Ipi inakukwaza na ipi inakukosha?

Ipi inakukwaza na ipi inakukosha?

Sheffer95

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2020
Posts
277
Reaction score
786
Tanzania ni nchi ambayo tuna lugha 2 rasmi za kiserikali zinazotutambulisha
Je katika mazungumzo na watu wa Rika mbalimbali ni kauli ipi mtu akikwambia unaona ina heshima au inaonyesha dharau kwako
1. Kati ya Samahani na Sorry
Pale mtu anapokukosea
2. Good morning na Habari za asubuhi
Akiwa anakusalimu

3. Excuse me na tafadhali
Pale mtu anapotaka kukuomba jambo

4. Hey na Habari
Na nyinginezo
 
Sorry siipendi kwakweli

Goodmorning naipenda nikisalimiwa na mwanaume wangu tu😂😂....kwa wengine siipendi

Siipendi tafadhali

Habari naipenda..sababu hata Mimi mwanzo wa mazungumzo na mtu huanza na "habari"...
 
😁😁😁😁
Wanawake huwa mnasema excuse me kwa dharau sana
 
Kuna mawili
Nikiwa naomba msamaha lazima nasema am sorry
Nimekukanyaga sorry!

nakusalimia asbh ni morning
Baba naita PAPA

Mengine siyajui
 
Tanzania ni nchi ambayo tuna lugha 2 rasmi za kiserikali zinazotutambulisha
Je katika mazungumzo na watu wa Rika mbalimbali ni kauli ipi mtu akikwambia unaona ina heshima au inaonyesha dharau kwako
1. Kati ya Samahani na Sorry
Pale mtu anapokukosea
2. Good morning na Habari za asubuhi
Akiwa anakusalimu

3. Excuse me na tafadhali
Pale mtu anapotaka kukuomba jambo

4. Hey na Habari
Na nyinginezo
Napenda salama ya :"hey"maana unifanya nijione kijana (note ni mentality yangu) , habari ni kunizeesha.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Mimi napenda zaidi maneno ya kiswahili kuliko hayo ya kiingereza...japo ukiniambia "sorry", "excuse me" sitachukia sana, ila "Hey" kwangu ni dalili ya dharau afadhali useme "hello" na sipendi "Good Morning" kama anaenisalimia hivyo ni Mtanzania na mswahili mwenzangu...wala sitamjibu!
 
Back
Top Bottom