Ipi sehemu nzuri kujenga na kuishi?

Accumen Mo

JF-Expert Member
May 15, 2022
15,042
32,749
Habari zenu wana JamiiForums!

Ningependa kupata maoni kwa wadau katika kuchagua eneo la kuishi. Kuna ndugu yangu anataka kujenga kabisa, viwanja anasema vipo poa kapata maeneo haya;

1. Kigamboni (mjimwema, gezaulole, kisiwa)
2. Kimara
3. Mbezi mwisho
4. Kitunda
5. Goba

Hivyo viwanja maeneo hayo yote anasema dalali kamwambia ni swala la yeye kuchagua eneo, kote vipo anapelekwa mda wowote.

Je, ni sehemu gani nzuri ya kuishi?
 
Tubadili fikra na tuone mbele. Swali ni zuri lakini hivyo viwanja ni ukubwa gani? Kama unaona mbali ni muda sasa wa kuachana na kununua viwanja badala yake nenda pembezoni, nunua ekari 2 na kuendelea. Hapa ndo unaweza kufanya uendelezaji kwa ajili ya kuishi hadi uzeeni.

Unaambiwa miaka ya 60 Tabata, Tegeta, Kawe, Mbezi yalikuwa ni mapori na wanaosimulia bado wako hai, mtu anakwambia hapa mbezi shule niliitiwa shamba nikakataa ili niishi Mikocheni kwenye watu.
 
Tubadili fikra na tuone mbele. Swali ni zuri lakini hivyo viwanja ni ukubwa gani? Kama unaona mbali ni muda sasa wa kuachana na kununua viwanja badala yake nenda pembezoni, nunua ekari 2 na kuendelea. Hapa ndo unaweza kufanya uendelezaji kwa ajili ya kuishi hadi uzeeni. Unaambiwa miaka ya 60 Tabata, Tegeta, Kawe, Mbezi yalikuwa ni mapori na wanaosimulia bado wako hai, mtu anakwambia hapa mbezi shule niliitiwa shamba nikakataa ili niishi Mikocheni kwenye watu.
Goba 2010 kulikua na viwanja vya kumwaga Sasa hivi mjini
 
Tubadili fikra na tuone mbele. Swali ni zuri lakini hivyo viwanja ni ukubwa gani? Kama unaona mbali ni muda sasa wa kuachana na kununua viwanja badala yake nenda pembezoni, nunua ekari 2 na kuendelea. Hapa ndo unaweza kufanya uendelezaji kwa ajili ya kuishi hadi uzeeni. Unaambiwa miaka ya 60 Tabata, Tegeta, Kawe, Mbezi yalikuwa ni mapori na wanaosimulia bado wako hai, mtu anakwambia hapa mbezi shule niliitiwa shamba nikakataa ili niishi Mikocheni kwenye watu.
Una guarantee ya kuishi mpaka uzeeni?
 
Ni mwenyeji wa kigamboni, mjimwema ssehemu gani pale, geza fresh ni maeneo mengi ya kupima.

Kiujumla kigamboni fresh.
 
It ain't......

Unatoa shit kwa watu kutaka kujiendeleza kimaisha huku upo kwenye store hapo Tabata tena banda la uwani,wewe Dar ni wapi kwa %100 pana viwanja vilivyopimwa kama siyo huko nje ya mji alikosema mleta mada?
Acha kupovuka, zipo sehemu zimepimwa na bado viwanja vipo na vina uzwa acha kukariri
 
Back
Top Bottom