ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza wasabato kwa kanisa lao kutovuma kwa skendo na drama

    - Kila siku hujisomea somo la wiki, ikifika jumamosi wanakusanyika kwa masaa takribani mawili kwenye vikundi vidogo kufundishana waliyojifunza na baada ya hapo ndio huingia wote kanisani kwenye ibada, hii ni nzuri kuzidi kukaa wiki nzima hujajifunza chochote kwenye biblia unasubiri tu ifike...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafasi ipi ni ngumu kuicheza katika soka?

    Me nafikiri ni nafasi ya kiungo mkabaji. Imagine unatakiwa ukabe, ufanye interception, ufanye blocking, tackling na bado uanzishe mashambulizi kwenda langoni kwa mpinzani wako. Ukizubaa ndio timu inaelemewa. Kwa upande wako ni nafasi/namba gani ni ngumu kuicheza kwenye football?
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (Tucta), Tumaini Nyamhokya, waliokumbwa na vyeti feki wanalipwa kwa formular ipi?

    Wakati Rais Samia anatangaza kuongeza watumishi mishahara kwa 23% wengi walifurahia ila mwishoni wengi waliambulia Tsh 12,000 kwenye mishahara yao baada ya kukatwa kodi. Sasa hii ya watumishi wenye kesi ya Jinai ya kufoji vyeti kulipwa mafao yao wafafanulie ni kiasi gani wanalipwa Ili...
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais ambayo ni sheria ni ipi?

    Kila siku huwa tunaambiwa na wapenda mamlaka ya Rais kwamba "Kauli ya Rais ni Sheria".. Hivi kauli ya Rais ili iwe sheria inatakiwa iwe na vigezo vipi ama kila akisemacho Rais ni sheria!!??
  5. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nihudhurie usaili upi kati ya hizi mbili?

    Wakuu kwema? Tarehe 27 mwezi huu nimeitwa interview mbili kama ifuatavyo; Saa 2 kamili asubuhi natakiwa kuwa Iringa University mkoani Iringa kufanya usaili wa kuandika ya nafasi ya Uhasibu, muajiri akiwa Iringa University mwenyewe. Nafasi zinazogombaniwa hapa ni 2 kati ya watahiniwa 24...
  6. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Siri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?

    Mtaalamu Albert Einstein kaacha maswali mengi kuliko majibu kupitia Three dimension (3D) theory, Einstein anasema kwamba kitu chochote kinachokwenda katika mwendo kasi kitaloss gravitation na kucover large space at short time. Na Ndipo hapa suala la space and time linaleta sintofahamu. Ukitumia...
  7. Ms Billionaire

    JamiiForums Tanzania Ipi Hospitali nzuri kwa Mama mjamzito kujifungua

    Habari wadau. Hivi ni Hospitali gani nzuri kwa Mama mjamzito kujifungua. CCBRT Maternity nimeskia ni mpya naomba kujua uzoefu kwa aliewahi kufika na kupatiwa huduma pale. Comparing CCBRT na Muhimbili wapi kuna changamoto gani etc. Mfano Kwenye kujifungua kawaida au operation wapi panafaa na...
  8. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kati ya samadi ya ng'ombe, mbuzi, kuku, nguruwe, Sungura nk. ipi ni bora zaidi shambani?

    Wadau mbalimbali wa kilimo na ufugaji, ninaomba muongozo wa namna bora ya kutumia Samadi ya asili shambani. Kwa kuanzia, nilitaka kufahamu, Samadi ipi ya asili inafaa shambani kwa kilimo cha mboga mboga, matunda au mahindi? Je, kati ya kinyesi cha ng'ombe, mbuzi, Kuku, Nguruwe, Sungura ipi ni...
  9. shetani aka shetty baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Software ipi kwenye PC inaweza ikatumika kuhifadhi apps mbalimbali?

    Naomba kujua ni application ipi ni install kwenye PC yangu ili niweze k-run application mbalimbali kama vile whatspp, telegram nk
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ipi top 3 yako ya nyama tamu?

    Salam! Wale wazee wa misosi ipi top 3 yako ya nyama tamu. Ya kwangu hii hapa: 1. Kuku Asee huyu ndege hadi leo binafsi naona nyama yake haina mpinzani yani hana mbadala yani nyama iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote nadhani sote tunafahamu jinsi supu ya kuku ilivyo tamu 2...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Baba yako ( Mshua ) Kaoa na Kazaa na Mwanamke unayemzidi Umri mkubwa ( Binti ) Salamu yako Kwake itakuwa ipi kati ya zifuatazo?

    1. Shikamoo Mama 2. Oya Binti Hujambo? 3. Niaje Wewe Mazeri? 4. Heshima yako 5. Za Kulala na Kuamka Maza 6. Uko poa? 7. Mzima Wewe? Nasubiri jibu lenu ili nianze kulifanyia Mazoezi mapema na nilizoee pia kwani Maji yameshavurugika tayari.
  12. Mowwo

    JamiiForums Tanzania 𝗞𝗮𝘇𝗶 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗻𝗶 𝗶𝗽𝗶? 𝗨𝗹𝗶𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗻𝗮 𝘂𝗺𝗿𝗶 𝗴𝗮𝗻𝗶?

    Habarini Naomba tushee mauzoefu apa kwenye huu uzi. Naamini katika hatua za mwanzo katika umri fulani kila mdau alianza kutafuta pesa. Wengine wameanza mapema sana, wengine wamesoma wakachelewa kuanza kutafuta pesa, wengine watoto wa mashavuni wanakula maisha tuu...nk. Nikiwa mdg miaka 13...
  13. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Harrier Vs Klugger ipi achukue?

    Wakuu kuna mdau yupo kwenye IST ila kwa sasa anataka abadili kutoka IST hadi kumiliki kati ya Harrier au Klugger. Kwa namna ambavyo wajuzi mpo humu naomba tumsaidie mdau, je ni gari gani kati ya hizo mbili yaani Harrier na Klugger achukue. Comparison iwe based kwenye shape, nafasi, durability...
  14. Mr_Plan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada, WIFI adapter ipi iko vizuri kwenye computer?

    Habari Wanajamvi Natumai ni wazima wa Afya....Nilikuwa naomba kufahamishwa Je ni Wifi Adapter ipi ambayo naweza Tumia kwenye Computer bila Tatizo na Yenye kasi zaidi.
  15. Google Diggers

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ipi future na nafasi ya Paul Pogba Juve

    Hembu tuone mm naona atapotea. Huyu fundi Kwa Umri wake angesalia united na ujio wa mafundi wengine pale OT si haba angefanya jambo. Watu kama casemiro, Antony, malacia anavyopambana dhahiri uwepo wa Erickson lazima Pogba angeonesha fundi pale kwenye namba nane
  16. S

    JamiiForums Tanzania Website and Database errors fix services

    Kwa wamiliki wa website na web apps kuna changamoto ambazo unaweza kupitia katika uendeshaji wako. Mara nyingi hutokana na kutokupata maboresho mapya kwa wakati sahihi. Kutokana na changamoto hizo tunatatua matatizo yafuatayo; Database 1. Database cleanup 2. Database optimisation 3. Database...
  17. Chomo

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji ushauri ni friji aina ipi bora kati hii HISENSE au BRUHM

    Wakuu salaam, Nahitaji kununua friji kwa bei ya hizi zetu watu wa hali ya kawaida,sasa ktk pita zangu nimeona angalau HISENSE na BRUHM ni bora kidg kulingana na pesa niliyonayo naomba ushaur je ipi ni bora kati izo ya izo mbili hapo je zile za condeser nje yaan nyuma ya friji na zile...
  18. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania Ipi sehemu nzuri kujenga na kuishi?

    Habari zenu wana JamiiForums! Ningependa kupata maoni kwa wadau katika kuchagua eneo la kuishi. Kuna ndugu yangu anataka kujenga kabisa, viwanja anasema vipo poa kapata maeneo haya; 1. Kigamboni (mjimwema, gezaulole, kisiwa) 2. Kimara 3. Mbezi mwisho 4. Kitunda 5. Goba Hivyo viwanja maeneo...
  19. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia ipi bora ya mimi kupokea malipo kutoka kwa provider hawa

    .
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni Simba SC ipi kati ya zifuatazo iliyoshinda Jana dhidi ya Nyasa Big Bullets FC kule Malawi?

    A. Simba SC ya Mgunda? B. Simba SC ya Matola? C. Simba SC ya Wachezaji wa Kufurahia Kuondoka kwa Kocha Maki? D. Simba SC ya Wachezaji Wenyewe kuamua Kuwajibika na Kujitoa kuipigania Jezi?
Back
Top Bottom