mvua) anapigwa mbaya na Scorpion mpala anakufa sijui ni motokombati ipi ile.

Raiden huwa sio mtu wa kupigana yeye anatoaga onyo kumbe mikwara tu kakutana na Scorpio kabondwa kiseng..e
 
Mhmh
 
mi namkubali sub zero. kwenye hii movie ya mwisho hatari. jamaa kila mtu anamuogopa
 
Sema haieleweki maana tushazoea scorpion yupo upande wa maadui au wote scorpion na sub zero kuwa maadui na yule mtt wa scorpion sijawahi muona hata kwenye games.
Ila all in all sub zero aligonga mkono maboya kinoma
 
Jax hana hamu naye
 
Maskini Raiden (Mungu wa mvua) anapigwa mbaya na Scorpion mpala anakufa sijui ni motokombati ipi ile.

Raiden huwa sio mtu wa kupigana yeye anatoaga onyo kumbe mikwara tu kakutana na Scorpio kabondwa kiseng..e

Hivi mvua na radi sawa Raiden Lord of Rain Jeez
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom