Kylen stone
Member
- Apr 10, 2022
- 5
- 4
Naombeni msaada nataka mnisaidie kuchambua kati ya Mechanical na electrical engineering ngazi ya diploma kwa sasa ipi inalipa? Na urahisi wa kupata ajira??
Diploma we soma yoyote tu ukienda degree ndio utajiuliza hili swali!Naombeni msaada nataka mnisaidie kuchambua kati ya Mechanical na electrical engineering ngazi ya diploma kwa sasa ipi inalipa? Na urahisi wa kupata ajira??
Soma umeme wa magari au majengo mwanangu ajira njenje kwenye mradi wa SGR bila hata Connection.Mechanical ina uwanja mpana sana, imetanuka kila sector
Aisee..!!Soma umeme wa magari au majengo mwanangu ajira njenje kwenye mradi wa SGR bila hata Connection.
kipindi naanza chuo niliuliza swali kama la mtoa mada na nilijibiwa vizuri tu lakini ukubwa dawa sasa nimejionea mwenyewe.Electrical Engineer yuko wide zaidi.
Ila maisha bahati, hatupaswi kukariri.
Kuna watu wana diploma tu, tena ya ualimu ila wanalipwa mipesa mingi na wanaitwa mabosi kazini
Dunia ya Leo Ni umeme,nakushauri somea electrical
Soma Electrical au mechatronics ila sio mechanical coz ilikuwa ya kitambo siku hizi ajira zinaenda zinapungua.
We takwimu zako unatoa wapi, Mechanical ni mtu anaeweza kufanya kazi sekta zote, kuanzia benki mpaka hospital, afu unasemaje ajira zinapungua. After all kozi zote zinalipa ndio maana zinafundishwa.Soma Electrical au mechatronics ila sio mechanical coz ilikuwa ya kitambo siku hizi ajira zinaenda zinapungua.