Kibongobongo biashara ipi rahisi kutoka? Uzalishaji, Uchuuzi au Udalali?

Mcqueenen

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
6,818
11,542
Howdy,

Wakuu hivi tuseme ule ukweli, kibongobongo ni aina ya biashara ipi rahisi kutusua kati ya uzalishaji, uchuuzi(ulanguzi) au udalali? By kutusua simaanishi Levo za kina Mo na bakhresa.

Namaanisha zile level za kujisustain middle income, nyumba kali ila sio mansion, ndinga kali ila siyo shangingi, watoto wanapanda basi la njano ila siyo international, majirani wanasema unaringa ila siyo majirani wana pool party. Levo hizo
 
Biashara ya kuchuuza brother
 
We unapanga kununua nepi hata mtoto hajazaliwa
Kutusua itakuwa ngumu sana maana unawaza starehe kabla ya kuzipata daa

Bado huwa natafuta wa kuwasaidia ila wewe haumo naona mtaji wa kwanza ntakukuta bar
Hata kama mtu anatafuta wa kumsaidia we huwezi kuwemo
 
Howdy,

Wakuu hivi tuseme ule ukweli, kibongobongo ni aina ya biashara ipi rahisi kutusua kati ya uzalishaji, uchuuzi(ulanguzi) au udalali? By kutusua simaanishi Levo za kina Mo na bakhresa.

Namaanisha zile level za kujisustain middle income, nyumba kali ila sio mansion, ndinga kali ila siyo shangingi, watoto wanapanda basi la njano ila siyo international, majirani wanasema unaringa ila siyo majirani wana pool party. Levo hizo
umepata 100% kwenye kipengele cha ubayana (clarity). Wengi wa wajasiriamali wanapambana kukua lakini hawana ubayana wa kukua wanamaanisha nini?

Upande wangu , wazalishaji wako wengi kwa kila sekta, ukiweza kujikita kwenye utaalam wa masoko (kukuza database ya wateja kila siku) hapo unatusua hata bila kulangua,unakuwa mtu wa kati, a.k.a mali kauli a.k.a dalali
 
Nimekupata, shukrani sana
 
Ukiwa dalali utaanza kucheza BAO mda wote vijiweni Huku unakunywa kahawa na alkasus

Mchuuzi anafanya kazi kwa bidii apate Kodi na Hela ya kula. Malipo hayatoendana na nguvu zako

Mzalishaji unaweza kufika mbali sana kibiashara. Unaweza ukajikuta tembo na jamii yote inakujua. .
 
Watu wa udalali wanapata pesa kwa urahisi na advantage yao nyingine hawana stress ya usumbufu wa masuala ya kodi za TRA na kodi za pango.
Wanakuja kwako wanachukua products same day wanampasia mteja so kwa maana hiyo hapo wamekwepa masuala ya kukodi store,hata ikishindikana kuuza siku hiyo hiyo wanahifadhi majumbani kwao kwa siku 2 au 3 kisha wanamsafirishia mteja wanachukua mpunga baada ya hapo wanakaa viti virefu kupiga story na kuspend walichovuna
 
Biashara ya Takwimu na Habari(Data & Information)
Kwa dunia ya sasa,ukiweza kuingia kwenye uzalishaji,uchuuzi,usambazaji na udalali wa hizi bidhaa mbili,basi umeula.
Ila inahitaji kufanya kazi kweli kweli,hasa katika kuujenga msingi wa biashara na biashara ikishasimama umeshaula.
Hustling zake ni kupata skills na ku update skills kila uchwao ndio changamoto zake,Kwa sababu hizi bidhaa zinasambaa sana Kwa haraka na zinabadilika Kwa haraka sana.
 
Ukiwa dalali utaanza kucheza BAO mda wote vijiweni Huku unakunywa kahawa na alkasus

Mchuuzi anafanya kazi kwa bidii apate Kodi na Hela ya kula. Malipo hayatoendana na nguvu zako

Mzalishaji unaweza kufika mbali sana kibiashara. Unaweza ukajikuta tembo na jamii yote inakujua. .
Bado unadhana potofu juu ya udalali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom