shetani aka shetty baby
Member
- Oct 4, 2022
- 90
- 82
Naomba kujua ni application ipi ni install kwenye PC yangu ili niweze k-run application mbalimbali kama vile whatspp, telegram nk
Mkuu nzito mashine inahenya balaaaDownload moja inaitwa blue stacks
Blue stack haifai kabisa Ni nzito balaaMkuu nzito mashine inahenya balaaa
Ninahangaika nayo...ma MB kibao.. na tozzo hizi imekuwa motoBlue stack haifai kabisa Ni nzito balaa
Narudia tena tafuta os inaitwa Phoenix OS.Ninahangaika nayo...ma MB kibao.. na tozzo hizi imekuwa moto