Tenda ya kununua vishkwambi ilishinda kampuni ipi, ushindani ulizingatiwa? Vipi kuhusu bei ya kishkwambi kimoja?

Ngojea kwanza tumalize Kugawana Chenji ili tununue Magari ya Kifahari na tukamalizie Mijengo yetu Mbweni tutakujibu.

Bei ya Kishkwambi Kimoja kwa mujibu wa Afisa Mmoja wa Sensa na Takwimu ni Shilingi Laki Tatu ( Tsh 300,000/= ) tu japo kwa Insiders wengine wanasema Bi. Chifu Tozo Kadanganywa kuwa kila Kimoja kimenunuliwa Shilingi Laki Tisa ( 900,000/= ) na Maisha yanaendelea.
Ni kampuni gani zile kwanza zinaonekana ni low end

Kwa kijijini nasikia walinunua na powerbank pia

Powerbank nzuri si chini ya 60k yenye uwezo hadi laki kwa hapa bongo
 
Ngojea kwanza tumalize Kugawana Chenji ili tununue Magari ya Kifahari na tukamalizie Mijengo yetu Mbweni tutakujibu.

Bei ya Kishkwambi Kimoja kwa mujibu wa Afisa Mmoja wa Sensa na Takwimu ni Shilingi Laki Tatu ( Tsh 300,000/= ) tu japo kwa Insiders wengine wanasema Bi. Chifu Tozo Kadanganywa kuwa kila Kimoja kimenunuliwa Shilingi Laki Tisa ( 900,000/= ) na Maisha yanaendelea.
Manina laki 9..? Mzigo laki mbili na 65 ingia alibaba kwa hizo specification zake... tena oda kuanzia 30..sasa kwa hao walioagiza laki mbili bei inaweza pungua..

Kifupi vinalala majumbani mwetu we chukua model number zake ingia mtandaoni utajua bei zake..
Labda waje na sound zingine
 
Back
Top Bottom