Ushauri nichukue ipi kati ya Onkyo,marantz,Denon na Harman kardon

Dr Msweden

JF-Expert Member
Nov 3, 2020
2,632
9,445
Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon.
Nichukue brand ipi iwe alpha na Omega .
NB:kwa ajili ya music tu sio movies
 
Klipsch ni watengenezaji wa speaker tu.
zote hapo ni brand nzuri tu. kutegemeana na model na mwaka iliyotoka.
 
Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon.
Nichukue brand ipi iwe alpha na Omega .
NB:kwa ajili ya music tu sio movies
Chukua AV receiver ya Denon au Marantz na speaker set ya Klipsch.
 
Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon.
Nichukue brand ipi iwe alpha na Omega .
NB:kwa ajili ya music tu sio movies
Hapo hakuna all in one brand kwenye Music.

1. Marantz, Onkyo na Denon wanatengeneza Receivers/Amplifier.

2. Harman kardon na klipsch ni watengenezaji wa Speakers.

Ili upate unachotaka(music), utahitajika kumix both 1 and 2.
 
Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon.
Nichukue brand ipi iwe alpha na Omega .
NB:kwa ajili ya music tu sio movies
for the case of true music, tafuta tu intergrated or power amplifier with good speakers, vinginevyo angukia kwenye Hi Fi kama AVR umeona hazikufai
 
Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon.
Nichukue brand ipi iwe alpha na Omega .
NB:kwa ajili ya music tu sio movies
Klipsch wana AVR au speaker tu???
 
Back
Top Bottom